wote

  1. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  2. yuda75

    JamiiForums Tanzania The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti

    Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hakuna baba ambaye hataki kuona watoto wake wote wanamtii, wanamheshimu na wanafanikiwa, tukubali tu kuwa kuna mapungufu

    Habari! Hapa nazungumzia hawa miungu au Mungu maarufu duniani ambao mafundisho yao yameenea sana. Dini hizi zilizoonea sana zinasema kuwa Mungu ni; - Baba(mzazi) -Muweza wa yote -Yupo kila pahali -Anajua yote --Muumba -Mwenye huruma. *****Atakayewachoma moto watu wote wasiomtii na watenda...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini juu ya unafiki wa Zitto Kabwe? Kutoka mwanasiasa aliyejinasibu kupinga ufisadi hadi kuwa kibaraka wa mafisadi

    Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi. Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo. Leo hii amesahau kuwa alikuwa sio wa kujumuika na wanaCcm mafisadi na wazurumati? Kwa ajili ya...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wote Wanaoapa kuilinda Katiba wanafanya hivyo?

    Huwezi kulinda Kwa moyo kitu usichokifahamu vizuri. Ukiteuliwa Leo unaapishwa kesho kulinda katiba, wapo wanaopa kulinda katiba wasiyoifahamu inasema nini na inataka nini, ndiyo maana watu wanakubali haraka haraka kuapishwa. Pengine hawafahamu katiba inataka nini, inaruhusu nini na inakataza...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme tukanunue wote vifaa original, malipo 50,000 to 100,000

    Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana, Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji kagueni vibali, uraia na passport za wasanii na watu mashuhuri wote

    Nitoe rai kukagua uraia na passport za watu wote mashuhuri na wasanii kwenye list wasikosekane; 1. Petit Man wakuache 2. Wasanii wote wa bolingo 3. Dancers wote 4. Alistote 5. Wamiliki wote wa maduka ya nguo Kinondoni Mtanishukuru baadae lakini mnaweza kuamua kupuuza pia.
  8. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wanawake hutumia hisia kufanya maamuzi badala ya akili?

    Habari za humu wana jamii forum wote. Hii mada imemili sana katika suala la maamuzi ya Wanawake hasa katika mambo kadha wa kadha ila hasa katika mahusiano. Mada hii naiweka katika mtindo wa swali na hii ni kutokana na watu wengi huwa wanawasema Wanawake ya kuwa wanatumia sana hisia badala ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Udhaifu Wote wa Simba, Watachukua Kombe la Shirikisho

    Naomba mtunze hii kumbukumbu, pamoja na udhaifu tunaouona kwa timu ya Simba, hawa ndio mabingwa wa kombe la shirikisho 2022. Tunza hii..
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Juma Nature ndio best storyteller wa muda wote Bongo. Wasanii wachanga mnao-rap jifunzeni kwa Juma Nature

    Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature. Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha yake kubwa ilikuwa ni storytelling. Ipo wazi Juma Nature ndio bingwa wa storytelling kibongobongo...
  12. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Eeh Mungu, Waadhibu vikali wote waliochonga kesi ya Mbowe

    Nilifanya Maombi kwa kupiga magoti na kufunga ili Mungu awaadhibu vikali wote waliodhamiliakumuuwa Mhe Tundu Lisu, ninaamini maombi yalipokelewa na yaliitikiwa kwa imani yangu. Huyu Mungu muumba wa ardhi na Mbingu, ndiye aliyeumba viumbe vyote na vyote viko chini ya himaya yake. Anatenda...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

    Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache. Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

    Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani. Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na malipo kwa masikini wa TASAF bali ianze kuwalipa pesa walemavu wote wasio na ajira

    Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

    Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika. Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai Msondo Sikinde Maquiz Ramadhani Lemmy Ongala...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa

    Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali. Wengi tulishuhudia huduma nzuri pamoja na upatikanaji wa dawa ndani ya...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanaume marijali wote wapo jela kwa kesi za ubakaji

    Hili ni tusi la kiutu uzima. Ingawa dada huyu alikuwa anaongea kama utani lakini she was making alot of sense. Ni hivi tulikuwa kwenye kikao cha harusi bar. Akapita jamaa AKASEMA anauza Dawa ya nguvu za kiume... Licha ya kujibiwa kwamba we are not interested but akawa anaendelea kujinadi...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

    Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba). Sasa hoja iko hapa. Katika...
Back
Top Bottom