Wanaume; Jinsi ya kumfanya Binti yako asiwe Malaya

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,339
51,884
WANAUME; JINSI YA KUMFANYA BINTI YAKO ASIWE MALAYA.

Anaandika, Robert Heriel

Wanawake wengi siku hizi 80% ni Malaya, umalaya ni kitendo cha mwanamke kufanya tendo la ndoa na Mwanaume zaidi ya mmoja. Umalaya upo WA Aina nyingi lakini maarufu ni ule umalaya Kwa ajili ya pesa ambao huitwa UKAHABA.

Mwanamke atavumilia matusi yote lakini kamwe hatopenda Umuite MALAYA. Thamani ya mwanamke ipo katika kujitunza, maumivu apatayo mwanamke pale unapomuita Malaya ni makali, yanafanana na maumivu ya mwanaume anapoitwa Shoga, na anapoambiwa Hana nguvu za kiume.

Zipo sababu za wanawake wengi WA siku hizi kujiingiza kwenye Umalaya, kwa uchache sababu hizo;

1. Asili
Zipo koo ambazo zina damu ya Umalaya.
Yaani Kama Bibi wa Bibi alikuwa kiruka njia, mama naye halikadhalika, hapo binti naye lazima awe Malaya.
Ndio maana Vijana wanashauriwa kabla ya kuoa wanapaswa waangalie ukoo anaoenda kuolea, atazame tabia za Mama Mkwe wake.

Hili Vijana wengi WA siku hizi watapinga, lakini huo ndio ukweli, na vijana WA siku hizi wapo katika vita ya kutokubali ukweli. Lakini mwisho WA siku ukweli unawashinda.

2. Tamaa!
Tamaa ni moja ya sababu inayofanya kina Dada wawe Malaya, wengi husingizia umasikini lakini umasikini haujawahi kumfanya mtu awe Malaya. Wapo wanawake ni masikini lakini hawajajiingiza kwenye umalaya, wanajiheshimu na wameridhika na hali zao.

Hata Sisi wanaume tunapotongoza na kuwadanganya wanawake tunatumia Tamaa zao kupata tunachokitaka.
Ndio maana wanaume wata-fake maisha ilimradi wapate wakitakacho Kwa mwanamke.

Wanawake wanawalaumu bure wanaume kuwa ni waongo lakini wanasahau Uongo mara nyingi unanguvu Kwa mtu mwenye Tamaa Mbaya.

Hivyo kijana anapotafuta Mke WA kuoa Kama anataka kujiepusha na kuoa Mke Malaya basi ataangalia mambo hayo mawili, nayo ni;
1. Asili ya mwanamke huyo
2. Tamaa yake.

Namna ya kumfanya Binti Yako asiwe Malaya:

1. Oa na Zaa mwanamke mwenye asili ya kujitunza.
Mara nyingi tabia za binti hutoka Kwa Mama yake. Hivyo njia ya awali ya kumuandaa binti yako ni kumchagua mke asiye na Asili ya umalaya.
Ukiona kibinti kinapenda mambo ya ngono kupitiliza, jua sio kosa lake.
Alafu mara nyingi wazazi wanajua kabisa huyu kanirithi

2. Mfundishe Kujikubali na kujiamini.
Wanawake wengi Malaya wanatabia ya kutojiamini,
Baba ndiye anauwezo WA kumfanya Binti yake ajiamini na ajikubali.
Mfundishe binti yako Ajue yeye ni wathamani, yeye ni mzuri na anastahili kuheshimika, na ili aheshimike basi itampasa ajitunze kimwili, kihisia, kiroho na kiakili.

Wanawake wengi Malaya wanaathari mbaya za kisaikolojia, kihisia, na kiroho.

Mfundishe Binti kujiamini pasipo hata kusifiwa na mtu mwingine. Hii itamfanya wakati akitongozwa asione ajabu yoyote pale anapodanganywa na kusifiwa na Mwanaume.
Wanawake wengi hawajiamini na hiyo huwapelekea kwenye umalaya baada tuu ya kupata kujiamini Kwa kusifiwa.

