Uyu hapa
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 348
- 401
Kwanza kabisa nawasalimu Sana.
Karibu Moja Kwa moja kwenye Uzi huu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na Elimu ya theolojia. Baada ya kuvuta subra, nimeona niingie rasmi kwenye theolojia.
Baada ya kutafakali Sana. Nimeona niwashirikishe Wana JF ambao teari mmepita huko kwenye vyuoni vya Elimu ya theolojia nchini Tanzania.
Niliitaji kufahamishwa mengi kuhusu Hali ya vyuo vyetu nchini vinavyotoa Elimu inayohusiana na theolojia.
Vyuo vingi nikicheki vinavyo tangaza vinatowa Elimu hio, hapa nchini. Usajili wa vyuo hivyo sivielewi unatia mashaka, kwangu, labda sielewi kiundani mambo yako vipi, ndio maana nikajaa jukwaani hapa.
Kwa vyuo vinavyotoa ngazi ya awali tu, bachelor degree n.k Nimecheki, TCU, kwenye listi ya TCU sivioni vyuo hivyo. Na nikicheki level ya kimataifa Bado sivioni.
Je, Hivi vyuo vya kwetu vya Elimu ya kiDini vinasajiliwa katika category ipi ya vyuo vinavyotoa bachelor degree na visionekane TCU, au huo ni upigaji tu?
Je, vyuo hivyo vya hapa nchini,vipo katika ubora wa kimataifa au ndio upigaji pesa tu?
Je,vyuo hivyo vinakidhi viwango vya kimataifa na vinatambulika kimataifa?
Naombeni, kujuzwa hali na ukweli wa vyuo vyetu vya Elimu ya theolojia, nchini Tanzania.
Naombeni ufafanuzi na ushauri kama mtu anaitaji Hio Elimu ya kiDini ya theolojia apite wapi na chuo kipi nchini ambacho kinatambulika kitaifa nchini na hata kimataifa pia n.k
Nawasilisha 🙏