Zelensky kutokupigilia suti kama marais wenzake, kung'angania tisheti casual na combat inadhalilisha Ukraine

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Mar 29, 2022
2,398
3,071
Kwanini asivae suti kali?

Kwanini avae tisheti tu?

Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why?

Yaani unakuta hadi walinzi na madereva wa hao viongozi wengine wamenyuka misuti mikali mikali halafu rais wanayempokea/pokelewa naye ako na tisheti, ni nini hiki. Hii inaifanya Ukraine kuwa na picha ya kataifa kavulana kanakotegemea kuangaliwa na mabraza zake kina NATO, US na Ulaya.

Nadharia yangu: Anataka aonekane mdogo, kaonekane katoto kasaidiwe zaidi. Au anataka asichukuliwe siriazi sana awe wanampa mawazo ya namna ya kuendesha nchi yake mwenyewe na vita. Je ni kweli anataka kuwa western puppet kwerikweri?

Kama sio hivyo sasa ni kwa nn hataki kuuvaa uraisi japo kimuonekano? Siweki picha, jitafutieni wenyewe.

Edit: Tunatofautiana akili, wengine bila picha hawaendi so hiki hapa nnachokazia
images (2).jpeg
Hii ni sawa kiasi full combat kivita zaidi👆. Angeshika hata na libunduki kubwakubwa kushow kwamba "I MEAN BUSSINESS"

Nnayokataa mimi ni mambo kama haya👇
images (3).jpeg
Yaani hapo hata kama angeamua kuvaa full combat haifai, ataonekana kama yeye ni mercenary anayetumwa na hao wenye suti. (Au ndio ukweli nini🤔)
Mavazi yangekuwa hayana maana wafalme wangevaa kama subjects sasa.
 
Kwanini asivae suti kali?

Kwanini avae tisheti tu?

Mbaya zaidi hata anapokutana na delegations za nchi nyingine, pamoja na mikutanoni yeye ni matisheti tu. Why...
Mbongo mwenye shida lukuki anaacha kazi zake kuleta mjadala wa mtu asiye mhusu kuvaa tshirt, hatuwezi maliza umaskin
 
Una elimu gan mkuu?
Bro kuna msemo wanasema kama kusoma hujui,hata picha huzioni?

Sasa mimi mwanzo nikatumia akili, nikasoma habari mfano Bakhmut imechukuliwa yote na Urusi. Habari ya pili inasema Bhakhmut haijachukuliwa yote, Ukraine bado. Na vyote vyanzo vya kuaminika🤯

Basi nikasema usinchanganye, nikaweka akili pembeni, nikaweka 'elimu' pembeni nikaanza kutumia akili ndogo tu; Ya kutazama picha mwenyewe
 
Back
Top Bottom