Dj Khalid anaimba vitu gani, kila wimbo kashirikishwa

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
820
1,961
Wakuu
Katika vitu visivielewi ni pamoja na uimbaji wa msanii huyu wa Marekani anayejiita Dj Khalid

Kila nyimbo aliyomo utaambiwa ni wimbo wake kamshirikisha msanii furani

Anachokiimba sasa kwenye huo wimbo wake ahahah ni kituko, nyimbo nzima yeye atasikika mwanzo akisema "Dj Khalid.. Another one" na mwisho humalizia hivyo hivyo hapo anakuwa amemaliza

Dj Khalid! another one
 
Boresha entertainment game yako,,bado ipo chini sana.

Dj Khaled kwanza sio mwimbaji bali ni DJ na Producer..na yeye anawashirikisha wasanii kwenye project yake ambayo anaimiliki..yaani yeye ndo anayepika mipango na kufinance.

Hata wewe unaweza kuwaweka pamoja Alikiba na Sadala na wimbo ukaumiliki wewe bila kuimba na jina litakuwa ni
Kajeba ft Alikiba & Sadala.
 
Featuring maana yake sio umiliki!

kushirikiana kuimba ni tofauti na kumiliki wimbo
Boresha entertainment game yako,,bado ipo chini sana.

Dj Khaled kwanza sio mwimbaji bali ni DJ na Producer..na yeye anawashirikisha wasanii kwenye project yake ambayo anaimiliki..

Hata wewe unaweza kuwaweka pamoja Alikiba na Sadala na wimbo ukaumiliki wewe bila kuimba na jina litakuwa ni
Kajeba ft Alikiba & Sadala.
 
Wakuu
Katika vitu visivielewi ni pamoja na uimbaji wa msanii huyu wa marekani anayejiita Dj Khalid

Kila nyimbo aliyomo utaambiwa ni wimbo wake kamshirikisha msanii furani

anachokiimba sasa kwenye huo wimbo wake ahahah ni kituko, nyimbo nzima yeye atasikika mwanzo akisema "Dj Khalid.. Another one" na mwisho humalizia hivyo hivyo hapo anakuwa amemaliza

Dj Khalid! another one
DJ anaimba???
 
ni hivi,fikiria wewe ni dj kajeba, una wazo la wimbo wako na unamiliki record label inayoitwa 'another hit',huwezi kuimba lakin unaweza kusimamia mchakato mzma mpaka wimbo ukatoka,so unamtafuta maua sama na marioo,mnakubaliana terms za kufanya hyo collabo,wewe ukiwa mmiliki wa wimbo..wao ukiwashirikisha,so wewe ukawa kwenye huo wimbo na kuongea kdogo..'dj kajeba,another hit'...ipo hvyo
 
Back
Top Bottom