wote

  1. JamiiForums Tanzania Wana 'Kahama' wote mnipokee tafadhali kwani nakuja 'Kuhiji' huko kwa 'Waganga' wenu wazuri kwakuwa kuna 'Mbabe' nimemkosea nataka anisamehe

    Ni 'Mbabe' ambaye Kiukweli alinipa Jukumu la Kutunza Nyumba yake nzuri ila Mimi kwa tamaa zangu ( japo ni Mchapakazi mzuri tu ) nikawa nachukua Magari yake ya 'Kifahari' na Kutamba nayo Mitaani nikijifanya yangu na Wambea wakamfikishia taarifa. Kuna Mtu kaniambia niende 'Kuhiji' Mji wa Kahama...
  2. JamiiForums Tanzania Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

    Tanzania president raises doubts over COVID vaccines President John Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are ‘dangerous’. --- Tanzanian President John Magufuli has claimed that vaccinations against COVID-19 are dangerous and instead urged Tanzanians to protect...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, msamaha wa Rais Magufuli kwa DED wa Kahama umewaponya Wakurugenzi wote walionunua magari ya Tsh 460 milioni?

    Rais Magufuli amesema haya ''Mkurugenzi wa Kahama Mji unafanya kazi kubwa sana, ka kosa kale kadogo kamesamehe dhambi zako zote. Unafanya kazi sana najua unapigwa vita ila wanaokupiga vita kuanzia sasa wakuogope. Nimemsamehe Mkurugenzi huyu, amefanya makubwa! Mkurugenzi hongera Sana. Na hilo...
  4. JamiiForums Tanzania Tunakubalije Watanzania wote maisha yetu yashikiliwe na mtu mmoja?

    Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi mikononi mwa mtu mmoja, ambaye ndiye Rais wa nchi. Katika hotuba hiyo tulimsikia Rais akikanusha vikali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sikuliona hili kwa waliokuwa Marais wote wa Zanzibar, kwanini linafanyika sasa kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi?

    Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kitendawili wana JamiiForums wote.......!

    Kuna Mtu tokea juzi Watanzania tuliambiwa na Mnyetishaji wetu mwenye Nembo ya Kenya kuwa ana CORONA leo kaonekana Shamba la Mahindi.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jafo: Viongozi acheni tabia ya kuinua mabega, jeuri na kiburi kwani sisi wote tutaonja mauti!

    Waziri wa Tamisemi mh Selemani Jaffo amewasihi viongozi wenzake kuacha tabia ya kuinua mabega kujitutumua, jeuri na kiburi kwani kila nafsi itaonja umauti. Waziri Jaffo amesema hayo wakati wa mazishi ya mkuu wa mkoa mstaafu wa mkoa wa Kigoma hayati meja jenerali Maganga huko Mvomero mkoani...
  8. JamiiForums Tanzania Natamani wanaume wote tungeweka mgomo kwenye suala la kuhonga. Imefika wakati wadada wa mjini wamegeuza miili kuwa duka

    Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

    (Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps said in a tweet on Thursday. "All passengers from these countries except British & Irish Nationals and...
  10. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Database rasmi kwa ajili ya wote wanaofanya kazi zisizotegemea ujuzi wowote

    Hello JF, Kwa muda mrefu sasa malalamishi ya housegirls kunyanyaswa katika nchi za kiarabu kama Oman, Turkey, etc. yamekua mengi. Ninachoona hapa ni kutokua na taarifa ama records to identify those at risk. Kama ilivyo vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), then kuwe na...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

  12. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; maumivu ni kwa wote haijalishi wewe ni chama gani.

  13. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kelele nyingi kuhusu Kilimanjaro, niliamua kufanya utalii wa ndani dakika za mwisho

    Toka napata akili naskia sana neno Kilimanjaro, katika utafiti pia ni vitu vingi sana vina majina hayo. Toka niingie JF watu wanaotoka Kilimanjaro wanatajwa kwa ubaya kwa mazuri pia. Kutokana na mabishano ambayo nimeshuhudia kwenye majukwaa humu kuhusu wachaga na mkoa mzima nikatamani sana ipo...
  14. JamiiForums Tanzania Hongereni sana kwa wazazi wote mliokwisha lipa ada

    Kwa jf member wote hongereni sana na pongezi kubwa kwa wale wote ambao mmelipa ada na watoto kesho wanarudi mashuleni.ni jambo la kupongezwa sana mmepambana. Pia pongezi za pekee kwa wamama wale ambao wako single na watoto wamelipa ada uku baba zao wakiwa wanekaa kimya bila kuwasaidia...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima Usemwe: kwaiyo Wanawake wote wa Hitwe nyie mikoa yenu ni Dodoma, dar, Arusha na Mwanza, hakuna wa Ruvuma au Mara,

    Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu, Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi, Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa, Sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Kosa wanalolifanya wanaume wengi sana kwa wake zao

    Hasa wale wenye mafunzo ya kale. Kosa lenyewe. Wanaume wengi, Ni wakati wa kufanya tendo la ndoa(mapenzi). Wengi wao wamekua wakiwafanya wake zao kwa viwango vya chini Sana kwa maana eti wanawaheshimu. Wamekua wakitumia staili moja tu wakati wa tendo, kifo Cha mende, Hawapigi denda wake zao...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo wanadamu wote tutaangamia?

    Fahamu athari za kuangamia kwa wanadamu Ushawishi wa binadamu Duniani umefikia kiwango ambacho sasa unashawishi matukio yaliopo Wanadamu daima wameathiri kwa njia moja au nyengine masuala yao ya mazingira, kutoka moto hadi kilimo. Lakini ushawishi wa binadamu Duniani umefikia kiwango ambacho...
  18. J

    JamiiForums Tanzania RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk. Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wote ambao tunapitia maisha magumu zawadi ya mwaka mpya wimbo - Nimelimiss Bumu

    habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha.. Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu.. naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia heri ya mwaka mpya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…