Mfundishe Binti Yako ajikubali, ajione yeye ni Bora, asiendekeze maoni ya wengine kuwa wanamuonaje.

Nadra Sana kumkuta Mwanamke anayejikubali na kujiamini akiwa Malaya.

Kujiamini sio Kutukana watu au kutembea Kwa manjonjo bali ni mtazamo wa ndani kumhusu yeye mwenyewe.

3. Mjengee Binti yako uwezo wa kujitegemea na kujiongoza
Ondoa kasumba Kwa binti yako kuwa yeye ni mwanamke hivyo anapaswa amtegemee mwanaume. Ondoa kabisa hiyo mindset.
Mfundishe binti yako kujitegemea na kujiongoza, awe na mtazamo Bora kuwa kujitegemea na kujiongoza ndio namna Bora ya kuwa Mke mwema na Msaidizi Kwa mume wake atakayemuoa. Hiyo itamfanya kukutana na Mwanaume sahihi.
Lakini akiwa na mtazamo wa kumtegemea na kuongozwa na Mwanaume itamfanya kuwa Malaya na kumuweka katika Mazingira hatarishi ya kulaghaiwa na kunyanyaswa; pia hatari ya kumpata mwanaume asiye sahihi.

Mjengee binti yako uwezo wa kutopewa pesa na mtu asiye ndugu yake, asiye Baba yake, na asiye Mume wake.
Mwambie jasho la mtu haliliwi, labda mtu huyo awe Baba au Mume wake.

Mjengee fikra binti yako kuwa kuchukua pesa ya mtu asiye mume wake ni kufanya Ukahaba. Pia ni aibu kwake na anashusha thamani yake Kama Mwanamke.

4. Mjengee binti yako uwezo wa kudharau umalaya, na watu wa hovyo.
Mfanye binti yako kuwa mbaguzi, kuwa na Dharau, mfundishe tabia ya kuwa sio kila mtu anatakiwa kuwa karibu yake, sio kila mtu anatakiwa kumzoea,
Awe na uwezo wa kudharau umalaya hiyo itamfanya automatically asiwe na urafiki wala ukaribu au mazoea na Wanawake wenye Mtazamo wa kimalaya Malaya.
Hii itamfanya aonekane anadharau hilo asilijali. Kwani tayari ulishamjengea tabia ya kujijali yeye mwenyewe(kufikiria zaidi yeye anataka nini na sio wengine wanataka nini)

5. Asiwe na mazoea ya kijinga na Wanaume.
Kwa vile ushamfundisha kujikubali na kujiamini kamwe hawezi kuwa na mazoea ya kijinga na wanaume. Hatapenda sifa kutoka Kwa watu wengine zaidi ya mume wake.
Mara zote wanawake wasiojiamini na kujikubali ndio hupenda kusifiwa wapitapo barabarani,
Mazoea ya kijinga na sifa za kijinga jinga zimewafanya wanawake wengi Kuliwa kimasikhara na kujikuta katika Mkondo WA umalaya.

Mazoea ni pamoja na utani na masikhara yasiyo na tija.

6. Mfundishe Kula Kwa jasho lake au la mume wake( asipende vya Bure)
Siku zote mtu yeyote apendaye vya bure Hana thamani!
Wanawake wengi wamejikuta wakidharauliwa Kwa sababu ya Kupenda burebure.
Moja ya sifa kuu za Umalaya ni Kupenda vitu vya burebure!

Mfanye binti yako ajisikie vibaya Kula kitu au kutumia kitu ambacho hajakitolea jasho, hajakifanyia kazi.

Kuwa mwanamke haimaanishi upewe vitu burebure,kasumba hiyo IPO Kwa Wanawake Malaya au koo au jamii zenye umalaya.

Siku zote mtego hutumia vitu vya burebure Kama chambo Kwa wenye Tamaa(umalaya).

Mfundishe binti yako, hata mtu yeyote ambembeleze vipi kuchukua kitu cha Bure akatae, ikiwezekana alipie kitu hicho achukue. Huyo ndio Uanamke.

