wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini walokole hutaka kuvuna wasipopanda? Je, huu ni wizi wanaofundishwa makanisani?

    Naandika hili kwa masikitiko Sana kwamba ujambazi au wizi unafundishwa makanisa haya ya kilokole. Mfano ukienda makanisa haya utaambiwa kesho utakuwa tajiri au utaokota fuko la hela wakati inajulikana ili upate hela lazima ufanye kazi za jasho. Hawa wanapelekea kuwa ikitokea ukapoteza waleti...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

    Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya... "Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Wizi unaofanyika kwenye Kumbi za Sherehe. Ni Wizi Mkubwa sana.....

    Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao. Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi. Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua namna ya kudhibiti wizi wa mifugo shambani

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kufahamishwa mbinu mbalimbali za kudhibiti wezi wa mifugo shambani.
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

    Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa. Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?! Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?! Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kelele za wizi wa mali za umma zimezidi sasa, ni wizi wizi wizi kila mahala

    Ndani ya kipindi kifupi tunasikia taarifa ya wizi wizi wizi wa mali za umma kila kona, kila mahala na mbaya zaidi na watu wakubwa kabisa. Juzi hapa tulisikia mkurugenzi huko Gairo wa halmashauri ameiba Nondo na Simenti na akazirudisha baada ya kuombwa na waziri Mkuu. Leo hii kelele za wizi wa...
  8. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Mtaani wizi umeshamiri sana, nini kifanyike?

    Hali ya usalama mikoa mbalimbali sio nzuri! Wizi ni kama umerudi kwa kasi sana, sasa hivi usalama wetu na mali zetu uko mashakani sana! Hata hapa JF kila siku lazima ukutane na nyuzi za watu kuibiwa hiyo ni ishara tosha kuwa hali ni tete. Jeshi la Polisi liko wapi? IGP Sirro yuko wapi? Mbona...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbivu na mbichi kuhusu wizi wa mitihani ya afya alizoahidi Waziri ziko wapi?

    Waziri wa Afya kupitia vyombo vya habari alituhabarisha kuwa mbivu na mbichi wa wizi wa mitihani ya Afya itajulikana Jumatatu iliyopita ya wiki hii. Ninauliza, Je, Waziri wa Afya ametoa taarifa hii kupitia vyombo vya habari?
  10. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Iran lazima jaribio la USA kuiba mafuta ya Iran

    Hizi habari niliziona mtandaoni nikahisi labda si kweli ila imethibitisha kimataifa, hii ni aibu mno kwa marekani hawa jamaa ni majambazi hivi kumbe Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Nov 03, 2021 11:25 UTC [https://media] Operesheni makinii...
  11. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Najiuliza sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana? Naomba kujuzwa ili tuwe macho na magari yetu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wizi wa laptops kwenye mabasi

    Huu wizi umekithiri. Tahadhari inahitajika. Kuna ushirikiano mkubwa kati ya makondakta na wezi. Nimeshuhudia wizi Happy nation na Frester. Kuweni makini
  13. blogger

    JamiiForums Tanzania Vodacom wameingia kwenye kamari ya wizi na soka letu. Achení wizi

    Nimejitoa mara nyingi kwenye huduma yenu hii ya soka letu. Na wala sikumbuki kuwahi kujiunga k ***** zenu. Kila nkijitoa mnanirudisha . Nikiweka pesa automatically inakatwa. Acheni upumbavu huu wapumbavu nyinyi. Nimechoka. Hakuna swali lolote nlijibu m k ndu nyie. Nrudishieni pesa yangu.
  14. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Ahukumiwa miaka mitatu jela kwa wizi wa mbuzi

    Mkazi wa kijiji cha Nyiboko, kata ya Kisaka, Mwita Karege (19) amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kukiri kuiba mbuzi watatu wenye thamani ya Sh150,000. Hukumu hiyo katika kesi ya Jinai namba 326/2020 imesomwa leo Jumatatu Oktoba 25 na hakimu...
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani hapa Tanzania biashara ya boda boda inalipa na hamna wizi wa Pikipiki?

    Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda. Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa...
  16. Frustration

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

    Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza simu zenye thamani ya zaidi ya milioni 1 zisajiliwe TRA na zipewe kadi kama za gari, hii itapunguza wizi wa simu

    Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk. Endapo simu itapotea au kuibiwa, by default, systems za TRA ziwe na built in...
  18. Bramo

    JamiiForums Tanzania New TARURA Parking Fee System inaenda kuwa aina mpya wizi na uonevu

    Waaungwana Kama heading inavyoonesha hapo juu. TARURA amekuja na namna nyingine ya kukusanya ushuru wa Maegesho ya Magari, Mfumo huu Mpya ni wa kielektroniki na uko based on Control Number. Nimefanya Research ndogo na kugundua kuwa Huu utaratibu mpya mbao ni Mzuri umegeuka kuwa ainia ya Wizi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kodi halali ni VAT nyingine zote ni wizi, amkeni

    Ukweli usemwe kodi ya uhalali katika nchi nyingi ni ile inayopewa jina la VAT na hutozwa pale unaponunua kitu. Ila hapa Nyumbani Tz kuna mlolongo wa kodi zisizo na miguu wala kichwa ila zinameno na zinatumaliza wananchi. Unaenda kununua mfano luku ya umeme mle ndani mna tozo tatu kuna hiyo ya...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nakuomba Waziri Mbarawa ukajionee wizi na uozo unaolitafuna Shirika la Reli ya Kati kipande cha Tabora - Mpanda

    Ni jumapili iliyopita nilipojaribu kusafiri Kutoka kijijini Ukumbi kakoko kilichopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora kuelekea Tabora mjini, ambapo kwa bahati mbaya siku hiyo treni ilichelewa kupita hivyo nikalazimika kusafiri kesho yake yaani jumatatu. Nilichokishuhudia kwenye hii...
Back
Top Bottom