wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati yalaumiwa kumkwamisha mwekezaji umeme wa upepo Singida

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha ameilaumu Wizara ya nishati kwa kumkwamisha mwekezaji anayetaka kuzalisha umeme kwa njia ya upepo mkoani Singida. "Nimezungumza nao wawekezaji wanasema wanakwamishwa na wizara husika, watu wasikwamishe miradi ambayo iko wazi Rais...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la UVIKO-19 nchini

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5. Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonesha kati ya watu 1,154 waliopima Uviko-19, waliokuwa wanaugua ni 47, huku takwimu za wiki ya pili zikionesha kati ya...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37. Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu Zanzibar yakabidhiwa Vishkwambi 6,600

    WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR YAKABIDHIWA JUMLA YA VISHKWAMBI 6,600 Na Ipyana Mwaipaja, WyEST, DSM Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishkwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa ajili ya kugawa kwa walimu ili kuwapa motisha na...
  5. Dialysis

    JamiiForums Tanzania Tunataka kuishitaki wizara ya afya, nisaidieni kujua kampuni nzuri ya mawakili

    Ni watanzania takribani 100 tumejichanga kutafuta haki yetu ambayo wizara afya imetunyima kwanjia ya mazungumzo. Tunatafuta kampuni nzuri ya uwakili ambayo inaweza kutusaidia swala letu kupata haki. Fedha ya consultation na kuendesha kesi tayari tunayo . Tunaomba kusadiwa wawasiliano ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni wizara gani kubwa inayotengewa hela nyingi?

    Salaam wakuu, Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine? Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
  7. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

    Sijui ana gundu au anamshauri vibaya Rais au anamdanyanya ukute😄 Alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! Ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu! Je, mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea? Je, Jenista haona kuwa watu wanateseka...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa ni Waziri wa Bahati Mbaya kuwahi kutokea katika Wizara ya Michezo Tanzania

    Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup. Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Katika Kutengeneza Documentary ya Bi. Titi Mohamed

    WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Tuliweka barza tukamzungumza Bi. Titi lakini mimi nilizungumza kwa majonzi nikawaambia mtu aliyekaa kwa muda mrefu na Bi. Titi hadi...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

    Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja! Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija! Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi! Historia inasemekana wazo la...
  13. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu tafadhali chunguzeni ratiba za masomo katika Vyuo vya Kati na Juu

    Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
  14. Tango73

    JamiiForums Tanzania Wizara yetu ya michezo iache kukaa kisiasa

    hii wizara ndiyo baba wa wa kuleta furaha kitaifa. Kwa mtaji huu wa furaha ili utunufaishe lazima TFF na Chama cha riadha viwekewe malengo na hayo malengo yafuatiliwe. nashangaa sana sijaona waziri wa michezo akihoji hadharani kwa nini TFF haileti makocha bora wa kueleweka kuinoa timu ya...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba - Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha...
  16. tamsana

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya precision kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Air Bulletin Accident)

    Shujaa Majaliwa hatajwi kwenye report hiyo. Jisomee mwenyewe.
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi. Kwa sasa ni mateso, kiburi na rushwa iliyokithiri

    Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo. Aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya kilimo awamu ya tano ilikuwa 250 bilion awamu ya sita 950 bilion. (Mkulima yupi amefaidika?)

    Kuna clip ya Kibajaji nimekutana nayo mtandaoni ,eti bajeti ya wizara ya kilimo sasa ni bilioni 950. Nimejiuliza Kibajaji amechukua figure za maandishi kwenye bajeti ya kilimo au fedha hizo zimeonekana wapi na zimefanya kazi gani? Kibajaji hajui kuwa fedha zinazosomwa bungeni ni maandishi tu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Zipo Siasa za kuvutana baina ya Mafahari wa dunia na kutaka kuziburuza nchi za Afrika katika Migogoro yenye maslahi yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Ujenzi! Sasa twende na reli za mijini kwa kutumia sekta binafsi

    Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo. Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
Back
Top Bottom