Mwambie Binti yako, ni aibu mtu msiye na mahusiano ya kimume na Mke, au Baba, au ndugu kukupa kitu burebure, tena hata ndugu yako hapaswi kukupa kitu burebure ikawa ni mazoea.
Kupewa burebure maana yake mtu huyo anafanya jaribio la kushusha Heshima yako na kukufanya uwe waburebure.

Wanawake wengi Malaya wamejikuta katika Mkondo huo Kwa Kupenda burebure kunakoletwa na Tamaa.

Mfundishe binti yako kuwa, hakuna kitu cha Bure Duniani, kila kitu lazima mtu akilipie.
Mfundishe Utu binti yako, na kamwe Burebure sio utu.

7. Mfundishe Binti yako Usafi.
Usafi sio wa nguo au Mazingira. Hata kuwa na Mwanaume mmoja huo pia ni Usafi.
Hakuna Malaya msafi hata angeoga na kujipaka marashi anukie Kama Waridi.

Mfanye binti yako aone ni uchafu usioelezeka kulala na wanaume zaidi ya mmoja.

Mwambie Binti Yako yeye sio dampo la kila mwanaume kutupia uchafu wake, kutiwa unajisi.

8. Mfundishe Binti yako kutumia Akili zaidi kuliko Hisia.
Hii itamsaidia kuwajua wanaume waongo wanaotaka kumchezea.
Kumbuka ulishamfundisha kujiamini na kujikubali, hivyo hata hitaji shinikizo la nje kumfanya ajione anathamani Bali yeye mwenyewe atajiona wathamani.
Kutumia Akili kutamuepusha na hisia za kijinga ambazo wanaume wengi tunaziamsha Kwa wanawake Kwa kuwaahidi vitu vizuri ambavyo kimsingi ni ulaghai tuu.

Nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mfundishe Kula kwa jasho ....asili ya mwanamke ni kupewa na kutunzwa ..

Mfundishe kujipenda na kudharau umalaya ...mwanamke ni kiumbe dhaifu ,lazima atadanganywa na kuliwa tu

Mfundishe asipende kusifiwa na sifa za kijinga .....asili ya mwanamke ni kutaka kusifiwa sifa lukuki hata za uongo .

Mwambie asipende kupewa bure ,offer za kijinga na kuelewa kuwa hapa duniani Kila kitu kinalipiwa ...hapa lazima ataangukiwa pua kwani umasikini ni janga la taifa na lazima atahitaji msaada ...na ili asaidiwe lazima ataliwa tu ....

Hakuna mtu atakayezuia mtoto wa kike kuliwa na mwanaume zaidi ya mmoja ......never ....

Hawa wanawake ni vyombo vya starehe
 
Mfundishe Kula kwa jasho ....asili ya mwanamke ni kupewa na kutunzwa ..

Mfundishe kujipenda na kudharau umalaya ...mwanamke ni kiumbe dhaifu

Mfundishe asipende kusifiwa na sifa za kijinga .....asili ya mwanamke ni kutaka kusifiwa sifa lukuki hata za uongo .

Mwambie asipende kupewa bure ,offer za kijinga na kuelewa kuwa hapa duniani Kila kitu kinalipiwa ...hapa lazima ataangukiwa pua kwani umasikini ni janga la taifa na lazima atahitaji msaada ...na ili asaidiwe lazima ataliwa tu ....

Hakuna mtu atakayezuia mtoto wa kike kuliwa na mwanaume zaidi ya mmoja ......never ....

Hawa wanawake ni vyombo vya starehe

Wapo wanawake wanawashinda mpaka wanaume wengi WA siku hizi.

Hizo sifa nyingi ulizozitaja ni ideology zilizotengenezwa na jamii.

Hata zamani tuliambiwa Wanawake hawastahili shule, sijui hawawezi kuwa madaktari, lakini hizo wrong ideology leo imethibitika ni uongo.

Wanawake kuwa chombo cha STAREHE ni Dhana tuu ambayo hata wanaume wapo walio kama chombo cha STAREHE.

