Simu yangu imekuwa mfariji na kipenzi changu muda wote

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,116
2,285
Hiki kifaa kimenifanya kuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kila siku. Kwa ufupi kimeweza teka hisia zangu kuliko hata mwanamke. Kimechukua muda wangu mwingi kwenye maisha yangu ya kila siku.

Simu imekuwa ikiniamsha niwahi kazini. Simu imekuwa ikinipa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii baada ya ku wafollow motivational katika Inst na X. Simu imekuwa ikinipa aina ya Mazoezi ya kufanya kulingana na mahitajio.

Simu imenifanya nipate Ma daktari wa kiafya na kunipa muongozo wa maisha yangu ya kila siku katika chakula mpaka kulala. Simu imekuwa refreshing wakati wa kutazama warembo mbalimbali.

SIMU IME KUWA KIFAA CHA MUHIMU KWENYE MAISHA YANGU KULIKO MWANAMKE.
ASANTENI
 
Hiki kifaa kimenifanya kuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kila siku.
Kwa ufupi kimeweza teka hisia zangu kuliko hata mwanamke.
Kimechukua muda wangu mwingi kwenye maisha yangu ya kila siku.
Simu imekuwa ikiniamsha niwahi kazini.
Simu imekuwa ikinipa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii baada ya ku wafollow motivational katika Inst na X.
Simu imekuwa ikinipa aina ya Mazoezi ya kufanya kulingana na mahitajio.
Simu imenifanya nipate Ma daktari wa kiafya na kunipa muongozo wa maisha yangu ya kila siku katika chakula mpaka kulala.
Simu imekuwa refreshing wakati wa kutazama warembo mbalimbali.

Daaah pole
Huu uzi utafika mbali

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
General Nguli vip Tena!
Mi nikajua wewe ni general Nguli kwelikwel ( magufuli voice)! Hata vivyo pole! Dunia ndoyo ilivyo usipokaza moyo utajikuta hata anamwona fisi kama ndo mfariji wako .
rejea wazungu kufunga ndoa na mbwa.
 
Hauwezi kufika mbali ksbb huyu tayari amejitanabaisha kutumia pornography kumaliza matamanio yake ya mwanamke. Ni wa kumunea huruma. Pia anahitaji tiba. Dunia ya sasa unaweza ukajiona umemaliza kila kitu kwa njia zako. Kuja kushtuka tayari uko polini mstuni. Kuja kutafuta njia ya kurudi,tayari giza. MUNGU atutangulie kwa kweli
 
Hakika

Ha ha ha ha ha...
Ukweli haupingwi simu imeweza ondoa stress kwa kiasi kikubwa sana kwangu.
Nimekuwa mtu waku enjoy mwenyewe tuu na kifaa changu
 
Hiki kifaa kimenifanya kuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kila siku.
Kwa ufupi kimeweza teka hisia zangu kuliko hata mwanamke.
Kimechukua muda wangu mwingi kwenye maisha yangu ya kila siku.
Simu imekuwa ikiniamsha niwahi kazini.
Simu imekuwa ikinipa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii baada ya ku wafollow motivational katika Inst na X.
Simu imekuwa ikinipa aina ya Mazoezi ya kufanya kulingana na mahitajio.
Simu imenifanya nipate Ma daktari wa kiafya na kunipa muongozo wa maisha yangu ya kila siku katika chakula mpaka kulala.
Simu imekuwa refreshing wakati wa kutazama warembo mbalimbali.
SIMU IME KUWA KIFAA CHA MUHIMU KWENYE MAISHA YANGU KULIKO MWANAMKE.
ASANTENI
Duh!.....simu ni muhimu ila 'internet (mtandao)' ndio uliokutawala wewe.
 
Hauwezi kufika mbali ksbb huyu tayari amejitanabaisha kutumia pornography kumaliza matamanio yake ya mwanamke. Ni wa kumunea huruma. Pia anahitaji tiba. Dunia ya sasa unaweza ukajiona umemaliza kila kitu kwa njia zako. Kuja kushtuka tayari uko polini mstuni. Kuja kutafuta njia ya kurudi,tayari giza. MUNGU atutangulie kwa kweli
Simu imemaliza kila tatizo kwangu.
Porn Sio kipenzi changu.Nina site nyingi sana.ikiwemo ya CHART GPT.kweli nimekuwa na mwanga mkubwa sana kwa kiwango changu.
Naweza kaa sehem moja siku nzima bila tatizzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom