Kudos Azam FC, leo mmeumiza wengi. Kuna timu inaweza kuambulia nafasi ya tatu

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union.

Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila kujali watu wamelipa viingilio vyao waone burudani, wachezaji wa coast walikuwa wanapoteza muda ovyo na yule kipa katibiwa muda mrefu sana walitegemea kipa akinyanyuka na mwamuzi amalize mpira?

Refa huyu anastahili pongezi kwa timu zenye tabia za ovyo ovyo kama hizi, Na wamepanik kwakuwa walitaka wambebe kaka yao arudi nafasi ya pili baada ya kuhaidiwa mpunga lakini mipango imegoma na Azam naye baada ya kunyanyasika kipindi kirefu sasa na wao wanaitaka nafasi ya pili.

Na hii mechi imewaumiza wengi wa mtaa wa pili maana walitegemea wabebwe na tawi lao halafu wakienda kukutana kule Mkwakwani waachiwe ushindi hivyo ngada wangerudi nafasi ya pili iyo ndo mipango iliyokuwepo lakini imekwama sasa kama coast wanazitaka sana point basi wakazisake kwa mshirika wao wanayekutana nae mechi ijayo waache upuuzi
 
Refa anastahili pongezi.
Sikutazama hyo mechi ila nampongeza ssna refa kwa uamuzi mzuri

Sas makolo wajipnge tu wajinga wao coast al mnk kwa mleta Uzi ameongea ukweli mtupu kuwa coastal walitaka kumbeba kak Yao Simba ili akalie nafasi ya pili kitu ambaocho halipo

Mgunda anakwenda kupata ushinda kwao uko mbinu zote anazijuwa na lzm atangulize bahasha ya kaki kwa wachezaji anao wajuwa yey
 
Na ikitokea Coastal imeifunga Simba mtasemaje
Tokea coast union apande ligi kuu ajawai kumfunga mshirika wake zaidi ya sare aliyoipata wakati timu inafundishwa na yule mzungu ambaye yuko Dodoma jiji Medo, lakini timu ilipokuwa chini ya mgunda nq makocha wengine aijawai kupata ata sare mbele ya Ngada fc, Sisi tuliosoma cuba tunaelewa mchezo uliokuwepo kwenye mechi dhidi ya Azam
 
Back
Top Bottom