Mwanamke sio kiumbe dhaifu kwa kugeuzwa Malaya.
Mwanamke kudanganywa ni matokeo ya jamii kushindwa kuwaanda watoto wa kike Kwa namna ya kutumia Akili badala yake wanatumia zaidi Hisia.
Siku hizi wapo wanaume wengi ni dhaifu kuliko wanawake. Na ushahidi huo upo

Kusaidiwa ndio maana nikasema Wababa ndio wenye jukumu la kusaidia Binti zao, Kwa sababu wanaume wengine msaada wetu lazima tudai malipo ya ngono, tuwale.
 
Katika kitu hua kinanchanganya, ni the fact kua wanaume tunapenda tupate wanawake submissive ambao watatuheshimu kama wafalme na kutujali na kutupenda. But at the same time tunataka watoto wetu wa kike wawe independent ili wasibabaishwe wala kupelekeshwa na wanaume. Paradox!
Anyway, ahsante taikon kwa bandiko hili
 
Mwanaume anayetaka Mke wake amuone Kama mfalme Kwa misingi ya umungutu hana akili, hajiamini.

Tunataka wanawake(Wake zetu) watuone Wafalme Kwa kutusikiliza na kututii hasa katika mambo yenye manufaa, Mema na yenye maadili.

Sio jitu liheshimiwe Kwa kufanya upuuzi wa kuchelewa Kurudi nyumbani usiku mnene, au kufanya zinaa na mambo mengine ya kuumiza.
Huo sio Uanaume Bali ushetani na kutojitambua.

Kama Mwanaume ameamua kuwa Shetani basi awe Shetani Mwerevu walau asiidhuru familia yake
 
HAkuna wa kuwasaidia wanawake wa zama hizi unajisumbua tu mkuu. Bongo 99% ya wanwake ni malaya.
 
WANAUME; JINSI YA KUMFANYA BINTI YAKO ASIWE MALAYA.

Anaandika, Robert Heriel

Wanawake wengi siku hizi 80% ni Malaya, umalaya ni kitendo cha mwanamke kufanya tendo la ndoa na Mwanaume zaidi ya mmoja. Umalaya upo WA Aina nyingi lakini maarufu ni ule umalaya Kwa ajili ya pesa ambao huitwa UKAHABA.

Mwanamke atavumilia matusi yote lakini kamwe hatopenda Umuite MALAYA. Thamani ya mwanamke ipo katika kujitunza, maumivu apatayo mwanamke pale unapomuita Malaya ni makali, yanafanana na maumivu ya mwanaume anapoitwa Shoga, na anapoambiwa Hana nguvu za kiume.

Zipo sababu za wanawake wengi WA siku hizi kujiingiza kwenye Umalaya, kwa uchache sababu hizo;

1. Asili
Zipo koo ambazo zina damu ya Umalaya.
Yaani Kama Bibi wa Bibi alikuwa kiruka njia, mama naye halikadhalika, hapo binti naye lazima awe Malaya.
Ndio maana Vijana wanashauriwa kabla ya kuoa wanapaswa waangalie ukoo anaoenda kuolea, atazame tabia za Mama Mkwe wake.

Hili Vijana wengi WA siku hizi watapinga, lakini huo ndio ukweli, na vijana WA siku hizi wapo katika vita ya kutokubali ukweli. Lakini mwisho WA siku ukweli unawashinda.

2. Tamaa!
Tamaa ni moja ya sababu inayofanya kina Dada wawe Malaya, wengi husingizia umasikini lakini umasikini haujawahi kumfanya mtu awe Malaya. Wapo wanawake ni masikini lakini hawajajiingiza kwenye umalaya, wanajiheshimu na wameridhika na hali zao.

Hata Sisi wanaume tunapotongoza na kuwadanganya wanawake tunatumia Tamaa zao kupata tunachokitaka.
Ndio maana wanaume wata-fake maisha ilimradi wapate wakitakacho Kwa mwanamke.

Wanawake wanawalaumu bure wanaume kuwa ni waongo lakini wanasahau Uongo mara nyingi unanguvu Kwa mtu mwenye Tamaa Mbaya.

