wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Nilichezewa na wanga kijiji cha Chiuta mpaka wachawi wenyewe wakawa wananicheka tukionana mtaani!

    Harakati za maisha zilinifikisha kijiji kinachoitwa Chiuta huko mkoani Lindi. Kijiji kipo eneo fulani ndani na uwanda wa juu (Makonde plateau) kama unaelekea Tandahimba ukitokea mji wa Mtama (kwa watoto 😆😆😆). Miaka yangu michache niliyoishi kule nikifanikisha jambo fulani hivi, aisee...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Anayewadhalilisha Walimu ni matendo ya baadhi ya walimu wao wenyewe

    Itoshe kusema kada ya walimu imeingiliwa na mamluki! Zamani ilikuwa rahisi sana kuwachambua walimu kwenye kundi la watu pasipo hata kujitambulisha, lakini sasa hivi kwenye kikundi cha watu mtaani wakichanganyika wa kike na kiume huwezi kutofauti uvaaji wa mwalimu na muimba singeli, wote...
  3. JamiiForums Tanzania Tanganyika ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi

    Maji tumeshayavulia, hatuna namna isipokuwa kuyaoga! Tanganyika ni nchi yetu, tuanaitaka! Tunaweza kwenda pande zote za dunia, lakini Tanganyika itasalia kuwa nyumbani, turejeshewe. Kwingineko kote tunaweza kuitwa wageni, lakini tuwapo Tanganyika tunajisikia kuwa nyumbani hata pasipokuambiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  5. JamiiForums Tanzania Urusi yalialia kuhusu Uswisi kujiunga NATO, waliyataka wenyewe, NATO inawapumulia

    Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga msishangae sana, hizi hasira mmetupa nyie wenyewe

    Tunajua upande wa pili bado wamepigwa na butwaa wa hizi sajili zinazoendelea pale Msimbazi. Msimu huu ulioisha kuna mambo yaliyotokea katika ligi na hasa mashindano ya kimataifa ambayo kwa kweli yalituumiza sana wanaSimba. Sitaongelea sana ligi ya NBC maana huku tulikuwa tunawamudu ni basi tu...
  7. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni yetu sote. Bunge liyavunje maridhiano, DP World wasipewe banadari. Tutafute pesa na kuwekeza wenyewe

    Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World? Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi? Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
  8. JamiiForums Tanzania Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

    INTRODUCTION Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee"" Naanza Mimi. Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma. Hapo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmepata ajenda nzuri ya kuiondoa CCM madarakani, mjivuruge wenyewe sasa!

    Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa! Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania tunyamaze kabisa, kuhusu bandari tumelikoroga wenyewe tulinywe!

    Nashangaa kelele ni nyingi mno kana KWAMBA mikataba ya hovyo au makubaliano yameanza leo. Kwani Samia ndio wa Kwanza kuliingiza Taifa kwenye hofu ya HASARA!? Mikataba ilianza leo!? Si tangu awamu ya pili ndio kazi Rasmi ya kuuza rasilimali vilianza! Nani aliuza loliondo!? Nani aliuza NBC...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana kufatilia zaidi mpira kuliko mambo muhimu yanayoathiri nchi tatizo ni nini?

    Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana. Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi. Mpira na furaha ni muhimu sana...
  13. JamiiForums Tanzania Haina haja ya kusema ukifa uzikwe wapi acha watu waaamue wenyewe

    Binadamu akifa tayari mwili wake unakuwa ushakuwa mbolea. Basi watakaokuepo usiwapangie waache waamuee wenyewe kama wanazika au wanasafirisha au wanachoma , binafsi watz wengi wanasema watupwe msikltuni ili viumbe vingine vipate chakula .na nature iendelee.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mmeshakiri Wenyewe hamjahujumiwa huko Algeria, hivyo hatutaki Mkifungwa msingizie mmehujumiwa

    Nimejaribu kuangalia Fainali kadhaa zinazohusisha Klabu za Uarabuni na za kutoka kwa Weusi hasa zikichezwa Viwanja vya kwa Waarabu huku Kombe likiwa Uwanjani na Kugundua kuwa kwa 95% Kombe hubaki Uarabuni ( Egypt, Algeria, Morocco na Tunisia ) na ni kwa bahati sana tena kwa 5% Kombe hubebwa na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Simiyu: Walinzi soko kuu Bariadi wanajilipa wao wenyewe

    Taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU) imesema kuwa mfumo wa uendeshaji wa soko kuu la Bariadi hauko sahihi kwenye eneo la ulinzi pamoja na mazingira ya ufanyaji Biashara. Kwenye taarifa yake kwa waandishi wa Habari iliyotolewa leo na Naibu mkuu wa taasisi hiyo Aron...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zimefanya TRA kuajiri wenyewe badala ya Utumishi?

    Habari wanaJF. Naomba kwa yeyote anayejua sababu zilizopelekea mamlaka ya mapato Tanzania yaani TRA kuajiri wenyewe aniambie? Kusema ukweli ajira zinazopita utumishi ziko fair sana. Nimeshuhudia watoto wa maskini kabisa wakipata ajira TRA tena bila connection yoyote. Utumishi japo wana...
  17. JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanawake kuwapa uongozi au tunajipiga mtama sisi wenyewe..??

    Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!.. Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo...
  18. JamiiForums Tanzania Ijue sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyopiganwa Sudan kwa sasa

    Tokea mwaka 1958 sudan yameshatokea majaribio almost 36 ya kupindua serekali kwa lugha nyepesi sudan ni moja ya nchi ngumu sana kuiongoza afrika Mwanzon wa miaka ya 2000 kulikua na vuguvugu la waasi darfur rais wa wakati huo omar al bashir alianzisha janjaweed ambao ni kama kikosi maalumu kwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Je, TRA wameruhusiwa kuajiri wenyewe? Tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 10

    Nimeona tangazo la kazi za TRA. Kwa Sasa inaonekana wataajiri wenyewe bila kupita Utumishi. Je, watoto wa Mamantilie watapita? Nakumbuka enzi za Dkt. Slaa na majina ya watoto wa vigogo BOT. Yajayo yanafurahisha.
  20. JamiiForums Tanzania Funzo tunalopaswa kujifunza kufuatia kifo cha mwenzentu Le Mutuz, tuandike wasifu wetu wenyewe

    Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe. Hivyo natoa rai katika mambo ya maana sana aliyofanya Le Mutuz ni pamoja na kuandika historia yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…