wote

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli huu uwafikie viongozi wote wa Afrika

    Wandugu kumbe Africa bado tuna viongozi wenye akili.
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 25 wote hawajawahi kuivuka rekodi hii CAF Champions League

    Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998 Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana huishia robo fainali yaani ile ile 8 Bora walioishia Yanga, miaka ishirini na tano sasa
  3. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Msimu huu wa 2022/23 Yanga na Man City, wote watabeba makombe matatu

    Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo hiyo itatokea kwa timu ya Man City ya Uingereza ambayo nayo itabeba makombe matatu (Ligi kuu, Kombe...
  4. JamiiForums Tanzania Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

    Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora n 1. Dilwale dulhia lejeynge srk 2. Darr srk na sanny deol 3. Fida ya Shahid Kapoor 4. Pyaa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ila wabongo wabishi aisee, tozo na mfumuko wote huu wa bei bado sikukuu zimefana kama kawa!!!

    Nazungumzia sikukuu zote za hivi karibuni; x-mas, mwaka na hii eid el fitr ya leo. Yaani... -majumbani mapilau yametawala -watoto wamewaka kwa mavazi mapya -kuna maeneo bidhaa kama viazi mpaka vilikwisha kwa jinsi vilivyonunuliwa kwa wingi. -wanawake walivaa -shows za wanamuziki kama zote -kumbi...
  6. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wote wanaotaka kufanya uchafu siku ya leo

    Sina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama. Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu...
  7. JamiiForums Tanzania EID Mubarak Waislam wote

    EID Mubarak Waislam wote popote mlipo. Ikawa sikukuu njema yenye amani, furaha na mafanikio ya kumpendeza Mungu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

    Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini. Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana. Je, niwapi wanaomfata?
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi Waandamizi wote Serikalini igeni mfano Bora wa Waziri Dkt. Gwajima kuwa na Verified Account JamiiForums

    Pongezi nyingi Kwako Waziri Dkt. Gwajima D kwa kuamua rasmi bila Uwoga kuwa Verified Member hapa Changanyikeni Brains JamiiForums. Niwaombe sasa na Viongozi Waandamizi wote wa Serikali nanyi pia muigeni Waziri Dk. Gwajima kwa kujiweka Wazi hapa (kuwa Verified) ili Sisi akina GENTAMYCINE...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalam wote wa Biblia na Theology, naombeni ushauri wenu

    Kwanza kabisa nawasalimu Sana. Karibu Moja Kwa moja kwenye Uzi huu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na Elimu ya theolojia. Baada ya kuvuta subra, nimeona niingie rasmi kwenye theolojia. Baada ya kutafakali Sana. Nimeona niwashirikishe Wana JF ambao teari mmepita huko kwenye vyuoni vya Elimu...
  11. JamiiForums Tanzania Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

    Nipo njia panda kwa kweli.... Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza Picha kwa hisani ya Google
  12. S

    JamiiForums Tanzania Leo nafufuka na Yesu Kristo. Naomba msamaha kwa wote niliowakosea humu JF, nami nimewasamehe.

    Huku JF wakati mwingine huwa naingia nikiwa serious na nikiwa makini kweli kweli. Lkn Kuna muda nakuwa na stress zangu tu naamua kuja kuziondolea huku. Hivyo kuna muda natoa maoni yanayoweza kuwa yamewakwaza baadhi yenu. Nachukuwa fursa hii kuomba radhi kwenu nyote ktk siku hii takatifu...
  13. JamiiForums Tanzania Ni lazima wote tuwe waislamu?

    Hivi ni lazima, mtu ukiwa na imani yako si inatosha?
  14. JamiiForums Tanzania Waislamu na Wakristo wote hawajitambui, naongea na nyinyi leo

    Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia. Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael? Halafu jiulizeni...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika. Niko mahali...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  17. JamiiForums Tanzania Kundi la NRA lakiri kumuua mwana-propaganda wa Urusi, na kuendelea kuwasaka wote

    Hili kundi la Warusi wanaompinga Putin limeapa kuwasaka propagandist wa Putin mmoja baada ya mwingine.... The National Republican Army has claimed responsibility for arranging the murder of propagandist Vladlen Tatarsky. Quote from the National Republican Army: "On 2 April 2023, we organised...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Kwa Fei Toto wa Stars wote tumevuna tulichopanda

    MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini. Hakuna aliyeshangaa Fei kuwekwa benchi na Adel Amrouche, kocha mpya wa Stars. Watanzania wa leo wana...
  19. JamiiForums Tanzania Awa ndio malkia wa nguvu wa wakati wote

    1. Mama Samia 2. Anne Makinda 3. Rita Paulsen 4. Mama Mongela 5. Mwamvita Makamba
  20. JamiiForums Tanzania Iwepo sheria laptops kwa wanafunzi wote vyuoni ziwe ni "Lenovo Thinkpad" kuwanusuru stress za matengenezo na kugharamika zaidi kununua laptops mpya

    Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua wanaopewa pesa bila mawazo na walioajiriwa tayari wenye spare money Linapokuja suala la wanafunzi kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…