Hivyo kijana anapotafuta Mke WA kuoa Kama anataka kujiepusha na kuoa Mke Malaya basi ataangalia mambo hayo mawili, nayo ni;
1. Asili ya mwanamke huyo
2. Tamaa yake.

Namna ya kumfanya Binti Yako asiwe Malaya:

1. Oa na Zaa mwanamke mwenye asili ya kujitunza.
Mara nyingi tabia za binti hutoka Kwa Mama yake. Hivyo njia ya awali ya kumuandaa binti yako ni kumchagua mke asiye na Asili ya umalaya.
Ukiona kibinti kinapenda mambo ya ngono kupitiliza, jua sio kosa lake.
Alafu mara nyingi wazazi wanajua kabisa huyu kanirithi

2. Mfundishe Kujikubali na kujiamini.
Wanawake wengi Malaya wanatabia ya kutojiamini,
Baba ndiye anauwezo WA kumfanya Binti yake ajiamini na ajikubali.
Mfundishe binti yako Ajue yeye ni wathamani, yeye ni mzuri na anastahili kuheshimika, na ili aheshimike basi itampasa ajitunze kimwili, kihisia, kiroho na kiakili.

Wanawake wengi Malaya wanaathari mbaya za kisaikolojia, kihisia, na kiroho.

Mfundishe Binti kujiamini pasipo hata kusifiwa na mtu mwingine. Hii itamfanya wakati akitongozwa asione ajabu yoyote pale anapodanganywa na kusifiwa na Mwanaume.
Wanawake wengi hawajiamini na hiyo huwapelekea kwenye umalaya baada tuu ya kupata kujiamini Kwa kusifiwa.

Mfundishe Binti Yako ajikubali, ajione yeye ni Bora, asiendekeze maoni ya wengine kuwa wanamuonaje.

Nadra Sana kumkuta Mwanamke anayejikubali na kujiamini akiwa Malaya.

Kujiamini sio Kutukana watu au kutembea Kwa manjonjo bali ni mtazamo wa ndani kumhusu yeye mwenyewe.

3. Mjengee Binti yako uwezo wa kujitegemea na kujiongoza
Ondoa kasumba Kwa binti yako kuwa yeye ni mwanamke hivyo anapaswa amtegemee mwanaume. Ondoa kabisa hiyo mindset.
Mfundishe binti yako kujitegemea na kujiongoza, awe na mtazamo Bora kuwa kujitegemea na kujiongoza ndio namna Bora ya kuwa Mke mwema na Msaidizi Kwa mume wake atakayemuoa. Hiyo itamfanya kukutana na Mwanaume sahihi.
Lakini akiwa na mtazamo wa kumtegemea na kuongozwa na Mwanaume itamfanya kuwa Malaya na kumuweka katika Mazingira hatarishi ya kulaghaiwa na kunyanyaswa; pia hatari ya kumpata mwanaume asiye sahihi.

Mjengee binti yako uwezo wa kutopewa pesa na mtu asiye ndugu yake, asiye Baba yake, na asiye Mume wake.
Mwambie jasho la mtu haliliwi, labda mtu huyo awe Baba au Mume wake.

Mjengee fikra binti yako kuwa kuchukua pesa ya mtu asiye mume wake ni kufanya Ukahaba. Pia ni aibu kwake na anashusha thamani yake Kama Mwanamke.

4. Mjengee binti yako uwezo wa kudharau umalaya, na watu wa hovyo.
Mfanye binti yako kuwa mbaguzi, kuwa na Dharau, mfundishe tabia ya kuwa sio kila mtu anatakiwa kuwa karibu yake, sio kila mtu anatakiwa kumzoea,
Awe na uwezo wa kudharau umalaya hiyo itamfanya automatically asiwe na urafiki wala ukaribu au mazoea na Wanawake wenye Mtazamo wa kimalaya Malaya.
Hii itamfanya aonekane anadharau hilo asilijali. Kwani tayari ulishamjengea tabia ya kujijali yeye mwenyewe(kufikiria zaidi yeye anataka nini na sio wengine wanataka nini)

5. Asiwe na mazoea ya kijinga na Wanaume.
Kwa vile ushamfundisha kujikubali na kujiamini kamwe hawezi kuwa na mazoea ya kijinga na wanaume. Hatapenda sifa kutoka Kwa watu wengine zaidi ya mume wake.
Mara zote wanawake wasiojiamini na kujikubali ndio hupenda kusifiwa wapitapo barabarani,
Mazoea ya kijinga na sifa za kijinga jinga zimewafanya wanawake wengi Kuliwa kimasikhara na kujikuta katika Mkondo WA umalaya.

Mazoea ni pamoja na utani na masikhara yasiyo na tija.

6. Mfundishe Kula Kwa jasho lake au la mume wake( asipende vya Bure)
Siku zote mtu yeyote apendaye vya bure Hana thamani!
Wanawake wengi wamejikuta wakidharauliwa Kwa sababu ya Kupenda burebure.
Moja ya sifa kuu za Umalaya ni Kupenda vitu vya burebure!

Mfanye binti yako ajisikie vibaya Kula kitu au kutumia kitu ambacho hajakitolea jasho, hajakifanyia kazi.

Kuwa mwanamke haimaanishi upewe vitu burebure,kasumba hiyo IPO Kwa Wanawake Malaya au koo au jamii zenye umalaya.

Siku zote mtego hutumia vitu vya burebure Kama chambo Kwa wenye Tamaa(umalaya).

Mfundishe binti yako, hata mtu yeyote ambembeleze vipi kuchukua kitu cha Bure akatae, ikiwezekana alipie kitu hicho achukue. Huyo ndio Uanamke.

Mwambie Binti yako, ni aibu mtu msiye na mahusiano ya kimume na Mke, au Baba, au ndugu kukupa kitu burebure, tena hata ndugu yako hapaswi kukupa kitu burebure ikawa ni mazoea.
Kupewa burebure maana yake mtu huyo anafanya jaribio la kushusha Heshima yako na kukufanya uwe waburebure.

Wanawake wengi Malaya wamejikuta katika Mkondo huo Kwa Kupenda burebure kunakoletwa na Tamaa.

Mfundishe binti yako kuwa, hakuna kitu cha Bure Duniani, kila kitu lazima mtu akilipie.
Mfundishe Utu binti yako, na kamwe Burebure sio utu.

7. Mfundishe Binti yako Usafi.
Usafi sio wa nguo au Mazingira. Hata kuwa na Mwanaume mmoja huo pia ni Usafi.
Hakuna Malaya msafi hata angeoga na kujipaka marashi anukie Kama Waridi.

Mfanye binti yako aone ni uchafu usioelezeka kulala na wanaume zaidi ya mmoja.

Mwambie Binti Yako yeye sio dampo la kila mwanaume kutupia uchafu wake, kutiwa unajisi.

8. Mfundishe Binti yako kutumia Akili zaidi kuliko Hisia.
Hii itamsaidia kuwajua wanaume waongo wanaotaka kumchezea.
Kumbuka ulishamfundisha kujiamini na kujikubali, hivyo hata hitaji shinikizo la nje kumfanya ajione anathamani Bali yeye mwenyewe atajiona wathamani.
Kutumia Akili kutamuepusha na hisia za kijinga ambazo wanaume wengi tunaziamsha Kwa wanawake Kwa kuwaahidi vitu vizuri ambavyo kimsingi ni ulaghai tuu.

Nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hawa wa sasa hivi wanadanga kupata pesa ya kununua macho 3 na kupiga picha mitandaoni kujiuza...zamani tulizoea kuona mtoto wa malaya anarithi kazi ya mama yake
 
Namba 1 niya msingi saana haki kubwa ya baba kwa watoto wake ni kuwatafutia mama mwemaa ili awafunze tabia njema ,5 sio baba unaona binti yako anamarafiki wa hovyo unamwacha tuu
 
Na kama baba ana asili ya umalaya?

Wanaume malaya watoto wao wa kwanza mara nyingi huwa wa kike.
 
Back
Top Bottom