Tetesi: Dkt. Slaa na wenzake huenda watazuiliwa makwao ili wasifanye mkutano

Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
346
1,301
Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI.

Nukuu:

"....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe kwa eti sababu za kiintelijensia.

Mkubwa mmoja amependekeza siku ya mkutano ima wazuiliwe makwao ama wakamatwe kwa mahojiano hadi mda wa baadae sana ili kutaniko lile lisifanyike.

Na Msajili ashapewa maelekezo ya kuzuia pia endapo hayo yote yasipowezekana.

Na, huenda hata mikusanyiko ya mikutano ya hadhara ihusuyo siasa, itazuiliwa baada ya Katibu mkuu wa CCM kumaliza ziara yake kwa kisingizio cha matishio ya ugaidi hasa Mbeya na Arusha."

Duru.
 
DP World wakidhubutu kupora hata sentimeta moja ya eneo la bandari zetu wajue tutakufa nao.

Akionekana mwarabu karibu na bandari ashambuliwe kwa mawe na mayowe.

Enyi wafanyakazi wa bandari. Gomeni mara moja na kuweka vizuizi mizigo isishuke mpaka mkataba ufutwe.
 
Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dk Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI.

Nukuu:

"....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe kwa eti sababu za kiintelijensia.

Mkubwa mmoja amependekeza siku ya mkutano ima wazuiliwe makwao ama wakamatwe kwa mahojiano hadi mda wa baadae sana ili kutaniko lile lisifanyike.

Na, huenda hata mikusanyiko ya mikutano ya hadhara ihusuyo siasa, itazuiliwa baada ya Katibu mkuu wa CCM kumaliza ziara yake kwa kisingizio cha matishio ya ugaidi hasa Mbeya na Arusha."

Duru.
Jamaa wa Chama Cha Mabavu daima wanatumia mbinu ileile Kila Iitwapo Leo. Hawana jipya wamechoka mpaka akili na ufahamu.
Wizi wa kura na polisi ndo kiwawekacho madarakani. Aibu yao..
 
Nguvu iliyotumika kwenye gesi Mtwara imeanza kutumika kwenye bandari. Huko kwenye gesi mnajua hali halisi.
Nakumbuka wananchi wenye ghadhabu waliichoma moto Nyumba ya waziri Hawa Ghasia.....
 
Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dk Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI.

Nukuu:

"....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe kwa eti sababu za kiintelijensia.

Mkubwa mmoja amependekeza siku ya mkutano ima wazuiliwe makwao ama wakamatwe kwa mahojiano hadi mda wa baadae sana ili kutaniko lile lisifanyike.

Na, huenda hata mikusanyiko ya mikutano ya hadhara ihusuyo siasa, itazuiliwa baada ya Katibu mkuu wa CCM kumaliza ziara yake kwa kisingizio cha matishio ya ugaidi hasa Mbeya na Arusha."

Duru.
Bila polisi, ccm haiwezi....in kikwete voice
 
Nguvu iliyotumika kwenye gesi Mtwara imeanza kutumika kwenye bandari. Huko kwenye gesi mnajua hali halisi.
Naona njia ni zile zile, na siajabu wahusika ni wale wale.

Lakini safari hii tatizo ni pana zaidi na limeingiza ajenda nyingine nyeti zaidi.

Wakicheza na moto huu, utawaunguza safari hii.
 
Ni wapumbavu pekee wanaoona hawa watu wanapigania maslahi yetu
Slaa huyu huyu msaliti leo anakua shujaa tena
Yaan wanasiasa wanatupelekesha ila hamjui kama mnatumika
 
Yapo malevi huko kilabu hausi, yanapiga makelele yadiyo na mpangilio, mara yanatukanansa yenyewe, ndio yanawadanganya vijana kwa kuwachochea wakati waonwamejificha huko ugaibuni tena nyuma ya keyboard. Sasa najiuliza wanafanya kazi saa ngapi masaa 24 wanabwabwaja au huko ni ma homeless? Eti ndio Wanataka uraia wa KURWA NA DOTTO🙆🙆
 
Wewe etweve na umbwa wenzako mlikuwa mstari wa mbele kumshabikia magufuli na upumbavu wake kuua demokrasia, kuiba uchaguzi na kuua nguvu ya bunge. Matokeo yake ndiyo haya.
Shida ni chadema kumkataa bwana yule mzalendo
 
Mbowe asipostaafu uenyekiti hakutatokea chama cha upinzani cha maana mark my word
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom