wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  2. JamiiForums Tanzania Je, tumpongeze aliyesema vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wana Ugonjwa wa akili au tumlaumu?

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya yule Mwananchi Reporter aliyeandika jana kuwa Vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaugua Akili / Uwendawazimu anitumie kwani nami nataka Kumpima kama nae zimetimia au zimepungua.
  3. JamiiForums Tanzania Kuwanyima watu uhuru ni chanzo cha viongozi wengi wazalendo Afrika kufeli

    KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote. Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Wabunge wengi wa CCM wakashindwa kurudi 2025 na upinzani ukalamba dume

    2020 Kulikuwa na upepo wa ajabu kwa wabunge wengi wa CCM kwani walibebwa kama watoto wachanga na JPM na Livingston Lusinde ni shahidi kwani yeye alisema kuwa kunawabunge hata kwa kuzikiri bila nguo wasinge rudi ila Magufuli aliwabeba na mbeleko. Taarifa nilizo zipata kutoka chanzo cha uhakika...
  5. JamiiForums Tanzania Wachezaji Wengi Wa Simba SC Walioenda Kwenye Timu zao za Taifa Wamezisaidiaje?

    Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar. Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao. Ni timu moja tu...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

    Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada. Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa. Kiufupi iko hivi: Dar es Salaam Young Africans SC Ina Idadi Kubwa ya wachezaji wanaotokea katika Mataifa yaliyopiga hatua kubwa sana...
  7. JamiiForums Tanzania RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba" Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
  8. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya watu maarufu yanavyofurahisha na kuhuzunisha wengi

    Teknolojia ya matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi na umekuwa kama uwanja wa fujo kila mmoja anautumia apendavyo. Kwa baadhi ya wenye majina makubwa, wakiwamo wasanii kwao ni tofauti kidogo, kwani watake wasitake ‘watatrend’ mitandaoni iwe kwa ‘kujiposti’ au ‘kupostiwa’ na mashabiki...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayoongoza kwa watu wengi wenye kipato kidogo na kikubwa nchini

    Makabila yenye idadi kubwa ya watu wenye mpunga mwingi 1. Chagaz 2.Kingaz 3. Zaramoz Makabila yaliyofulia zaidi 1.Gogoz 2. Kondez 3. Nyirambaz n Iraqis Huu ni ukweli na Wala haihusiani na kuwa mbaguz Mimi ni mhehe Kama kigogo
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa na wapenzi wengi inakulazimu kutokana na Mazingira

    Nilikaa Juliana Pub, kadri muda ulivokuwa unaenda aisee kitu nilicho kiona ni ongezeko kubwa sana la watu ilikuwa wanaoongezeka zaid ni wanawake yan walikua wengi kuliko wanaume, nikatoka nikaingia Tips the same wanawake wamefurika kuliko wanaume. Nikabadili chimbo nikaingia Maison na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wanapowekwa rumande/gerezani au kuitwa kwenye kamati ya masdili hupenda kubeba vitabu?

    Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P? Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable, Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili , Mwenye majibu atusaidie
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  13. JamiiForums Tanzania Kifo cha baba wa kiroho huwaacha waumini wengi njia panda

    Kumekuwa na hii tabia hasa kwenye makanisa ya kilokole kumuita Mchungaji wako kuwa ni baba yako wa kiroho. Huyu ni mtu ambaye hutakiwi kufanya jambo lolote bila kumshirikisha. Ukitaka kuoa au kuolewa lazima ukamuulize kwanza, umepata kiwanja lazima umuulize kuwa ununue au usinunue, unataka...
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba ya biashara yenye wapangaji wengi ni sawa na biashara ya umachinga

    Unapojenga nyumba unakuwa na kusudio la ujenzi huo. Hii inakusaidia kupata ramani na budget ya jengo. Wengi wetu baada ya kujenga nyumba ya kukupatia vijusent kwakua nyumba ni asset inayodumu. Katika maongezi kuna mwekezaji wa nyumba za biashara aliyeniambia, ukijenga nyumba ya vyumba sita...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

    Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Hoja kwamba eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba ni uthibitisho kwamba watanzania wengi Wana uelewa mdogo Sana kuhusu" Human Psychology"

    An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology. Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa.. Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hii tabia imezuka kwa couples wengi miaka hii

    DISCLAIMER: Usisome wala usicomment kwenye hii post kama unajiona ww ni mtakatifu sana Zamani Swala la kuzama chumvini lilikuwa ni jambo la ajabu na kutia kinyaa, sahivi limeonekana ni jambo la kawaida/ufundi tena asilimia kubwa ya watu wanashauri wenzao wafanye oral sex (Mwanaume azame...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi tukumbuke kuwatoa out watoto siku moja moja! (Nimegundua wazazi wengi tunafungia sana watoto)

    Familia nyingi sana! Watoto wanaishi kwa masikitiko! Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari! Kibaya zaidi watoto hawa wadogo 1yr to 3yrs wanauwezo mkubwa wakujua vazi la mama au baba la kushindia nyumbani na lile la...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Omba omba ni wengi Jiji Dar

    Leo nimehitimisha uchunguzi wangu usio rasmi. Nilichoona ni kuwa idadi ya omba omba jijini Dar imeongezeka. Na mamlaka husika sijui Wana mkakati gani kuwaondoa hawa ndugu zetu. Hili ni tatizo kwa ustawi wa jamii. Hatua za madhubuti zichukuliwe kwa taifa lililo kwenye uchumi wa kati
  20. JamiiForums Tanzania Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi

    Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…