wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  2. Rais Samia Suluhu Hassan sikiliza kilio cha wengi, Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu

    Wengi wanaopiga kelele wanakupenda sana. Wachache wanaokusifia kwa kila jambo wanakupoteza na wanakuingiza mkenge shutuka. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu watu wengi wanataka yafuatayo!! Umeme kuunganishwa umepanda kutoka 27000 mpaka 320,000 ndugu yangu rais wangu nakupenda Sana hapa wanachi...
  3. Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
  4. Maziwa haya(Lakes) yanaweza kuua watu wengi sana

    Hii inatokea kwenye maziwa yaliyopo kwenye maeneo yenye volkano, hasa crater lakes. Maeneo ya volkano huwa na gesi nyingi sana ikitoka chini, hasa hasa carbondioxide. Gesi hiyo inaweza zama kwenye maji kama ambavyo gesi huzama kwenye soda. Sasa maziwa kama ziwa Ngozi Mbeya, ziwa Nyos huko...
  5. K

    Tanzania ingekuwa na Katiba kama ya Kenya maendeleo yangeongezeka sana

    Watanzania ni lazima tubadilike hatuwezi kusubiri kiongozi mmoja mkali aje abadilishe nchi yetu. Nchi yetu Tanzania inaweza kukuwa na kuendelea kwa kasi kubwa kama tu tutaweka vitu kama vya Kenya. vitu hivi ni 1. Katiba kama ya Kenya 2. Mahakama kama ya Kenya Yaani hivi vitu viwili...
  6. Uzinzi na ulevi ndio sababu ya Watanzania wengi kuwa maskini na mafukara

    Hivi vitu viwili vikikutawala haswa hata ukiwa Meneja unaweza kupitwa kimaendeleo na dereva wako. Mifano ni mingi mno, hata msomaji bila shaka una mfano wako jinsi ulevi wa pombe na uzinzi ulivyowaharibia watu. Kijana mwenzangu please weka kando uzinzi na ulevi, kisha tazama matokeo. Unaweza...
  7. B

    Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  8. DOKEZO Mafundi wengi huikimbia miradi ya serikali ya ujenzi kutokana na mlolongo mrefu wa malipo!

    Wakuu Katika kipindi HIKI cha ujenzi wa madarasa nchini unaoendelea, nimefanya mazungumzo na mafundi wakuu na wakuu wa shule mbalimbali na kukutana na malalamiko kuhusu mlolongo mrefu sana wa upatikanaji wa fedha za malipo kwa mafundi wakuu na vibarua wao! "Unajuta day worker anaomba hela yake...
  9. B

    Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

    Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba...
  10. Wengi bila kujijua tunaishi maisha yenye hatari "cursed life"

    Kwanza nifafanue kased life ni ipi. Kwa kizungu .. inaitwa cursed life. Ni Hali ya kuwa na bahati mbaya maishani mwako. Wengi hawaijui hii. Nitoe uzoefu kidogo. Kwa wale wagumu kuunganisha dot.. Perspective yangu inakwenda kwenye mahusiano baina ya mwanamke wa mtu na wanae. Ambapo baadae...
  11. Je, ni kwanini waajiri wengi hapa kwetu mishahara yao haiendani na uhalisia wa gharama za maisha, na Je, ni halali kubakia hivi miaka yote?

    Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
  12. Licha ya kuwa na vyuo na graduates wengi wa IT hapa Tz kwanini hakuna maajabu wanayofanya?

    Wengi (sio wote) Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni amateurs ila tu kinachowabeba ni magamba (vyeti) - IT, computer science, computer engineering, cyber...
  13. Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
  14. Tungekuwa tunategemea mashamba ya Serikali, wengi tungekufa njaa

    Ndugu zangu, Kila leo najaribu kutafakari mustakabali wa taifa hili na mienendo ya taasisi mbalimbali za Serikali na utendaji wake. Ni jambo la kusikitisha, kutisha na kustaajabisha na ukosefu wa ubunifu, na utendaji duni wa taasisi nyingi. Umeme ni kitendawili, hili najua wengi mmeliongelea...
  15. Wanaume wengi walipotea Kiakili na Kuchanganyikiwa Kitaaluma hasa katika Awamu yako 2005-2015

    "ASILIMIA 53 ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo ni wanawake. Sijui wanaume wamekwenda wapi? Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo amehoji wakati wa Duru ya tano ya Mahafali ya 52 na kuongeza “itabidi tufanye utafiti.” Chanzo: HabariLeo Acha kutupotezea muda wenye...
  16. Biashara ya bodaboda imeua ndoto za vijana wengi

    Habari! Hapa naomba tuelewane kuwa sizungumzii pesa bali nazungumzia ndoto za vijana katika kuliinua taifa na familia zao. Pamoja na kazi ya bodaboda kuwapatia kipato vijana na baadhi ya wazee ambao wanaifanya hiyo biashara lakini imechochea uchumi wa China na India kwa kiasi kikubwa. Hapa...
  17. M

    Kudos Azam FC, leo mmeumiza wengi. Kuna timu inaweza kuambulia nafasi ya tatu

    Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union. Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
  18. Gari lililotumiwa na watu wengi halifai kwa matumizi

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia. Wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu kwa mitindo...
  19. Tunawahitaji akina Bashiru wengi katika nchi hii ili tuweze kuendelea

    Si kila kitu cha kusifia, kwani kuupiga mwingi ndio matokeo mazuri, au ndio kupata ushindi? Hata kwenye Football, unaweza uupigwe mwingi alafu ufungwe tu, yani unaupigwa mwingi alafu hupati matokeo! Wanaopiga kauli yake ni wasaka tonge tu, Kama ni mbunge wakonanakosoa bila maelezo sahihi ya Dr...
  20. Wengi humu tulipingwa kuhusu madhila haya

    Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi. -- “Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…