Uchaguzi 2020 Magufuli atakosa kura za wana CCM toka familia hizi

T2020

Senior Member
Jul 15, 2020
131
328
Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli.
1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti.
2. Watumishi wa umma wana CCM ambao walitakiwa kupandishwa madaraja Julai 2020 hawajapandishwa mpaka sasa.
3. Watumishi wana CCM waliofuzwa kwa vyeti feki wakanyimwa na mafao yao.
4. Wafanyabiashara wana CCM waliokadiliwa kodi ya juu ya TRA wakafunga biashara mpaka leo TIN zao zinasoma deni.
5. Wanafunzi wana CCM wote waliokosa mikopo elimu ya juu kuanzia 2015 mpaka sasa.
6. Wahitimu wa vyuo vikuu wana CCM ambao hawajaajiriwa tangu wamalize elimu ya juu.
7. Wapambe wa CCM wa wagombea wa CCM waliopita bila kupingwa ambao wamekimbilia Dar na kuwaacha na njaa majimboni wapambe.
8. Wana CCM walioongoza kura za maoni lakini wamekatwa lawana zao zote ni kwa Magufuli.
9. Wajumbe wote wa kura ya maoni ambao mgombea wao aliongoza lakini amekatwa.
10. Wakulima wa mazao ya biashara wana CCM ambao wananyonywa na vyama vya ushirika na halmashauri kwa kodi kubwa.
 
Hii kali sana
Famili ya mwalimu nyerere ‍♂️

Mwenyekiti alishindwa kuwapitisha japo mmoja kati ya Makongoro na Madaraka ambao walipata kura mbili2 na kura5.

Wakawapitisha wengi sana waliopata aina hizo kwenye kura za maoni.
Mfano patrobas katambi nk nk nk.

Jiwe anataka kutawala milele.
 
Mbona makundi mengi sana mkuuu.

11. Bomoa bomoa ya wakazi wa kimara na kibamba.
12. Bomoa ya kinondoni mkwajuni.
13.wanafunzi 70000 wa UDOM waliofukuzwa usiku
14. Wanahari wote koz wameshindwa kuuza habari zao na kuvitangaza vyombo vyao.
15.Machinga na wajasiliamali wotewanaolipishwa 20000 kila mwaka.

Bia kusahau ukoo wa Mo,Anzory saa nane, Akwilina na ndugu za wote waliookotwa kwenye viloba. Nk nk nk
 
Mnataka mturudis
[SUB]Wewe pimbi kweli. Kwani hiyo miundombinu amejenga kwa hela ya mfukoni mwake! Na unataka utuambie kabla ya kubebwa na akina Kikwete mwaka 2015, hakukua na miundombinu?[/SUB]
[SUB]Uvccm mna akili finyu sana.[/SUB]
He huko kwahuyo tena hivi nyie watanzania mnataka nini .amewakomesha matapeli nyie .mlikuwa mnatusumbua sana maofisini bambav.ngoja tuwajengee nchi kwanza mkitaka baadaye mleteni jamaa yenu awape vyote wachina na wazungu.kwasasa ujinga hatutaki na kutawaliwa na kuibiwa kama mafala hatutaki
 
Mwenyekiti alishindwa kuwapitisha japo mmoja kati ya Makongoro na Madaraka ambao walipata kura mbili2 na kura5.

Wakawapitisha wengi sana waliopata aina hizo kwenye kura za maoni.
Mfano patrobas katambi nk nk nk.

Jiwe anataka kutawala milele.
Can you imagine.... Yani watoto wa dada ni bora kuliko madaraka na makongoro kweli?
 
Mbona makundi mengi sana mkuuu.

11. Bomoa bomoa ya wakazi wa kimara na kibamba.
12. Bomoa ya kinondoni mkwajuni.
13.wanafunzi 70000 wa UDOM waliofukuzwa usiku
14. Wanahari wote koz wameshindwa kuuza habari zao na kuvitangaza vyombo vyao.
15.Machinga na wajasiliamali wotewanaolipishwa 20000 kila mwaka.

Bia kusahau ukoo wa Mo,Anzory saa nane, Akwilina na ndugu za wote waliookotwa kwenye viloba. Nk nk nk
Hao wanafunzi 7000 wamlaumu Kitila aliyeleta majungu programu ifutwe
 
Machinga wa kabla ya kitambulisho alikua analipishwa 500-1000-wengine Hadi 3000 Kwa siku haya ni maeneo ya Makumbusho, mwenye,Ilala, kariakoo
Kwa sasa machinga analipa 20000 Kwa mwaka,
Kuna baadhi ya Halimashauri zinahujumu hili zoezi la vitambulisho, na kuna baadhi ya masoko machinga wanaambiwa vitambulisho havijatoka!!
Familia ya Mo kupiga Kura Lini Tajiri Akaenda kujipanga kupiga kura
 
Chadema badala ya kumnadi mgombea wenu mmegeuka kuwa wapiga ramli
2453634_IMG_20200712_083708(1).jpg
 
Chadema badala ya kumnadi mgombea wenu mmegeuka kuwa wapiga ramli View attachment 1565859
Mkuu siyo uchaguzi wa serikali za mitaa. Atapataje asilimia 100% wakati atakosa kura ya.

1. Familiq ya Mangula
2.Familia ya Makamba
3. Familia ya Kinana
4. Fimilia ya Malecela
5. Familia ya Tizeba
6. Familia ya Mwandosa
7. Familia ya Mnauye
8.Ndugulile
9. Familia ya Masele
10. Familia ya Chenge
 
Mkuu siyo uchaguzi wa serikali za mitaa. Atapataje asilimia 100% wakati atakosa kura ya.

1. Familiq ya Mangula
2.Familia ya Makamba
3. Familia ya Kinana
4. Fimilia ya Malecela
5. Familia ya Tizeba
6. Familia ya Mwandosa
7. Familia ya Mnauye
8.Ndugulile
9. Familia ya Masele
10. Familia ya Chenge
Mkuu naona umepiga ramli yako umebaini ivyo, hongera sana
 
Wadai wote Wa NSSF nao hawatoi kura, maana FAO LA kukosa ajira nalo limekuwa mwiba , MTU anamiaka 3 hana kazi ila ananyimwa pesa yake NSSf
 
Back
Top Bottom