UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema leo Jumapili utakuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya kuisapoti Simba itakapokuwa inacheza dhidi ya Orlando Pirates.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassan Bumbuli wakati Simba leo wakitarajiwa kuwa wenyeji wa...
Inasikitisha kwasasa kigamboni kuguka ni kadi tu uwe mtoto uwe mkubwa ni Tsh 200 tu kwa wote sasa hakuna tena ile mtoto tsh 100 kweli hii vita Ukraine inatonyoosha kila idara aisee ila hongera kwa temesa kwa kutuminya wanakigamboni big up kwa uongozi temesa kazi iendelee
Najiuliza tuu,
JPM endapo Angelikuwepo kama raisi ama muda wake wa utawala kuisha,
Aliyekuwa makamo wake ambaye ndiye Rais wetu kwa sasa Angelisema hayo kama aliyosema Washington huko kwa wazungu, ama kwa vile mwenzetu katangulia ndio tunasema na kwa bahati mbaya hawezi hata kusema kwamba kwa...
Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo wasiofurahishwa na kunangwa kwa boss wao wa awali!
Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua .
Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa...
Binadamu ni mtu anayependa kupata fursa ya kusema ili awe na amani,ndg viongozi msijisahaulishe wala kupuuzia mnapoongoza watu wapeni nafasi ya kujadili,kukosoa,na kushauri na haya yote yafanyike kwa uhuru kamili.
Mimi nimewahi kuongoza ktk taasisi ya serikali nilipokuwa natenda haya mambo...
kwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa waonyonge' ndio wanaonekana ndio sahihi
Mfano akitokea Rais akaanza ku deal na matajiri, akachukua mfano...
Leo Aprili 12 ni Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani au kwa jina lingine ni Siku ya Kimataifa ya Binadamu Kwenda Angani. Kutoka "mazungumzo kati ya mbingu na dunia" na wanaanga wanaotekeleza majukumu kwenye anga za juu, kujibu barua za wanasayansi wazee walioshiriki katika operesheni ya...
Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki:
Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu?
Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha?
Kama warusi...
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru.
Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi.
Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake.
Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
barabara
haufai
kimataifa
kiongozi
kisayansi
kitaalam
kufanya
kukagua
kutumia
kwani
mbio
mbio za mwenge
miradi
mwenge
njombe
picha
tena
ubora
vigezo
watanzania
wote
Nilipokuwa mdogo niliamini dhana ya kwamba..
i) Wazungu wote ni watu wenye waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili kuliko akina sisi wa kwa Mtogole na Buza kwa Mama Kibonge..
Kabla sijatembelea nchi za Ulaya niliamini dhana hii. Lakini baada ya kufika Ulaya na kusoma nao darasa moja...
Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue kinachoendelea. Kuna watu wanaongea kishabiki tu hata hawajui utaratibu itakayotumika!
1. What paying for...
Familia yetu yote hakuna mwenye unafuu wa kiuchumi. Nikaangazia macho ndugu wa baba na mama, na wao wote ni masikini sana. Nikafuatilia historia ya mababu na wao walikuwa mafukara kabisa.
Nina shahada ya kwanza ila ninakaribia kumaliza mwaka tangu nimalize chuo lakini sijawahi kuifanyia kazi...
Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo bado lipo na halijafikia tamati.
Makonda analalamika kuwa amedhulumiwa eneo na mjengo wake eneo...
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga...
Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele.
Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea...
Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini.
Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji.
Wasanii Wameonekana kutokua...
Hii video imenifanya nitafakari, kweli hapa duniani tunapita; unaweza ukapambana ili uweze kuishi miaka mingi; lakini viungo vya mwili vikaendelea kuchoka na hatimaye kupoteza ufanisi wake, mfano macho, ngozi n.k na mwisho wa siku moyo kushindwa kufanya kazi yake na kupata umauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.