wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mbarali imekuwa ikitoza ushuru wakulima bila kuwatengenezea barabara

    Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba. Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa mtume Naibu Waziri wako Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

    Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia. Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe Aitaka Halmashauri ya Wilaya ya Singida Kuwa na Miradi ya Maendeleo Kuongeza Ukusanyaji Mapato

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Asisitiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida inapaswa kuwa na Mradi ambao utasaidia katika Ukusanyaji wa mapato ili kuinua Uchumi wa Halmashauri hiyo. Pia, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya awataka Maafisa Ugani na Watendaji wa Vijiji watoke ofisini waende wakatoe elimu ya Kilimo Bora

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuna harufu ya rushwa Wilaya ya Kwimba katika maandalizi ya mtihani wa Kidato cha Nne

    Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023. Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
  9. Kabewa

    JamiiForums Tanzania Picha: Maendeleo ya ujenzi hospitali ya wilaya Kivule(Amana ndogo)

    Mambo yanakwenda vizuri pongezi Kwa Serikali.
  10. Execute

    JamiiForums Tanzania Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

    Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana. Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo. Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji. Safari ya...
  11. Blender

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Manonga - Wilaya ya Igunga

    Seif Gulamali (Mb) Tunaishukuru Serikali ya Chama cha Mapinduzi inayoongozwa na Dr . Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kwa kutupatia fedha kutoka Serikali Kuu kutekeleza Miradi Mbalimbali Jimboni 1. Ujenzi wa vyumba 3 vya Madarasa Ziba secondari Milion...
  14. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nkasi, Rukwa: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa. Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu. Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
  15. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Nataka kuijua Vizuri wilaya ya Nachingwea

    Habarini wana Jamvi, Nina ratiba ya kwenda Wilaya ya Nachingwea kwa Kazi ya miaka kama miwili. Kwa wanayoijua vizuri naomba experience yenu kuhusu hii wilaya kuhusu fursa zilizopo, Aina ya maisha ya pale, Gharama za maisha kama malazi na chakula,sehemu nzuri za kupumzika weekend na kucheki...
  16. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mbarali (Tanesco) inaongoza ukataji wa umeme Tanzania!

    Ni kweli kwamba kuna shida ya umeme Tanzania ila wilaya hii inaongoza kwa kukatiwa umeme, unaweza kuona siku nzima hakuna umeme au umeme unaletwa usiku wa manane nao sio zaidi ya masaa matatu au manne. Kinachonishangaza halmashauri ya Makambako na Mbeya mjini umeme unakuwepo but hii halmashauri...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya wakurugenzi na wakuu wilaya (DC) na mikoa (RC) haitaisha kwasababu zifuatazo

    naomba kutumia mfano wa makinda ya ndege au watoto wa nguruwe! ukipita kwenye banda ukakuta pako kimya ujue vinanyonya! kila kimoja kinanyonyo lake mdomoni kinakamua! Hivi ndivyo ilivyo kwenye vyeo vinavyogongana maslahi kama hivi. TWENDE PAMOJA KWA SABABU ZIFUATAZO! Vyeo hivi vya Mkurugenzi...
  18. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania CWT Wilaya ya Bunda mnatia aibu sana; hata suala la madaraja ya walimu lilimhitaji Mbunge Chacha Maboto?

    Chini ni picha ya kiongozi wa mtandao wa CWT Bunda Grace Nyabugumba aka MC Mama Kubwa.
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

    Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi. Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Habarini wapendwa. Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya mbele na nyuma sasa wadau nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi zikoje na gharama zake...
Back
Top Bottom