wote

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mwinjilisti Bujibuji kwa wana JamiiForums wote. Soma ufaidike na hekima ya Simba Nyamaume

    Dondoo za maisha: 1. Usiwakopeshe ndugu zako. Wasaidie. ¹ Ndugu zangu wapendwa katika jamvi hili adhimu la JamiiForums nawausia, usimkopeshe nduguyo, msaidie. ²Kuna ndugu wazandiki wenye husda, anakuja na gia ya kukopa, kumbe hana nia ya kurudisha, usimkopeshe, mpe aende. ³Leo familia nyingi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania TLS, CHADEMA na wote wanaoipenda Nchi yetu, lipelekeni mahakamani suala la Bandari zetu

    Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation) Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights...
  3. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Bahasha zisizo eleweka zina nini ndani zagawiwa mda huu kwa wabunge wote

    Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea. ....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa! Chanzo.
  4. Hold on

    JamiiForums Tanzania Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

    Hi, Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe...
  5. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wote tuungane tulikatae hilo la waarabu

    Siyo kesho tena bali tuanze sasa! Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo. Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote wa Dini iwapendeze kuteua siku maalum kwa ajili ya kumlilia Mungu aliponye taifa kwa yanayoendelea

    Kwa hali ilivyo nchini mwetu namna viongozi wetu wanavyoiendesha nchi, Kwa mikataba ya vificho yenye kuliingiza taifa kwenye hasara mfano ikiwa kuibinafsisha bandari yetu ambayo ni nguzo kuu ya uchumu wetu,na mikataba mingine mingi yenye agenda za Siri tusiyoijua. Iwapendeze viongozi wetu wa...
  7. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa kamati ya miundombinu waliotembelea Dubai wote walikabidhiwa nyumba

    Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao. Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX...
  8. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa waajiriwa wote

    Habari wanaJF! Natumaini Jumapili imeanza vyema. Katika pitapita zangu, nimekutana na mawaidha yafuatayo yanaweza kukusaidia wewe mwajiri kuwa na mwisho mzuri na kufurahia maisha ndani (na baada) ya kazi. 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini au mjini. Usisubiri kufikia miaka 50. Usizoee nyumba...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote

    Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba. 1. Ottara 2. Onyango 3. Bocco 4. Kapama 5. Kyombo 6. Saido (mchezaji mzuri umri unamtupa) 7. Okwa 8. Akpan 9. Sawadogo 10. Mangungu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia dildos wanafanya dhambi ya masterbation

    Kutengeneza ama kuamsha hisia za kingono mpk kufikia hatua ya kujiridhisha bila kutumia tupu za jinsia nyingine ndiyo huitwa punyeto (masturbation). Kwahiyo hata wale wanaotumia dildos ama matunda kama matango, ndizi mapapai, n.k kujiridhisha hawa pia wanapiga punyeto. Wanaume watakaonunua...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Wanafki wote Duniani huumbuliwa kama Feitoto, hii ipo mpaka Marekani. Yanga ikibeba kombe kuna watu watakufa

    Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip. Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi. Sasa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Boeing imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F, Magufuli atajwa

    Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) tayari kwa safari ya ndege hiyo kutoka Marekani na kuja hapa nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yamefanywa katika kiwanda Boeing kilichopo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Top 5 Wasanii bora wa kuimba wa muda wote Tanzania

    Moja kwa moja kwenye mada. 5. Matonya Kwenye ubora wake huu jamaa alikuwa moto, msikie kwenye nyimbo kama Tax bubu, Vailet, Dunia mapito n.k nadhan wasanii wa sasa wana kitu cha kujifunza kwake. 4. Jay dee Msikilize kwenye nyimbo Mawazo, na nyingine kibao 3. Q chilla Msikilize kwenye nyimbo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania inatamka watu wote kushitakiwa kwa mujibu wa sheria. Kwanini CCM inataka kuwapa kinga TISS?

    Ibara ya 13 (1) imetanabaisha wazi kabisa kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi. Leo hii CCM wanaenda kupitisha sheria ambayo itawapa kinga maofisa wa TISS wakifanya makosa . Hii ina maana gani? Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

    Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50. Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa. Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watu wote wanaomsema vibaya Hayati Magufuli ni waongo wakubwa

    Huhitaji kuwa masters degree kulielewa hili, hawa ndo watu waongo kupindukia maana hawataki kusema ukweli. Mtu yoyote anayemsema vibaya jemedali wetu kaa naye mbali sana ni muongo na mnafiki mkubwa. What they do is "Appreciate Magufuli in private and spoil him in public" ogopa Sana hao viumbe...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote wanaojuta baada ya kupiga peku

    Habari wakuu, Kuna watu wanamtindo wa kujaamiana na watu wasiowaamini kwa Mara ya kwanza au pili bila kondom halafu anaenda mbele kujilaumu au anajialaumu kesho yake, baada ya siku kadhaa anajipa moyo yule alikuwa fresh tu, mara anakutana na mwingine anarudia tena halafu anajilaumu...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  20. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Nauza samaki Sato fresh

    Samaki aina ya sato ni moja kati ya kitoeo kinachopenda wa na idadi kubwa ya watu Zaidi ya aina nyingine zote za samaki wa maji chumvi na maji baridi kutokana na ladha yake ya kipekee na pia ni good source of protein. Sio hilo tu lakini pia ina kiwango kikubwa cha Omega 3 fatty ambacho ni muhimu...
Back
Top Bottom