Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,153
Mkuu wangu kwanza nakupongeza kwa unavyokuwa karibu na watu wako
Pili nisisahau niombe tu najua umefika Mto Kawe maeneo ya makazi mapya umeona yale mateso ya Watuu na maafa yake
Mkuu wangu wa wilaya mchanga umejaa maji yanasimama yanasomba nyumba za watu
Maji yanahitaji njia, tukuombe watu wa kawe na makazi mapyaa najua kuna matatizo ya kutoa kibali kutoa ule mchanga sijajua shida na hii n kabla ya mvua
Niseme tu kabla ya.maafa uliyoyaona leo yalitokea maafa makubwa 2017
yalipotokea ndipo ikaletwa greda mchanga ukatokaa ukifwatana na pole na rambirambi
Tulisema huu mchanga mtaujutia mvua ikishuka ya maana
Nimeona watu wamekufa nyumba zimebomoka zimeshuka mtoni
Mkuu tunaomba wekeni pemben tofauti zenu tuletee gredaaa watoee ule mchanga
Hata mkipeleka kwa yatima ama sehemu ya huduma za.jamii vyema tu tunaomba msaada mtutolee ule mchanga n shidaa
Itakujaaleta maafa na kuanza kufululiza
Poleni
poleni
Poleni
Tusisubiri vifo tuanze kutuma rabbi rambi tusaidie wananchi kwanza mengineyoo yawebaadae
Eeh Mwenyezi Mungu tusaidie.