Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇
Jibu la kocha Mecky Mexime
luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza mechi nyingi kubwa kwa kiwango kizuri na timu ya taifa ashaitumikia Sana sio mchezaji muoga na wote...
Waaslam wakuu!
Nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi zimekuwa donda sugu na kadri siku zinavyoendelea kusonga ndivyo nguvu zenyewe zinaendelea kupungua Tena kwa Kasi ya 5G.
Wanawake wengi walioko ndoani na wale ambao bado hawajaolewa wamekuwa wakililalamikia Hili suala na kwa kusema...
Habari jamvini. Nikikuambia Leo Fanya chaguzi ungechagua IPI? Una m2.5 unatakiwa uwekeze. Nunua voda umpe kijana akupe hesabu kila siku 10,000 bila kukosa kwa siku 365.
Njia ya pili uwekeze kwa MTU usiyemjua akupe asilimia 1 kila siku kwa siku 365.
Ungechagua nini, toa sababu ya jibu lako...
Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .
Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha...
Ili kujenga mahusiano mazuri kwanza hakikisha wewe ni mwaminifu. Ukitaka kuwa na mahusiano mazuri hakikisha uliyenaye ni mwaminifu. Kwetu wanaume kitu cha kwanza muhimu ni mwanamke mwaminifu.
Uaminifu unajumuisha; kusema ukweli, kuwa na mtu mmoja (kuto saliti), kumuamini mwenzako, kuhifadhi...
Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua...
Nambie YouTube ilikusaidia Nini na ukalitatua tatizo lako kupitia YouTube?
Chuo walikuwa wananiita Mr IT sababu nilikuwa vizuri Sana kwenye kuchezea cm,pc nk maujanja yote niliyapata YouTube na nishapata Sana hela kwa ajiri ya kusolve matatizo ya cm,pc nk.
Watanzania baadhi ya wengi tuko nyuma...
Hawa wanawake wa kihaya mimi wiwaelewi,yaana unamkuta mdada anang'ang'ana umuoe ,na hapo hata miezi 2 haijaisha tangu mmejuana,utadhani kuoana ni kama mchongo.
Utamsikia"Mimi nataka kuolewa,natafuta mume anioe tuishi pamoja tu basi,wewe kama vipi nichukue tuishi wote",,bladifakeni kabisa...
Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola!
Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume. Kama tujuavyo wengi, kwa mila na desturi za kiafrika; mwanaume ndiye huanza kutafuta au kutaka...
Watanzania wamekaa kiwizi wizi haijalishi ni mapasta, Madre, maaskofu au waamini. Ukitaka kujua Hilo mlemle kanisani dondosha elfu kumi halafu unifanye hujaiona nakwambia hata yule aliyekuwa ananena kwa lugha kwa Julia kabisa akiiona atachukua fasta na hakupi.
Kila siku watu wanashinda...
Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi.
Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya.
Rais Samia...
Habari za humu!
Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha.
Nimeishi Kusini yaani...
Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali.
Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa...
Habari za asubuhi Wana JF,
Ma secretary wa ofisi wana dharau sana kisa ni chakula cha boss, anafanya kazi anavyojisikia, majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss hawezi kufukuzwa kazi.
Nilienda field mkoa X ofisi niliofikia kulikuwa na secretary mmoja she is beautiful Ila alikuwa...
Kila mtu na mapenzi yake apendayo.
Kila mtu na malengo yake kwenye mahusiano. Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, pia ni vyema afanye hivyo. Lakini inategemea maamuzi ya mtu binafsi. Hivyo, wakati unaamua angalia sababu hizi. Twende nyuma kwanza, zamani utajiri...
Ukifatilia hata hapa mjini hawa jamaa ndo wanaongoza kwa black market , kuwa makini sana unapoanza kufanya dili na mtu kibonge , ni wacheshi wazee wa mastory ya kusisimua ila kukuingiza kwenye smuggling ni kugusa tu.
Ongeza umakini unapokutana na dalali bonge.
Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw
Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza
Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.