Oscar Oscar: Simba sio mbovu kama wengi wanavyodhani, kilichotuangusha msimu huu ni Ubora wa Yanga na Azam tu!

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Feb 11, 2023
9,139
14,557
Wakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia

Mchambuzi huyu amesema sababu ya Kufa Kiume FC kushindwa kung'aa ndani na mipaka ya nchi yetu ni kwa kuwa Azam na Yanga ni bora maradufu msimu huu.

Je unaungana na mzee wa Kaliua katika hii hoja yake!!?
 
Bila ya unazi Yanga kweli ni bora kwa msimu huu ila sio ile Azam….Simba sijawaelewa timu ilichokicheza pale Nangwanda, kuanzia kiungo mpaka washambuliaji.

1.Straiker mzito
2.Mwingine speed ya konokono anaremba sana
3.Ufaza mwingi mipira inapotezwa hovyo

Mara kwanza nikadhan labda uduni wa uwanja ila baadae nikaona bado hatuna timu ya kucheza Nusu final CAFCL.
 
Simba ni team nzuri nadhani imekosa uongozi wenye kuelekeza kumekuwa na sauti nyingi sana ndani ya club
Yanga wao wakati wanajenga team walijitahidi sana kujenga na uongozi ndio maana ukiingalia yanga huoni mtu mwingine zaidi ya Hersi na vijana wake wakienda huku na kule chini ya GSM ambae hana comment kwa team ye ni vitendo pekee.
Azam wameimarika ila ni kama hawajui wanataka Nini maana final maji wataita mma pale mkwakwani
 
Akajambe mbele huko..!! Kwani huko Simba alikoishia ROBO fainali mara ya nne sasa, AZAM na YANGA wapo huko? Angewafunga hao wa huko basi..!! SIMBA NI MBOVU, FULL STOP
 
Bila ya unazi Yanga kweli ni bora kwa msimu huu ila sio ile Azam….Simba sijawaelewa timu ilichokicheza pale Nangwanda, kuanzia kiungo mpaka washambuliaji.

1.Straiker mzito
2.Mwingine speed ya konokono anaremba sana
3.Ufaza mwingi mipira inapotezwa hovyo

Mara kwanza nikadhan labda uduni wa uwanja ila baadae nikaona bado hatuna timu ya kucheza Nusu final CAFCL.
Respect mkuu
 
Simba ni team nzuri nadhani imekosa uongozi wenye kuelekeza kumekuwa na sauti nyingi sana ndani ya club
Yanga wao wakati wanajenga team walijitahidi sana kujenga na uongozi ndio maana ukiingalia yanga huoni mtu mwingine zaidi ya Hersi na vijana wake wakienda huku na kule chini ya GSM ambae hana comment kwa team ye ni vitendo pekee.
Azam wameimarika ila ni kama hawajui wanataka Nini maana final maji wataita mma pale mkwakwani
Sawa sawa mkuu
 
Back
Top Bottom