whatsapp

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tiki ya bluu Instagram, Facebook kupatikana kwa kulipa

    Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yapigwa faini ya Tsh. Bilioni 13.9 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Tume ya Kulinda Data ya Ireland (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini Ukiukaji wa Majukumu yake na Kutoweka Wazi Matumizi ya Taarifa Binafsi inazokusanya kutoka kwa Watumiaji wake. DPC ambayo inafanya kazi kama Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Umoja wa Ulaya, imeitaka WhatsApp kujitathmini jinsi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Singida Big Stars ni kweli Ofisi za Klabu yako iko WhatsApp na katika Briefcase kama inavyoripotiwa?

    Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE ninavyojua Watendaji wote wa Klabu hii ni Wasomi na Watu makini hawezi kuwa na Mapungufu haya...
  4. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Akaunti zangu zote za WhatsApp zimepigwa ban. Nifanye nini kutatua hili?

    Moja kwa moja kwenye mada. Whatsap wamekuwa na tabia ya kupiga accounts zangu za Whatsapp ban pasinakuwa na sababu za msingi. Zamani nilikua nmezoea kutumia GB WhatsApp na FM Whatsapp kwa sababu ya features zake lakini baada ya kupigwa ban mara kwa mara nikaachana nazo nikawa natumia Whatsapp...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Whatsapp

    Whatsapp Chats, Voice notes, Video calls na Calls za kawaida unazoweza kufanya kupitia Whatsapp ,Je huhifadhiwa katika server za Whatsapp? Na kama nikitaka kufanya backup ya chats, voice notes, video calls na calls za kawaida inawezekana? Chief-Mkwawa
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio simu 49 zitakazozuiwa kutumia WhatsApp kuanzia 2023

    Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu mabadiliko yaliyofanywa kwenye WhatsApp mwaka 2022

    Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Unajiona unapendwa kisa umewekwa Profile picture Whatsapp na kila mtu anaiona? Ijue mbinu chafu ya kuwaingiza kingi wawili bila wao kujua

    Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto. Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tuwe na namba ya ziada kwajili ya biashara tu, kujaza status za matangazo ya biashara kwenye namba yako binafsi haipendezi.

    Yani kuna baadhi ya marafiki zangu huwa nawashangaa, wanaweka status za biashara utadhani sisi ni wateja wao. Nina rafiki kila siku anaweka status za chupi, mwengine kila siku anaposti status za oili za pikipiki, mwengine tray za mayai, mwengine simu, n.k. huwa inafika mahali sasa natamani hata...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Data za watumiaji zaidi ya Milioni 487 wa WhatsApp zinauzwa mtandaoni

    Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture zimekusanywa na kuuzwa kwenye Dark Markets. Hakuna chats zilizovuja; data zinazouzwa ni namba za simu za...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

    Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata! Cha msingi lengo ni huduma bora! Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona! Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Whatsapp community ni kitu gani?

    Eti wakuu sana. Hii kitu whatsapp community ni kitu gani. Nimeona tu ni supergroup ambalo unaweza kuadd magroup hadi 50. Na whatsapp wanataka kuweka limit ya watu 1024 kwa group. Maana yake hili super group linaweza chukua watu 50,000+ ni nini hasa hii kitu.
  13. Explainer

    JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kuweka status WhatsApp kwa sababu hii

    .........Kazi iendelee. Wadau mimi ni mfanyabiashara, kwenye simu yangu ya mkononi nimetunza namba takribani 300. Kati ya hizo Kuna wateja zangu, ndugu zangu, jamaa na marafiki na bila kusahau wadau wa unywaji na michepuko kadhaa. Hapo kwenye wateja zangu Kuna aina tofauti za watu. Mosi, Kuna...
  14. shetani aka shetty baby

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia WhatsApp gb Vs mnaotumia WhatsApp ya kawaida

    WhatsApp GB si rahisi kuipakua. Inahitaji proffessional. Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa. Feature ipi nyingine wadau tupia hapa
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa WhatsApp haupatikani hewani kwa muda

    Watumiaji wengi wa mtandao wa WhatsApp wameripoti kushindwa kutuma wala kupokea ujumbe wowote asubuhi hii. Kwa mujibu wa Downdetector, zaidi ya watu 12000 wameripoti uwepo wa tatizo hili hadi kufikia mida ya saa 4:30 asubuhi. Hata hivyo, hakuna taarifa yoyote rasmi iliyotolewa na Kampuni ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kufuta Namba za Whatsapp zilizo left

    Naomba kuelekezwa namna ya kufuta namba Whatsapp zilizo left kwenye group. Watu wana left namba kibao zinabakia nahitaji niziondoe. Msaada tafadhali
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

    Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?
  18. Titus3652

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu whatsApp yangu,Nashindwaa kupata verification code

    Wakuu nashindwa kupata verification code ya whatsap shida ni nini naombeni msaada wenu.
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanya group WhatsApp Call kwa watu zaidi ya 30?

    Hello watu kazi. Naombeni msaada nawezaje kufanya group call ya WhatsApp kwa participants zaidi 30? Nina group kubwa la wajasiriamali sometimes tunahitaji kufanya mjadala, tunashindwa kwa sababu ya limit ya paricipants
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam. Amesema: “Ni wakati...
Back
Top Bottom