wote

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

    Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Godbless Lema katika The Big Ajenda Star TV, yupo vizuri kichwani kuwazidi wapinzani wote hapa Tanzania

    Lema ana akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. Watz Wamefungwa akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu kumbe sio kweli. Nimeshtushwa alipoongelea Mwalimu kulipwa lakitano na Askari police anayeanza Kazi...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka yule kamanda aliyesema anao ushaidi wote wa kumfunga Mbowe?

    Hivi huko aliko anajisikiaje kuona mama anashikana mkono na mbowe?
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naanzisha kampeni ya kukataa Bima ya Afya kwa wote

    Hili suala ni dhahiri serikali inataka kufanya biased na wananchi. Kama watumishi wa umma tu mneshindwa kutuhudumia vizuri mpaka tunapata dawa grade 3 & 4, sasa mkihudumia angalau 30% ya Watanzania hali itakuwaje? Zamani bima ya NHIF ilikuwa kama bakshishi kwa watumishi na toto afya ilikuwa...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Barcelona ya Mwaka 2009 - 2011 ndio timu bora ya wakati wote kwa upande wangu

    Barcelona iliyoundwa na Valdes golini. Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal. Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta. Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Leo Messi, David Villa na Thiery Henry. Pia benchi unawakuta akina Pique, Keita, Pedro, Bojan, na...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

    Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini. "Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Michael Jordan bado anaongoza kwa Wanamichezo 10 wa Muda Wote wanaolipwa Fedha nyingi duniani

    1. Michael Jordan - Tsh. Bilioni 7.7 2. Tiger Woods - Tsh. Bilioni 5.8 3. Arnold Palmer - Tsh. Bilioni 3.9 4. Jack Nicklaus - Tsh. Bilioni 3.8 5. Cristiano Ronaldo - Tsh. Bilioni 3.7 6. LeBron James - Tsh. Bilioni 3.5 7. Lionel Messi - Tsh. Bilioni 3.4 8. Floyd Mayweather - Tsh. Bilioni 3.3 9...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wanachadema wote waliosimama na wananchi wakati wa JPM majimbo Yao yanawasubiri warejeshewe Ubunge wao. Wana CCM waliobweteka mtaa unawasubiri

    Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka. Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga...
  9. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Mwanamke bora kuliko wote duniani ni Bikira Maria, ukitaka ndiyo hivyo, usipotaka ndiyo hivyo

    Lk 1:46-50 SUV Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu. Na...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi wa wote

    Katika Kuelekea kilele cha Siku ya wanawake Duniani, Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi Siku ya Maadhimisho hayo Yaliyoandaliwa na Bawacha (CHADEMA). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa maadhimisho hayo...
  11. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wote wameunga juhudi kwa staili tofauti

    Wala sitaki kuwapotezea muda wenu wanabodi. Ni kwamba Chadema Sasa kimekua Chama Cha Kuunga JUHUDI lakini Kwa Mitindo tofauti. Katika Awamu ya Tano muhula wa kwanza, Tulishuhudia Makamanda akiunga JUHUDI na kuhamia huko kubuyuni mazimamazima. Katika Awamu hii ya Tano muhula wa pili. Sasa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

    Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. “Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
  13. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  14. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na Walimu wote ni madaraja ya wanasiasa kufikia malengo yao

    Kipindi cha kampeni bodaboda hufanya amsha amsha ya mitaa na kuhadaiwa na wanasiasa kuwachagua kwa ahadi fulani. Baada tu ya uchaguzi kuisha hudharauriwa na wanasiasa kama walivyodharauriwa na Lema. Walimu hawa kazi yao haitofautini sana na bodaboda katika kuwafikisha wanasiasa pale...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Rapa mwenye kasi kuliko wote duniani, Twista, amepotelea wapi?

    Eti wakuu huyu mwamba alipotelea wapi. Alivunja rekodi ya kuwa rapa mwenye kasi zaidi akifuatiwa na eminem. Licha ya kasi pia alitoa nyimbo kali nzuri. Kapotelea wapi?
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watoto wote wanaozaliwa Hospitali ya Bugando kupimwa usikivu

    Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC) imeanzisha utaratibu wa kuwapima usikivu watoto wote wanaozaliwa hospitalini hapo kwa lengo la kubaini na kudhibiti tatizo la usikivu katika hatua ya awali. Akizungumza leo Machi 3, 2023 wakati wa maadhimisho ya 'Siku ya Usikivu' duniani ambayo...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wapita

    Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote huku Serikali ikiahidi kuhakikisha mfuko huo unakwenda kutekeleza malengo yake ya kuwapatia Wananchi huduma za Afya kikamilifu kwa makundi yote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya alisema...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanafunzi wote waliozama Mto Luiche imepatikana

    Mwili wa mwanafunzi Zabibu Jumanne (8) ambaye ndiye pekee alikuwa hajapatikana kati ya wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji waliozama ndani ya maji ya Mto Luiche baada ya mtumbwi waliopanda kupinduka umepatikana. Kupatikana kwa mwili wa Zabibu kumefanya idadi ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wote mnaomtukana, kumdharau na kutomtaka Kibu Denis akirejea kutoka Kampala mkamuombe Radhi

    Katika uzi wangu wa leo ambao pia nilijaribu kupanga vikosi vyangu viwili tofauti ambavyo niliona vingetupa matokeo na mwishoni, nilisisitiza mno kuwa mechi ya leo kwa uchezaji wa kutumia nguvu nyingi walionao waganda ingemfaa sana na angeisaidia Simba SC kimchezo. Huhitaji kupoteza muda au...
Back
Top Bottom