Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Natamani sana somo la ustaarabu lianze kufundishwa Shule za msingi huenda inaweza kusaidia!
Natamani sana watu wajifunze kufurahi au kuhuzunika pasipo kuathiri wengine!
Hapa ninamaanisha watu watambue umhimu wa kufanya mambo yao, ikabaki ya kwao pasipo kuathiri watu wengine bila sababu...
Ratiba ya Ramadhani, tushirikishane kwa pamoja, yangu imekaa hivyo,
Day1:
Tende
Shurba
Chapati
Maharagwe ya nazi
Samaki wa kukaangaa
Day2:
Kaimati
viazi karai
Chapati na Mbaazi
Fruit Custard
Day3:
Bajia
Cutlets
Shurba
Chapati
Viazi vya Rojo
Nyama ya kukangaa
Day4:
Vitumbua
Mchuzi wa...
Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako
1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi?
2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
Mambo vipi wana MMU, baada ya mishe mishe za kutwa nzima tufurahi na kucheka wote tuongeze siku za kuishi,
Imagine upo town kwenye harakati zako ndani ya gari yako IST unaelekea kwako mara paap unakutana na rafiki yako anakuomba lift umsogeze aendako,
Mkiwa njiani mnakutana na gari aina ya...
Ni raha sana kusafiri kwenda likizo nchi za nje na kutalii. Lakini kuna raha pia kama utaweza kwenda maeneo ambayo hujawahi kufika hapa hapa bongo.
Kwa mfano, Tanzania siku hizi imebadilika sana. Kuna sehemu nyingi sana unaweza kwenda kwa bajeti ndogo na ukafurahia sana moments ukiwa mwenyewe...
Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa..
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋
ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi
UTANGULIZI
Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili...
Ebu kila mmoja leo ajaribu kushare namna alivyofanya mpaka kupata connection yake iliyompa ajira aliyonayo.
Binafsi najitahidi sana kutafuta connection za ma hr wa kwenye mabank hasa nmb bank but siwapati.
So hebu jaribuni kushare experiences zenu hapa please.
Hello JF
Niende kwenye mada straight, ni wakati muafaka Jobo Ndugai aweke hadharani legacy yake ya uspika na ya kibunge huko kongwa sambamba na oanisho la kumnanga ndugu Lissu kuhusu ubunge wake wa miaka10 huko Singida Mashariki kwamba hakuacha legacy yoyote.
Baada ya kuachia kiti cha uspika...
Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
Uzuri wa nyumba sio uimara wa msingi au boma.
Uzuri wa nyumba ni pamoja na urembo wake kuanzia nje na mpaka ndani. Pia uzuri wa nyumba ni pampja na muonekano wake, muonekano wake hutegemea urembo wake.
Urembo huo hufanyika kwenye Nguzo, Kuta na ceiling.
Urembo unaweza fanyika nje ya nyumba na...
Ni kuhusu maelekezo yaliyotoka Serikalini tarehe 08 Februari,2021 kuidhinishwa Muundo mpya wa maendeleo ya Utumishi (Scheme of Service) Ulioanza kutumika terehe 01 Machi 2021) kwa baadhi ya taasisi za Umma.
Kutokana na mabadiliko ya Muundo huo imeonekana kuwa, Mishahara ya watumishi hao ni...
Hivi huwa mnaanzaje? Hata hamuwaonei huruma rafiki zenu?
Waachie watu wa mbali wamchukulie mchumba wake lakini sio wewe unaemfahamu vizuri tu rafiki yako. Unawajua vizuri na umeshuhudia mapenzi yao mara nyingi tu halafu leo bila aibu unaenda kuwatenganisha kwa kitu ambacho hata hujui kama...
Najua umemaliza ziara Yako Mkoani Manyara,na Sasa upo Chato Kwa kaka yako.
Nachukua fursa hii kukipa taarifa jinsi ziara yako ilivyowatesa wananchi.
Nazungumzia namna Barabara zilivyofunga kipisha ujio wako na mapito yako.
Mkuu,nikufahamishe TU kuwa ,Leo Kila ulipokuwa unaeenda Barabara...
Tanzania kuna matabaka 2 makuu, tabaka tawala na tabaka tawaliwa.
1. Tabaka tawala
Hili ni tabaka ambalo wengi husomesha watoto nje ya nchi licha ya wananchi wa tabaka tawaliwa kusotea msosi wa kila siku.
Imagine, watu wanasema vyuma vimekaza lakini Ukraine pekee ilipokea vijana wa Kitanzania...
Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma.
Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la...
Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya urusi ni kuifunga mikono na miguu Urusi wakati ikipigana na ukraine, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna asiyejua kuwa nguvu ya kiuchumi ndiyo mikono na miguu inayohitajika sana wakati wa vita ili kuwezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.