wema

Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Madereva wa Tanzania wanalipishwa zaidi ya milioni moja kwa siku 90 wawapo Zambia; Watanzania wanalipa Visa kuingia DR Congo. Majirani zetu si wema

    Madereva wa Tanzania wanalalamika kwamba Zambia imewakataaa badala yake wanataka madereva wote wanaoingiza magari Zambia wawe RAIA wa Zambia. Dreva mmoja anatakiwa kuwa na siku 90 kwa mwaka, akizidisha siku 90 kwa mwaka anatakiwa kulipia si chini ya milioni moja na laki mbili ndipo aingize gari...
  2. A

    Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
  3. Ivan Stepanov

    2023 inapoisha, unaiacha kumbukumbu ipi ya wema kwa watu? ili kwa watu ili ukumbukwe kwa wema?

    Habari za weekend. To cut the story short ni kwamba, jana nikiwa mihangaikono, nilipokea simu toka kwa jamaa yangu flan anaitwa Gozbert. Ni jamaa yangu ila sio kusema ni mtu wangu wa karibu sanaaa, hapana. Yeye tumefahamiana kanisani. Ni mtumishi wa umma katika kada ya afya. Siku ya kwanza...
  4. bbc

    Wanajamiiforums mko wapi?

    Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu, mwifwa, emmyta na wengine wengi mpo?
  5. sanalii

    Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

    Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri. Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni. Mfano: Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe...
  6. M

    Mwanamama mateka wa Kiisrael mateka wa Hamas, aandika barua kuwashukuru Hamas kwa wema wao na asema anatarajia urafiki wao utaendelea

    Katika hali ya kustaajabisha, mateka wanaohojiwa wamekuwa wakiwashukuru Hamas kwa junsi walivyokuwa wakiwatreat vizuri. Hali hii imepelekea mamlaka za Israel kuwapiga biti mateka kuwa wakae kimya kuhusu jambo hilo la sivyo watanyamazishwa. Alianza bibi mmoja mzee wa Kiyahudi akielezea jinsi...
  7. Glenn

    Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

    Hello wakuu sana; Siku zilizopita nilipoteza bag langu dogo lenye vitu vichache lakini muhimu. Ndani ya bag kulikuwa na ; -Suruali 3 za jeans -Raba za nike pair 2 -shati 2 na nk -kadi 4 za bank tofauti -kadi ya gari -leseni ya udereva -kadi ya gari -××pasi ya kusafiria -cheki ya bank nk. -...
  8. Hance Mtanashati

    Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

    Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka. Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali...
  9. Hance Mtanashati

    Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

    Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto. Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama. Lakini kiuhalisi ni...
  10. GENTAMYCINE

    Tunamshukuru Wema Sepetu Kujisifia kuwa sasa kaacha Kunywa Pombe, ila mkumbusheni hajatuambia kuhusu Bangi kama nayo kaiacha au hatoiacha Abadan?

    "Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari. Katika Pombe...
  11. S

    Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

    Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33. Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema kuwa na miaka 35. Na hii inaleta mantiki ya kwamba alipokuwa anashiriki Miss Tanzania 2006 alikuwa na...
  12. The only

    Tukio la Mama Wema kwa Whozu na Wema ni la kutengenezwa

    Nimepiga hesabu za Cuba nikaongeza ujuzi wa mjini, Wote mnamjua wema alivo karibu na mama yake ni nini wema asingekijua kuhusu maoni hasi ya mama yake? Angelien ile video vyema utagundua wajomba na madada za wema wanasura za maigizo og. Mjini kutrend yataka kujitoa akili hawa watu
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

    https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa. Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni...
  14. I

    Moyo wa kusaidia

    Ilikuwa 2002, nikiwa na miaka 8 tunilipata ajali mbaya tena mzaingira ya mbali na nyumbani. Kwa wakazi wa mtoni mtongani kuna sehemu panaitwa ngazi mia kule relini. io siku mimi na jamaa zangu baada ya maumziko ya shule tulienda kutembea maeneo ya relini,zile ngazi zilikuwa nyingi sana...
  15. Boss la DP World

    Tanzania ina watu wema sana

    Kwakweli hii ni ardhi ya watu wema sana, vigezo vya uwekezaji kwa wageni ni rafiki sana, kuna muda wa kutosha wa kufanya majaribio ya biashara mpya bila kulipa kodi. Nawaomba mpunguze mlolongo kipindi cha usajili wa biashara, vinginevyo nawaalika wawekezaji wengine toka uarabuni, uzunguni na...
  16. mandawa

    Mwl. Wema akamatwe kwa kumpoteza Mwanafunzi Warda Mohamed

    Wadau, nimesikiliza na kufuatilia swala la kupotea binti Warda Mohamed mwanafunzi wa kidato cha kwanza huko kibaha, hakika inasikitisha jinsi Mamlaka husika yaani polisi na oficin ya mkuu wa wilaya Nick wa pili jinsi ambavyo wamelikalia kimya swala la huyu binti aliepotea tangu Mwezi wa nne...
  17. J

    Kwanini Watu wema wanateseka?

    Labda wewe ni miongoni mwa watu ambao wanajitahidi sana kufanya yaliyo mema machoni pa Mungu na kusaidia jamii. Hata hivyo pale unapopata mateso maishani labda kwanini ninateseka hata ingawa nimejitahidi kufanya yote yaliyomema! Endapo umefikia hatua hiyo na kujiuliza maswali hayo, nakutia...
  18. mangiTz

    Wema uliwahi kukuponza?

    Habari wana jF, kama heading inavyojieleza share experience je wema uliwahi kukuponza katika harakati za maisha ukamsaidia mtu lakini ile huruma yako ikakupa matokeo hasi Ndio, katika maisha ya kawaida haya mambo yapo sana mtaani, maofisini n.k Haya hutokea kwa kuwa wanaosaidiwa huacha...
  19. Lycaon pictus

    Makavelli na tamaa ya watu kutaka kuonekana wema

    Kwa kweli Nicolo Machiavelli alikuwa muona mbali sana. "Hakuna sifa inayomuangamiza mtu haraka kama ya kuwa mwema(Mtoaji); kadri unavyoitenda ndivyo unavyopoteza uwezo wa kuitenda. Hilo linakufanya uwe fukara na mtu wa kudharaulika. "Jambo la busara ni kuvumilia kuitwa kauzu(bahili). Sifa...
  20. Hance Mtanashati

    Penzi la Wema na Whozu nalitilia mashaka sana

    Jamani niseme ukweli kila nikichunguza penzi la Wema na Whozu naonaga kama limekaa upande mmoja hivi. Wema anampenda sana Whozu ila kwa Whozu naonaga kama anamtumia tu Wema kufanikisha mambo yake . Halafu za chini chini inasemekana Wema anatoa pakubwa sana kuliko Whozu . Wema siku zote...
Back
Top Bottom