wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  2. H

    Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

    Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo...
  3. M

    Salim Asas tambua kuwa wengi wa UVCCM hawafurahii mnavyouza nchi. Wanaofaidi ni wachache, hawawezi kutetea ufisadi

    Usilazimishe watetee uovu. ---- MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
  4. Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
  5. Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa nchi yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  6. Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  7. Wabunge tumieni pesa yenu vizuri, wengi hamtorudi msimu ujao

    Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62 Ongezeko la unemployment inayoongezeka, utumwa unaoongezeka wa walionacho na wasionacho, uongozi usiolidhisha wa...
  8. Watu wengi wameonewa sababu ya Swali hili la Polisi

    Kuna swali maarufu la jeshi letu la Polisi Nchini pindi raia apelekapo mashtaka Polisi 'Unamuhisi Nani'.
  9. Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  10. I

    Nchi 10 za Kiafrika zenye mamilionea wengi

    Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 za kiafrika zenye dola millionaire wengi. =============== Top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023 Business Insider Africa presents the top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023. This list is...
  11. Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  12. Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

    Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina. Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
  13. AzamPesa ipo poa sana, bei zipo chini, ila kwanini SSB hawaweki mawakala wengi mtaani?

    Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni mawakala wao 💔 hawana mawakala kabisa? Kwanini SSB wasifanye kampeni kubwa ya kupita kila kibanda cha...
  14. Huenda Wananchi wengi wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake

    Wananchi wengi watakuwa wanatumia bidhaa zilizoisha muda wake kwa kuuziwa na wauzaji wa maduka madomadogo maarufu kama maduka ya mangi na waha. Wauzaji wa bidhaa hizo aidha hawafatilii muda wa mwisho wa matumizi wa bidhaa zao ili wazitoe dukani au wengine hujua na kufanya kusudi kuwauzia watu...
  15. Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  16. Vijana wengi wenye ndoto kubwa hutokea familia maskini

    Kama kichwa cha Uzi huu kinavoeleza hapo juuu. Vijana wengi wenye ndoto KUBWA za kimaisha kwa asilimia KUBWA wanatokea familia ambazo zina kipato cha Hali ya chini Ninze na mimi mwenyewe ndoto YANGU ILIKUWA kuja kuwa daktari lakini ilipotea tu pale nilipofika kidato cha nne je sababu ILIKUWA...
  17. R

    Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

    Ndugu wanajamvi. Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..? Nilimpeleka mtu mida ya usiku...
  18. Kosa kubwa watu wengi wanafanya wakiharibikiwa gari.

    Kukosa mtu sahihi wa kurekebisha tatizo la gari lako. Moja kati ya makosa ambayo nimeyaona kwa kipindi kirefu ni hili. Mtu anakuwa na mawazo kichwani kwamba Fundi mmoja anaweza kufix matatizo yote kwenye gari yake. (Sisemi kwamba hili haliwezekani, ila linawezekana kwa wale wenye magereji...
  19. Wakataa KUOA wengi ni wale ambao tuliumizwa na wapenzi tuliowapa hisia na tumaini la kudumu katika kweli. Hii imekuwa chachu ya fikra hasi kuhusu KUOA

    Hello family, Mods please tupeni fursa tuseme kweli, kweli inaponya. Let speak the truth, the truth be told. Hakika nasema katika kweli hasira na chuki hasa katika mawanda ya ndoa si bure kuna chanzo, wengi wa wanaokataa ndoa na kuoa ni wahanga wa kuumizwa kihisia na kuharibiwa malengo hasa...
  20. Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri Wanajua zaidi kupiga domo kwenye misamiati na vitu maneno technical ila vitendo 0, utasikia naweza kupiga sql injection nipate password zote, System naweza kuitungua ddos ile, nikikaa man in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…