wote

  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

    Hamna mahali popote pameandikwa mwanamke utakae zaa nae ndio unatakiwa umuoe awe mke waako wa ndoa"hakuna". Ila pia hakuna mahali pameandikwa kwamba mwanamke utakae mzalisha usimpende wala usimpe huduma zote muhimu "hakuna" Mwanaume unaweza kuwa ulishawahi kuwa na mtoto kwa mwanamke ambae si...
  2. JamiiForums Tanzania Wale wote tunaodaiwa na mitandao ya simu tukutane hapa, tupeane ushauri

    Tumekuwa tukiishi kwa wasiwasi sana hasa tukitumiwa pesa tunakimbilia kwa mawakala kama hatuna akili nzuri. mimi kidogo nime-advance, natembea na namba za wakala za kutolea pesa. Ila kuna siku nimesinzia kwenye daladala kushtuka pesa wamezilamba. Sasa nadaiwa laki nne wakinijumlishia riba yao...
  3. JamiiForums Tanzania WanaCCM wote Tarime waliohamia CHADEMA na kupokelewa na Heche warudi tena CCM!

    Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM. Thread...
  4. JamiiForums Tanzania REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

    Hili halina ubishi huyu jamaa anatalanta ya kipekee sana Licha ya kuwa hana uwezo Wa kuona tangu kuzaliwa kwake (KIPOFU) Lakini anauwezo MKUBWA Wa kupiga vyombo vingi vya mziki Sauti yake ni ya kipekee na ya tofauti sana hafanani na mwanamziki yoyote yule Reuben kigame ni mkenya anaishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…