wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Chaguzi za Kisiasa zifanyike Kidigitali (EBS) kuepuka Tuhuma za Wizi wa Kura

    “Electronic Balloting System (EBS)”, ni mfumo wa kupiga kura kidigitali, yaani kwa kutumia vifaa maalum vya tarakilishi. Mfumo wa kutumia tarakilishi katika uchaguzi sii mgeni hapa Tanzania, kwani toka mwaka 2015 Tume ya Uchaguzi nchini ilianza kuutumia kwa kuandikisha na kuhakiki wapiga kura...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

    Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini. Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati...
  3. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania DAWASCO wizi wenu umekithiri sasa

    DAWASA huu wizi unatosha sasa. Kwa mtindo huu tutaishia kutumia maji ya visima tu. Kwa miaka takriban minne natumia maji ya DAWASA, familia yangu yote sio ya kushinda nyumbani ikimaanisha kutwa nzima hakuna matumizi ya maji. Kwa miaka yote hiyo bili yangu ilikuwa haivuki units 4 kwa mwezi...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  5. Ambiente Guru

    JamiiForums Tanzania Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali. Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vodacom huwa wanaiba salio la mteja?

    Wadau habari? ukweli ni kwamba, hawa vodacom, ukiingiza salio bila kujiunga na kifurushi basi hilo salio wanalipiga juu kwa juu. Imenitokea mara nyingi. naweka salio ili niweze kutumia simu banking bila hata kutumia baada ya mda naona salio hamna. kwanini ninunue vocha kwenu halafu mniibie...
  7. ngungwangungwa

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Airtel kwenye vifurushi na huduma mbovu za TCRA

    Wakuu, Nilijiunga kifurushi cha Airtel cha Uniofa ambacho unapata dakika 40, sms 10 na mb 350 kwa muda wa siku 7. Kilichonishangaza leo asbh nilipoangalia salio, ikaonyesha kifurushi changu zile dakika 40 na sms zinaisha tar 04 June. Lkn zile mb zinaisha leo tarehe 31 May saa 2 asbh...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  9. Friday Malafyale

    JamiiForums Tanzania Auawa kikatili kisa wizi wa mihogo Ruangwa Lindi

    Raia mmoja ambaye hajatambulika kwa haraka amekutwa amekufa kwa kuuliwa na kuchomwa moto hadi kufa. Kwa mujibu wa mtoa taarifa hii, tukio hili limetokea kijiji cha Luchelegwa Ruangwa Lindi njia inayoelekea Nachingwea kuna mwizi ameuawa na kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali usiku wa...
  10. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa ID identity

    samtz1 analeta ukakasi wa kufanya tuonekane ID moja aache kuiga iga. Anatumia picha zangu kutafuta ma kuniibiia mademu zangu. Moderator Active mnaruhusuje watu kuiga picha zangu. Why? why? why? My name is Gily. The only super villain and master of Minions..
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kushuhudia wizi wa kipumbavu?

    Wahalifu wengi huiba pesa, vito, magari na vitu vya thamani kama hivyo Lakini mhalifu huyu ni tofauti kidogo. Mnamo Oktoba 2016- mtu huyu alikwenda kwenye duka la furniture na kuiba ''window blinds'' kisha akaificha kwenye koti lake kama unavyoona hapo juu! Wafanyikazi walimuona kupitia CCTV...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wizi Bodi ya Mikopo HESLB

    Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa milioni kumi, unakuta bodi wamemkata ziada labda 10.6m. Kikawaida hiyo laki 6 inatakiwa irejeshwe kwa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

    Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends. Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itupe mrejesho kuhusu wizi wa vifaa vya milioni 500 Hospitali ya Wilaya ya Bunda

    Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika. Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za...
  15. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania CWT ihukumiwe kwa wizi huu

    Cwt ni chama Cha walimu nchini Tanzania. Hakifanyi jambo lolote zaidi ya kuvuna asilimia mbili ya mishahara ya walimu. Mei mosi ndio siku pekee ya tamko Kwa waajiri wote kusitisha makato ya 2% Hadi hapo suala hili litakapoangaliwa upya. Juzi hapa waliokuwa viongozi was Cwt walipata uteuzi was...
  16. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Televisheni ya Sh400,000 yawapeleka miaka 30 jela

    Mwananchi Muktasari: Watu wanne wamehukumiwa na kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Wilaya ya Temeke baada ya kuiba runinga yenye thamani ya Sh400,000. Dar es Salaam. Wakazi wanne wa eneo la Charambe wamehukumiwa kwenda miaka 30 jela na Mahakama ya Wilaya ya Temeke baada ya kutiwa...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa kuwa na Rais asiyeweza kudhibiti Ubadhirifu na Wizi wa Mali za Umma ni taifa linaloangamia na kupotea

    Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi. Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka. Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CCM Kwa moto sana, watuhumiana Ushoga, Wizi na Uuaji!

    Hii week hatimae imeisha, ni jambo la kushukuru Mungu. Kwa upande wa CCM mambo si haba, at least wamethibitisha haya machache japo kwa kutuhumiana na kushutumiana! 1. Wabunge wa CCM wanawatuhumu wabunge wenzao WA CCM kuwa mashoga/mabasha na KIONGOZI wa Bunge anakaa kimya kuashiria ni kweli...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Magari ya Serikali kufichwa na kutelekezwa mitaani ni wizi wazi wazi

    Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba. Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali...
Back
Top Bottom