Waziri Nape, tusemeje ili uelewe kuwa mitandao kama Vodacom wanatuibia?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Yaani asubuh nmetumiwa ujumbe nadaiwa 6070 ya songesha nimelipa 3000 Kati ya hiyo niliyoombewa
Naambiwa nadaiwa 16000 na zaidi aise hawa jamaa ni wezi balaaa.

MH Nape nipo tyr kukupa ushirikiano ili kukomesha wizi huu. Staki kuamini yakuwa upo nyuma ya wizi huu tafadhali jumbe zao.

Mitandao.jpg
 
Songesha riba Yao ni ya kila sku , hapo inaonyesha wewe ulikopa mara mbili au mara tatu , hawawezi kukutumia unachodaiwa chote Ila watakutumia mkopo mmoja wapo uliokopa per once ukiulipa wanakukumbusha na mwingine unaodaiwa , na zile Riba za kila sku pia watakata , Yani hapo Una deni kubwa kuliko unavyofkria , ukikopa songesha usilaze deni
 
Voda kwenye suala la bando nakubali kifurushi kile kile voda cha data ni tofauti na airtel.....ila suala la mtandao na huduma zao za kifedha they are the best in Tanzania hilo suala lako shika simu wasiliana na customer care uje utupe mrejesho hawana mambo mengi.
 
Yaani asubuh nmetumiwa ujumbe nadaiwa 6070 ya songesha nimelipa 3000 Kati ya hiyo niliyoombewa
Naambiwa nadaiwa 16000 na zaidi aise hawa jamaa ni wezi balaaa.

MH Nape nipo tyr kukupa ushirikiano ili kukomesha wizi huu. Staki kuamini yakuwa upo nyuma ya wizi huu tafadhali jumbe zao.

View attachment 2745672
Na hujawah kukopa...?
 
Imenitokea hii. Cha ajabu ni kuwa sijawahi kukopa hata siku moja. Katika kukopa kuna suala la vigezo na masharti. Sijawahi kujaza vipengele hivyo. Lakini pia binafsi sihitaji kukopa toka kwao. Aidha pia ktk maisha yangu yote, kutokana na imani yangu, mimi sio mshiriki wa masuala ya mikopo ya riba.
Majuzi ilianza deni la elfu na... Baadae ikawa 2,800... Leo nimeambiwa deni langu ni 16,923/- !!!
View attachment 2760807
 
Dawa ya deni ni kulipa kaka lipa tu
 
Back
Top Bottom