wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yaidhinisha Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

    KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 34 wa Udaktari walioondolewa chuo (UDSM-MCHAS) waililia Wizara ya Elimu iwasaidie

    Mwaka 2018 wakati Tume ya Taifa ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ilipokuwa katika utaratibu wake wa ukaguzi wa vyuo vikuu Nchini ilibainika kuna vyuo ambavyo ama havikidhi vigezo au mazingira yake si salama kimasomo. Uamuzi uliochukuliwa baada ya kubainika kutokidhi vigezo ilikuwa ni vyuo kufungwa...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa unaodaiwa na Wizara ya Afya, ulioua watu 5, unaweza kuwa ni Ebola?

    Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu mfululizo, kwenye sehemu mbalimbali, ikiwemo puani, hadi Figo zinazshindwa kufanya kazi, uliosababisha...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hatumfundishi kazi Rais bali tunamshauri kuhusu vitengo hivi viende wizara husika

    Umofia kwenu wana Great Thinkers. Nilianzisha uzi huu uitwao Rais Samia hii wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo. ambapo pamoja na mambo mengine nimeona kutenganisha uzi huo na huu ninaouweka hapa hasa kuishauri serikali kwenye masuala ya kimuundo...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo

    Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi. Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu. Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja aongoza kikao cha taasisi za wizara ya maliasili na utalii

    NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO CHA TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameongoza kikao cha kimkakati cha kufanya mapitio ya taarifa mbalimbali za utendaji kazi za Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango

    Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango
  8. U

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inachezewa na Wizara ya Elimu

    Mfumo wetu wa elimu hauko sawa na unachezewa sasa sijui kwa malengo gani, tuanze na usahhihisha wa mitihani kuna dosari nyingi huwa zinajitokeza na hazifanyiwi kazi. Mfano matokeo ya form waliofanya mtihani mwaka jana yale yamechakachuliwa sasa sijui kwa lengo gani, hebu angalia zamani...
  9. The next JPM

    JamiiForums Tanzania Ushauri wizara ya elimu

    Hope Wana Jf wote ni wazima, Napenda kushauri wizara ya elimu, ni Wakati sasa kuruhusu, wanafunzi pekee wenye ufaulu wa daraja la kwanza tu ( kidato Cha nne na Cha sita), kuruhusiwa kusoma taaluma ya ualimu kwa level ya diploma na degree Kwanini? Ni wakati sasa wale ambao ni Best...
  10. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo Zanzibar yaridhishwa Utekelezaji wa AGRI-CONNECT kuwainua Wakulima

    WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar imepongeza hatua zinazochukuliwa na wadau wa maendeleo katika kukuza na kuimarisha thamani ya kilimo cha Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar kupitia miradi inayotekelezwa nchini. Hayo yamebainika kufuatia ziara ya kutembelea wakulima...
  11. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Majukumu yanayomsubiri Mwana FA Wizara ya Sanaa

    Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, wadau wametaja mambo yanayomkabili ikiwamo yale aliyokuwa akiyapigania bungeni. Miongoni mwa mambo ambayo Mwinjuma ambaye pia ni mbunge wa Muheza aliyokuwa akiyapigania bungeni ni suala...
  12. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Uvuvi itoe kipaumbele kwa Wavuvi Wadogo na wa kati

    Mwaka jana wizara ya uvuvi kwenye bajeti ilitenga pesa kwa ajili ya kusaidia uvuvi , na likatoka tangazo la watu wanaotaka mikopo kwa ajili ya uvuvi waandike majina yaende Makao Makuu Dodoma. Majina yalienda na mpaka leo hakuna mrejesho, wiki iliyopita wizara imeandaa semina na mafunzo kwa...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta

    Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta. Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa nchi kutuambia Wananchi kuwa Mawaziri na Makatibu wa Wizara Wanagombana kuna faida gani Kimaendeleo?

    Sasa kama Wewe Kiongozi umeshindwa Kuwapatanisha wakati Unawamudu na ndiyo Umewateua kuwa hapo kwa Kukurupuka Kwako pasi na kuwafanyia Vetting au Kutokubali Ushauri wa Wasaidizi wako unataka Sisi Wananchi tuseme nini? Hebu acheni Kutusanifu Wananchi.
  15. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Afya imeona hili tangazo?

    Kuna tangazo lipo kwenye mtandao wa kijamii wa facebook linahusu kutibu HIV, ni mwezi wa sita huu kama sikosei tangu nimeanza kuliona. Nimeweka hapo jina la daktari na wakala wake kwa hapa Tanzania. Ninachoweza kufahamu hakuna kitu kama hicho na mbaya zaidi watu inaonekana wanatapeliwa sana...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabadiliko yametokea kwa sababu ya kutokuelewana

    Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki. Rais amesema hii ni mara ya mwisho kupangua kwa sababu ya kutokuelewana, wakati mwingine atawaondoa wote badala ya...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Karibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu

    Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina. 1. Mapitio ya sera ya Elimu. 2. Mapitio ya mitaala kwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asante kwa 'Kubalansi' Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Chana ni mwana Yanga SC lia lia na Mwinjuma ni mwana Simba SC Kindakindaki. Kazi ipo.......
  19. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya TAMISEMI ni “Empire" ya vigogo. Mfumo wa kujuana umeota mizizi

    Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi. Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta? Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A"...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Walaghai na matapeli wote ambao mmeigeuza wizara ya ardhi dar kama chaka lenu achaneni na kazi hizo ni lockup tu.

    Nipende kumpongeza kamishna mpya ambaye amekuja kwa ajili ya mkoa wa dar na pwani, MR. LEO, dhamira yako njema ya kubadilisha taswira iliyokuwepo na kujenga mtazamo mpya inaonekana waziwazi, hongera kwa mfumo wako mpya ambao umeuweka hakika wengi wataumbuka, pia nafurahi ya kuwa umetambua vizee...
Back
Top Bottom