wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar (Kesi za Wizi Majumbani Zimeshamiri). Usalama hakuna

    Mkuu wa Mkoa wa Dar pamoja na Mambosasa. Hii hari ninayo isikia na kuona mtaani na kila ninapotembelea vituoa vya polisi sio nzuri. Usalama wa raia na mali zoa haupo tena. Watu wanavamiwa mchana, usiku, asubuhi na jioni. Mko wapi? Mfano: Staki shari kuna kesi kibao za watu kuibiwa. Kule...
  2. JamiiForums Tanzania Dar: Watuhumiwa 56 Wakamatwa kwa wizi wa magari 12 na pikipiki 28

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 56 KWA WIZI WA MAGARI NA PIKIPIKI, MAGARI 12 YA WIZI NA PIKIPIKI 28. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam katika kipindi cha kuanzia Mwezi Machi hadi Aprili 2021 limefanya oparesheni ya kupambana na wahalifu vinara wanaojihusisha...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

    Habari wana JF Kuna wizi mpya wa vifaa vya magari naona umekithiri sana huko maeneo ya Goba, Mbezi, Temeke watu wanaibiwa sana vifaa naomba Ma RC , POLISI N.K walishugulikie hili swala wezi wanajulikana n wanaonunua hivo vifaa vya wizi wanajulikanaa...
  4. JamiiForums Tanzania Muwe Makini Mtandao wa Halotel kinachofanyaka ni wizi

    Niende Moja kwa Moja kwenye Hoja. Baada ya tarehe mbili Mwezi huu Aprili kupewa onyo juu ya bei ya mabando, hawa watu halotel waliweka Gharama walizodai ni za kawaida accordingly kwa wao kuzingatia waliyoiweka ndio bei kabla ya offer. Mh Rais Alivyoendelea kuwaonya HALOTEL walirejea kama...
  5. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

    Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini. '' Mtu akianzisha labda...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Huwezi kumfunga mikono mwizi kwasababu wizi ni roho

    Huenda mwendazake alifikiri ukali na vitisho ni silaha ya kunyamazisha wizi au kumaliza wezi, lakini kiukweli wizi ni roho. Wizi ni kama Madawa ya kulevya. Mbwia Madawa akikosa Madawa yuko tayari kufanya lolote kutimiza kiu (desire) yake. Kile kiu ni ile Nguvu ya spirit (roho chafu iliyomo...
  7. JamiiForums Tanzania Ni zipi mbinu za kudhibiti wizi kwenye duka la jumla?

    Hello JF, Moja kwa moja kwenye bandiko Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya wafanyakazi na Kodi ya pango nabaki na 600k au 700k Kama faida, kwa Duka moja. Hivyo kutokana na biashara...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Kudhibiti wizi wa mali za umma Baraza la mawaziri lisiwe na siri

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna maelezo zaidi ya kusema 'Ni maamuzi ya Baraza' Amesema suala hilo linafanya kuwepo kwa mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma, hivyo ni vizuri kuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana? Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika. Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

    Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini. Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI yamkamata mwanaume aliyenakiliwa akitaka kumchoma mshukiwa wa wizi Mombasa

    TAHADHARI: Video huenda 'ikakusumbua akili' Idara ya upelelezi nchini Kenya DCI imemkamata Swabir Abdulrazak Mohammed, mwanaume aliyenakiliwa kwenye video akimpiga mshukiwa wa wizi jijini Mombasa. Swabir, ambaye ni mlinzi katika kiwanda cha Ajab Unga alirekodiwa akimpiga mshukiwa huyo huku...
  13. JamiiForums Tanzania TIRA yaja na stika za Bima za kielekroniki ili kudhibiti wizi

    Kuanzia aprii 1, 2021 Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania(TIRA) imewatangazia wamiliki wa vyombo vya moto kuwa ulipiaji wa bima hautakuwa na utoaji wa stika za kubandika kama ilivyokuwa Badala ya Stika za kubandika mteja atapewa namba ya kielekroniki ya stika. Hatua hii imefikiwa kutokana na...
  14. JamiiForums Tanzania Wizi wa magari umerudi kwa kasi, jua mbinu za wezi wa magari

    Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM. Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa. Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ. Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kifanyike ili kuondoa wizi maofisini na katika mashirika ya Kiserikali?

    Toa maoni yako hapa, Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali? Je, mishahara ni kidogo? Marupurupu yaongezwe? Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
  16. JamiiForums Tanzania Wizara zenye wizi na ubadhilifu zapaswa kufanya tathmini (Risk Assessment) za kila mara, vitendo hivyo ni sehemu ya hujuma kwa taifa

    Wizara mbalimbali zimekuwa zikikabiliwa na matatizo kama ubadhilifu wa fedha, wizi wa kimtandao na wa kughushi na hata matishio ya kusambazwa kwa taharuki kutoka kwenye mitandao ya kijamii. Kumekuwa na taarifa za vitendo vya udanganyifu katika Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo mijini, wizi...
  17. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa dawa zenye thamani ya Tshs 26.7 billioni wabainika kwenye Hospitali za Rufaa za mikoa 28 Tanzania bara

    Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Upigaji Kivuko cha Busisi

    Kuna wizi unaendelea siku ya 3 Leo kivuko cha busisi Mwanza. Wananchi wanalipia huduma ya Choo bila receipt wala machine siku ya 3 sasa. Watu wanatoa km sadaka kanisani. Nimejaribu kuuliza kwanini hawatoi receipt wala mashine nimeambiwa ni maelekezo kutoka ofisi ya TEMESA. Pia, nimemuuliza...
  19. J

    JamiiForums Tanzania TCRA wakomesha wizi wa kwenye mitandao tuma ujumbe kwenda namba 15040

    Endapo umetapeliwa au umetumiwa ujumbe wa utapeli, tuma ujumbe husika na namba ya aliyekutapeli au kukutumia ujumbe wa utapeli kwenda 15040. Huduma hii ni bure. Tushirikiane kutokomeza utapeli kupitia simu za mikononi. Sambaza ujumbe huu cc @TCRA_Tz @ConsumerCcc
  20. JamiiForums Tanzania DC Muro avuruga mtandao wa wizi wa ng’ombe za watu majumbani

    Mkuu wa wilaya ya Arumeru , Jerry C. Muro ametumia saa 18 kusambaratisha mtandao wa wizi wa ng’ombe za wananchi majumbani ambapo mpaka sasa watuhumiwa 5 sugu wa wizi wa ng’ombe tayari wako mikononi mwa vyombo vya dola. Dc Muro amelazimika kuingilia kati baada ya ng’ombe zaidi ya 13 kuibwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…