Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuoa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi. Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana...
Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi. Tatizo nini haswa?
Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu, sio suluhisho pekee la utenda kazi bora, au hata lazima liwe sahihi, kulingana na mahitaji yako...
Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali.
Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
Wale matapeli wengi siku za hivi karibuni wanatumia sana line za TTCL kuhadaa wananchi kama kujiunga na Freemason au ile fedha tuma kwenye namba hii.
Kama ujumbe hapa chini unavyo jieleza.
666)POLE NA KAZI JIUNGE NA MTANDAO MKUBWA WA FREE~MASON UMILIKI UTAJILI WA PESA NYUMBA MAGALI...
nimejaribu kufanya utafiti kimya kimya sababu za hawa mabwana kutembea kama mtu aliyejinyea lakini mpaka sasa niko 0-0
labda kwa anaefahamu ajaribu kutiririka hapo chini
Hii ni sekta moja wapo inayowapati kina mama wengi sana kipato, lakini tatizo limekuwa kwenye kuboresha mazingira yao ya kazi.
Hii imenitokea zaidi ya mara tatu maeneo tofauti tofauti, nimeagiza msosi kabla bado sijala nikasema ngoja nikague kijiko aiseeeh ni aibu, nimeletewa kijiko kinaonekana...
Copy paste kutoka fb......
Tanzania kuna "𝐭𝐚𝐩 𝐤𝐢𝐝𝐝𝐢𝐞𝐬" wengi wanaojiita "𝐇𝐚𝐜𝐤𝐞𝐫𝐬" , hii ni sawa na panya kujifananisha na simba wakati hamwezi hata nyau.
Kumekua na tabia ya ajabu sana siku hizi, mtu anajijua kabisa hafikii hata theluthi ya hacker ila anaamua kujipachika jina la hacker...
Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
Ni utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana, ukikata moto asubuhi mchana tunazika
Ila nina hakika kuna watu wengi wameshazikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakiwa kwenye coma, hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo.
Kuchelewa kuzika ni mbaya ila ina faida zake...
Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia...
Nimepata uzoefu huu, kupitia mazingira mbalimbali ya kimahusiano. Kila niliyekuwa nakutana naye, awe ameajiriwa, amejiajiri, yuko chuo, au hana ajira; wote wanaomba fedha za matumizi pamoja na gharama za kuendesha maisha yao.
Unaweza kushangaa mtu ameajiriwa au amejiajiri na ana kipato kizuri...
kwema Wakuu!
Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi.
Leo sitaki kupotezea muda watu.
Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku.
Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati...
Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
Nimejaribu kufuatilia Kwa ukaribu wengi wa wakosoaji na wasifiaji wengi Kundi kubwa ni Vijana,na shida kubwa ya ulimwengu huu tulionao wa sayansi na teknolojia,Vijana wengi wanamiliki simu janja,wao Kila siku ni kuisema Vibaya Serikali na wengine ndio waimba mapambio Kwa wingi pia,Ila Chanzo Cha...
Wengi wa wanachama au wafuasi ni watu wa kushabikia political issues bila kuwa na uwezo wa kufanya analysis na kuchambua mambo.
Kwa mantiki hii tufanye usajili makini kupata watu makini.
Kila siku tunaaibika na kuonekana watu sio makini.
Leo hii ni watu wa kupayuka hovyo. Mfano, tunabeza...
Simba walisaini mkataba na Vunja Bei wenye thamani ya shilingi bilioni 2 kwa miaka miwili, ikiwa na maana kuwa kila mwaka au kila msimu Simba wanaingiza bilioni moja katika mauzo ya jezi.
Sina kumbukumbu za hivi karibuni na nimejaribu kutafuta lakini sijapata kama Yanga na GSM waliwahi kusema...
Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni jobless na wanavuta sana bhangi.
Nikiwa likizo nyumbani bado nilitembelea dojo mbali mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.