Wengi (sio wote)
Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni amateurs ila tu kinachowabeba ni magamba (vyeti)
- IT, computer science, computer engineering, cyber...
Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke.
Wengi sana...
Ndugu zangu,
Kila leo najaribu kutafakari mustakabali wa taifa hili na mienendo ya taasisi mbalimbali za Serikali na utendaji wake. Ni jambo la kusikitisha, kutisha na kustaajabisha na ukosefu wa ubunifu, na utendaji duni wa taasisi nyingi.
Umeme ni kitendawili, hili najua wengi mmeliongelea...
"ASILIMIA 53 ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo ni wanawake. Sijui wanaume wamekwenda wapi? Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo amehoji wakati wa Duru ya tano ya Mahafali ya 52 na kuongeza “itabidi tufanye utafiti.”
Chanzo: HabariLeo
Acha kutupotezea muda wenye...
Habari!
Hapa naomba tuelewane kuwa sizungumzii pesa bali nazungumzia ndoto za vijana katika kuliinua taifa na familia zao.
Pamoja na kazi ya bodaboda kuwapatia kipato vijana na baadhi ya wazee ambao wanaifanya hiyo biashara lakini imechochea uchumi wa China na India kwa kiasi kikubwa.
Hapa...
Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union.
Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia.
Wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu kwa mitindo...
Si kila kitu cha kusifia, kwani kuupiga mwingi ndio matokeo mazuri, au ndio kupata ushindi?
Hata kwenye Football, unaweza uupigwe mwingi alafu ufungwe tu, yani unaupigwa mwingi alafu hupati matokeo!
Wanaopiga kauli yake ni wasaka tonge tu,
Kama ni mbunge wakonanakosoa bila maelezo sahihi ya Dr...
Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi.
--
“Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa...
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
agenda
bingwa
dunia
fifa
heshima
kiarabu
kombe
kombe la dunia
kuhusu
kupitia
maneno
ofisi
pongezi
putin
qatar
uislam
ushoga
utamaduni
wakristo
wamarekani
wengi
Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine
Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?
Hadi sasa sina shaka kwamba kwenye uwanja wa unlimited internet, hawa supakasi chini ya Vodacom ndio wana uwezo wa kufikia wateja wengi kila mkoa kuliko hata fibre ambazo sana sana zipo mjini kati kwenye majiji machache.
Kimbembe kipo kwenye bei hapo, sina shaka kwa matajiri na wanaotumia...
Habari za kazi wanajamvi,
Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa, na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi? Na nini...
Habari!
Mbele za Mungu sisi wanadamu ni kama majani na upepo tu.
Yes ametuumba na anatulinda ila kuna wakati anatutazama kwa namna nyingine. Yaani anatusort kulingana na agano lake na mtu husika, au anatusort kulingana na maisha na mienendo yetu.
Kama humchi Mungu , Mungu anaweza kukutumia...
Kukosekana kwa maji kunasababisha mlipuko wa magonjwa ya kipindupindu typhoid na magonjwa ya kuhara tumbo maana maji machafu husababisha magonjwa ya kuambukiza na magonjwa haya huua watu wengi sana.
Kukatika katika umeme kunaua biashara nyingi za watu, watu wana madeni wana Familia wanategemea...
Habari za leo wanajamvi!
Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu.
Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni...
Hello JF
Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.
Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa...
Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine.
Sambamba na boss wa Cambiaso
================
Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
Aise hali sio poa kabisa.
Sijui sasa hivi huko vyuoni wanawafundisha nini hawa watoto.
Ipo hivi juzi juzi hapo kulikua kunaitajika new staff. Pendekezo lilikuza hawa staff wapya wawe graduate wapya (Walio maliza mwaka huu) au mwaka jana lengo lilikua kuwapata fresh from school ile wawe trained...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.