NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,816
Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi.

Nilianza kutoa laki moja na makato yake yakawa elf 5 na 800+.

Ikaja elf 50-1000000 nikaona wanakata elf 4++

Mwisho nikamaliza na elfu moja tu ambapo walinikata mia nane. Embu fikiria kama utatoa elfu moja kwa kutumia app yao ya kwenye simu basi wao watagawana na wewe hela kwa asilimia 90 yaani iliwezekanaje duniani mtu akatoa elfu moja halafu akakatwa mia nane? hata kama una hela kiasi gani huu ujinga hauwezi kukubaliana nao.

Haya ni makato makubwa zaidi duniani kuwahi kufanywa na benki moja kwa wateja wake.

Ni vyema na ni haki kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu akaachana na huu upuuzi wa kukatwa almost asilimia 90 ya fedha anazozitoa hadi asilimia 6 ya kiasi kikubwa, so hizi mobile app za NMB tuzitumie kuangalizia tu salio.

Anayelalamikia dhuluma hizi ni tajiri, hivyo isihusishwe na hila zozote kupoteza lengo.
 
Mkuu umewezaje kulog in kwa app yao maana me kila nkijarib hamna cha maana
 
Siku zote nimekua nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na maswala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi.

Nilianza kutoa laki moja na makato yake yakawa elf 5 na 800+.

Ikaja elf 50-1000000 nikaona wanakata elf 4++

Mwisho nikamaliza na elf moja tu ambapo walinikata mia nane. Embu fikiria kama utatoa elf moja kwa kutumia app. yao ya kwenye simu basi wao watagawana na wewe hela kwa asilimia 90 yaan iliwezekanaje duniani mtu akatoa elf moja alaf aka katwa mia nane? hata kama una hela kiasi gani huu ujinga hauwezi kukubaliana nao.

Haya ni makato makubwa zaidi duniani kuwahi kufanywa na benki moja kwa wateja wake.

Ni vyema na ni haki kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu akaachana na huu upuuzi wa kukatwa almost asilimia 90 ya fedha anazozitoa hadi asilimia 6 ya kiasi kikubwa, so hizi mobile app za nmb tuzitumie kuangalizia tu salio.

mods. Msifute huu uzi au kuuhamishia kwenye nyuzi zingine za NMB acheni Watanzania wajue ukweli wa dhulma wanazofanyiwa na hawa washamba wa online transaction.

Anayelalamikia dhuluma hizi ni tajiri, hivyo isihusishwe na hila zozote kupoteza lengo.
aisee uho ni wizi,
 
Wanachoboa zaidi ni kukataa kuruhusu internet bank kwa akaunti za savings. Yaani NMB Tanzania internet banking wanaona kama ni feature moja kubwa sana, wanaitoa kwa corporate account tu. Badilikeni acheni ushamba, internet banking ni kitu cha kawaida tu, iwekeni kwa akaunti zote, au mnaona watu watagundua kiurahisi wizi wenu??
 
Mimi ni mwendo wa usssd tu hizo Apps mie akuu naona ni mbwembwe tu zisizo na faida

ussd unapigwa kila ukiangalia salio,voda unapigwa mbele na nyuma,tigo nyuma peke yake nk.

app ukiangalia salio ni bure,kizaa zaa ukitaka kutoa kurusha kwenye simu.ni either utumie pesa fasta(ambayo nayo wameiharibu maana ni cheap)au ukatoe kwa wakala wao ambaye anakwenda sambamba na makato ya ATM.
 
Bora kutoa kwa kwa wakala. App zao siziamini kabisaa hilo ndio tatizo langu kubwaa
 
WAALIMU WANAONEWA SANA. WALIANZA bayport, platimun credit, sasa hadi NMB.

MITANO TENA!
 
Back
Top Bottom