Umuombe Mungu au upime na kujilinda?Umeme ni hatari sana tumuombe Mungu tu.
Ukimwi ni naona unavyotesa wengi mkuu , kama hauna usichukulie poaUnaogopa ukimwi lakini unapanda bodaboda ambayo unakufa chap.
Acha tupige nyapu
Usipokufa Kwa Ukimwi utauliwa na maradhi mengineUkimwi ni naona unavyotesa wengi mkuu , kama hauna usichukulie poa
Vivyo Hivyo Haya Ni Ya Kwetu Pia...Mbuzi na ng'ombe wanayakwao vilevile
Unachokifanya hapa ni sawa na kupupu kichakani halafu ukaonekana , ukaficha uso na mikono na makalio ukayaacha nnje.Usipokufa Kwa Ukimwi utauliwa na maradhi mengine
Nadhani hujaona wagonjwa wa kisukari, Figo, moyo n. K
Kheri ufe na boda chaap 🤣Unaogopa ukimwi lakini unapanda bodaboda ambayo unakufa chap.
Acha tupige nyapu
Mara kaugonjwa kidogo kakizuka unaanza kuishi kama digidigiKheri ufe na boda chaap 🤣
Kuliko kuishi na dawa kila siku unajua siku zako za kuishi zinahesabika..