Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,197
- 20,366
Imeelezwa kuwa Wizi wa kura ambapo Tume ya Uchaguzi Nchini humo ilimtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi ktk kinyanganyiro uchaguzi Wiki iliyopita.
Uchaguzi Nchini Gaboni uligubwikwa na fujo ma vurugu nyingi na vitendo vya uvunjifu wa amani dhidi ya Raia.
Aidha taarifa zinadai kuwa siku moja kabla ya uchaguzi Rais Ali Bongo aliagiza vyombo vyake
1. Kuzima Internet Nchi nzima.
2. Kuzuia waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa
3. Kuzuia mawakala wa uchaguzi.
4. Kutoa amri ya kuzuia watu kutembea kuanzia saa mbili usiku siku ya Kutangaza matokeo.
5. Kuzuia na kubana vyombo vya habari.
Vyombo vya ulinzi na Usalama ikiwemo wakuu wa vikosi mbalimbali ndani ya Usalama na Jeshi la ulinzi vimeripoti kuwa vimechukua hatua hiyo ili kuungana na Wananchi waliotawaliwa kwa Nusu Karne na familia ya Omar Bongo na kutangaza kufutilia mbi tume hiyo ya Uchaguzi na Katiba ya Nchi hiyo.
Hili litakuwa ni Tukio la 10 la mapinduzi ya kijeshi katika ukanda wa Magharibi na kati mwa Africa ndani ya miaka mitano.
Gabon
....."A group of senior Gabonese military officers appeared on national television in the early hours of Wednesday, August, 30, and said they had taken over power after the state election body announced 64-year-old President Ali Bongo had won a third term.
The officers said they represented all security and defence forces in the Central African nation, adding that the election results were cancelled.
They then announced that all borders would remain closed until further notice and state institutions dissolved".......
Aidha Umoja wa Africa AU umetoa wito kwa vikosi hivyo kuachia madaraka kwa wananchi ili Rais Ali bongo aendelee na awamu yake ya uongozi.
Mytake: There is always a reason pale vyombo vya ulinzi vinapoamia kuside na Wanachi. Naamini huwa havikurupuki.
Je East Africa countries tuna nini cha kujifunza?
Credits: Citzen Digital na BBC News.