Wizara ya Ardhi na Makazi; Mkopo wa nyumba uliishia wapi?

muhozah

New Member
Apr 7, 2015
1
0
Nakumbuka mwezi mei mwaka 2020 , Wizara ya Ardhi iliweka tangazo kwenye tovuti yake walitangaza watumishi wa umma wanaotaka mkopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kufanya maombi na fomu ziliwekwa, watu tulijitokeza na kuingia gharama kubwa katika kukamilisha masharti, miongoni mwa masharti ilikuwa; kupima kiwanja, kuandaa boq, ramani ya nyumba nk, lakini ni miaka miwili sasa na wizara iko kimya, naiomba wizara itoe taarifa kwa umma kuhusu mikopo hiyo.
 
Back
Top Bottom