wenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Poleni saana kwa wote mnaolala peke yenu Usiku bila wenza

    Naona kulala pekee ni Kama adhabu, wee usiku mzima hakuna hata anayekugusa. Poleni wote mnaolala Kama baiskeli ukipaki imepaki utaikuta vilevile asubuhi.
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wenza wadai Elon Musk anatumia muda mwingi Twitter na kuipuuza Tesla

    Malalamiko ya Wawekezaji Wenza wa Kampuni ya kuunda Magari ya Umeme (TESLA) yanafuatia kuendelea kushuka kwa thamani ya Hisa na kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 100 kwa mwezi Januari 2023 pekee. Utajiri wa Musk umeendelea kushuka kiasi cha kuingia kwenye Rekodi za Dunia za Guinness kama mtu...
  3. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanaume kunyimwa unyumba na wenza wao kwa sababu za kuchelewa au kushindwa kutimiza ahadi zao

    Wakuu naomba tupeane mawazo kuhusiana na swala hili linalosumbua sana katika mahusiano. Kumekuwa na tabia ya wanawake kuwanyima wenza wao unyumba kwa sababu tofauti, lakini kubwa zaidi tutazame sababu hii inayotokana na mwanaume kushindwa kutizimiza ahadi alizompa mwenziwe mfano; kumnunulia...
  4. kalimanzilajuma

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuache roho mbaya kwa wenza wetu

    Niliwahi kuandika humu kusiana na rafiki yangu mmoja ambaye ni mtendaji wa mlandege & mumewe alikuwa mwalimu wa Tagamenda sekondari. Kwa kweli rafiki yangu alikuwa anamnyanyasa sana mmewe na kila aliemshauri alimjengea chuki. Rafiki yangu huyu hakutosheka kumuweka mumewe ndani tu mara kadhaa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unyanyasaji wa Wenza Majumbani: Inatosha! Tuwafikirie watoto wetu

    Unyanyasaji wa wenza majumbani ni aina ya Unyanyasaji wa Kijinsia unaohatarisha afya ya umma ulimwenguni kote na huletelea madhara kisaikolojia, kiuchumi na kiafya kwa mtu binafsi, familia na jamii. Unyanyasaji wa wenza majumbani ni tabia ya ndani ya mahusiano ya kimapenzi zinazoletelea madhara...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ujinga, wivu au ni roho mbaya wanandoa waliotengana kuwazuia waliokua wenza wao kuwa na wenza wengine?

    Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli! Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita. Tena wengine wanafikia hatua...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani Mdahalo wa Wagombea Wenza wa Urais Kenya ungetokea Kwa Tanzania mwaka 2015 au 2025 ili tujue Ugoigoi wa Watu

    Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa. 1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais) 2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaongoza kwa matukio ya ukatili wa wenza

    Tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi. Mikoa iliyotajwa kuathirika zaidi na ukatili ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita wakati iliyotajwa kuwa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kuuana, yashauriwa wenza waache kutunza chuki

    Mwanasaikolojia wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Mkoani Dar es Salaam, Zainabu Rashid amezungumzia kuhusu migogoro ya wapendanao wakiwemo wanandoa na wapenzi. Zainabu anasema: "Sababu inaweza kuwa ni mrundikano wa migogoro. Mtu anapolimbikiza matatizo, yale matatizo ni kama kidonda, kile kidonda...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri: Wanaume tunzeni vizuri wenza wenu wenye ujauzito ili watoto wawe na IQ kubwa

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ). “Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Uke wenza: Ni adhabu ipi inamstahili mwanamke anayechukia ama kujaribu kukwamisha mpango wa mume wake kuongeza mke mwengine?

    Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi) Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila...
  12. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi wapo wanaofanikiwa kupata wenza makini (serious) mitandaoni?

    Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa yakiambatishwa na vigezo lukuki huku vingi ya hivyo ni ngumu hata kupatikana kwa Mtu mmoja. Pia...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naziona dalili zote kwamba Mbowe na wenzake wanatoka Gerezani

    Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani. Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane Tukashuhudia ubunifu wa...
  15. mshale21

    JamiiForums Tanzania Ubakaji kwa wenza walio katika ndoa ina maana gani?

    Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote! Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja! Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko...
  16. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wanaume tubadilike, Tujenge mazoea ya kuambatana na wenza wetu kliniki na wanavyoenda kujifungua

    Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa labour. Nitajaribu kueleza kwa ufupi kwa lengo la kufikisha ujumbe. Hivyo nitapunguza utambulisho wa...
  17. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume: Tuelezeni matarajio matatu mnayotegemea kuyapata kwa wenza wenu

    Mwanaume au Mwanamke, sote huwa tumejenga Vigezo au Mambo ambayo tuna tarajia kutoka kwa wenzi wetu while tukiamini mambo hayo tukiyapata, kuyaona au kuya-experience kutoka kwa wenzi wetu basi ndio nguzo ya sisi kuwapenda zaidi, kuthaminiwa, maelewano na furaha. Ofcourse tuna mambo mengi...
Back
Top Bottom