wote

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga kipindi cha pili, mgeni wetu aruhusiwe kuongeza mchezaji wote tuwe 11 kwa 11

    Kadi nyekundu wamepewa kiulaini sana na imewaua na kuharibu ladha ya mpira Tunataka kuona ubora wa wachezaji wetu na timu yetu yanga Hatuwezi kuona ubora kwa usahihi kwa kucheza na timu pungufu Kama rafu hata sisi tumecheza nyingi ila refa hajatupa kadi Tumpe nafasi mgeni wetu.. mechi ni ya...
  2. JamiiForums Tanzania Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana. Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma. Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Wakuu wote wa Mikoa wakabidhi mchango wa msikiti wa Chamwino

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiwakilishwa na mkuu wa Majeshi General Mabeyo na wakuu wa mikoa wakiwakilishwa na RC Ndikilo wa Pwani wamekabidhi mchango wao wa ujenzi wa msikiti kwa shehe wa wilaya ya Chamwino shehe Matitu. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamechangia jumla ya sh 30...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

    Mambo ni mazito kidogo. Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa. Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa. Hii ni hatari tupu.
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

    Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye. Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM. Huyu sio Membe kupitia ACT?
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Viongozi wa vyama vyote na viongozi wa dini mkutane kujadili mada moja tu-haki katika uchaguzi huu. Baada ya hapo muwaombee wagombea wote

    Waheshimiwa Viongozi wetu wa vyama na Wagombea, Waheshimiwa viongozi wetu wa Dini zote, Wadau wa uchaguzi. Amani iwe kwenu. Wapendwa viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa vinavyogombea urais mwaka huu, kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba kutoa pendekezo kwenu, ikiwapendeza mkaufanyia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Tujiepushe na mabaradhuli

    Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo. Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: CCM inawataka wagombea wote waliofeli kura za maoni kuwapigia kampeni washindi watakaokaidi kukosa teuzi!

    Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amewataka wagombea waliofeli kwenye kura za maoni wawapigie kampeni walioshinda pindi kampeni zitakapofunguliwa. Polepole amesema CCM ni chama kikubwa tena ni taasisi ya Umma hivyo ina vyeo na fursa nyingi kwahiyo wale watakaokaidi kukampenia wenzao...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi. Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV Up dates; Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
  11. JamiiForums Tanzania Wimbo "DEAR MAMA" wa DON NALIMISON umetolewa maalum kwa ajili ya MAMA wote Duniani. Je, unampenda MAMA yako, watch now

    . New video "DEAR MAMA", watch my New 3rd video song for "DEAR MAMA" LIKE IT, SHARE IT, SUBSCRIBE IT & COMMENT FOR IT if you Love your Mama.
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA Kibamba Wote kwa umoja wenu nendeni msindikizeni Mgombea wenu kuchukua fomu

    Naamini CHADEMA Jimbo la kibamba mko wengi, nendeni kwa umoja wenu wote msindikizeni mgombea wenu akapewe fomu ya kugombea ubunge. Huyo mgombea ni wenu wananchi wanachama wa CHADEMA mliompemdekeza, chukueni Form yenu msilalie huu mchezo wa kihuni unaotaka kuchezwa. Inaonekana huyu mkurugenzi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli na Tundu Lissu wote ni Wakatoliki wazuri. Je, Kanisa halioni umuhimu wa kuwapatanisha?

    Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana. Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa. Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema. Kwasababu ambazo...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

    Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa. Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana Zola D Kalapina Nay wa Mitego Profesa Jay Chid Benz Dudu Baya bou nako p funky fido Vato lord eyes Wewe unahisi...
  15. JamiiForums Tanzania Enyi wana-CHADEMA na wapenda haki wote Tanzania tumieni simu zenu kama silaha

    Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha. Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu. Kuweni waangalifu...
  16. JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwetu sote: "Asiyekubali kushindwa si mshindani"

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. CCM, CDM, ACT,CUF, NCCR nk, mnaotupa karata zenu kuomba ridhaa kuongoza katika nyadhifa zozote zilizopo na sisi wapiga kura, uzi huu unatuhusu, sote kabisa. Kama ilivyo katika mashindano, hatima ya ushindi au kushindwa kwenye...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu mpya Mkoa wa Dar es Salaam ni mfano mzuri wa kuigwa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Nimefarijika sana pale nilipomsikia mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa anajitambulisha na kuongea na wazee wa mkoa. Huyu mteule anaonekana kutokana na maneno yake kuwa ni mtu wa busara na mwenye maono ya uongozi; amegundua kuwa wazee ni hazina kubwa kwa kiongozi yeyote yule kwani...
  19. JamiiForums Tanzania CCM bora ya muda wote kwangu ni ile iliyoongoza mapambano Kusini mwa Afrika na ile iliyomchapa Nduli, hizi CCM nyingine sijawahi kuzielewa

    Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu. 1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini. 2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda. CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
  20. JamiiForums Tanzania Hili ni jukumu letu sisi Watanzania wote kwa umoja wetu

    Bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kidini, kijinsia nk ni jukumu letu sote kama Watanzania wapenda amani, umoja na mshikamano wa taifa letu kumwondoa Rais Magufuli mwaka huu kupitia sanduku la kura wakati wa uchaguzi mkuu unaofanyika mwezi Oktoba. Pamoja na mazuri machache sana aliyofanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…