Whozu: Nikiachwa na Wema Sepetu nitajiua

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.

Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema,

"Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku mkiona nimeachwa nitajitupa kama yule mwana baharini na mazishi mje Moshi”.

“Nipo radhi kupigana na mtu yeyote kwa ajili ya mwanamke wangu kwa sababu nampenda”. - Whozu

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Ngoja mwamba mmoja akajitoe muhanga ili kusudi huyu mwehu atimize ahadi akachukue notice kwa Nikki wa Pili kwanza alafu akishamaliza aje atuambie tena alimaanisha au alikua anatuletea maigizo Ila kwa huyu mwehu najua hamaanishi kitu hicho anacheza na akili za mazombi ili apate kuongelewa apige Pesa, hivi hamjui hilo? Algorithm za google zinaongea kwa kasi ya ajabu
 
Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.

Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema,

"Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku mkiona nimeachwa nitajitupa kama yule mwana baharini na mazishi mje Moshi”.

“Nipo radhi kupigana na mtu yeyote kwa ajili ya mwanamke wangu kwa sababu nampenda”. - Whozu

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Kumbe wajinga bado wapo? Wema huyu huyu ameokota akiwa ametumika kwa asilimia 90?
 
Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.

Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema,

"Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku mkiona nimeachwa nitajitupa kama yule mwana baharini na mazishi mje Moshi”.

“Nipo radhi kupigana na mtu yeyote kwa ajili ya mwanamke wangu kwa sababu nampenda”. - Whozu

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Kumbe mpaka achwe?
Basi sisi tutaendelea kumchapia tu kwa dharau tu hadharani tu mpaka tumuue na stress kama nzi juu ya kidonda.
Yani mpaka anakuja kuachwa ashakonda kafa roho kumbe hayajui mapenzi ya kuganiana yalivo magumu.
 
Huyu ana malaria ya kichwa.Tulisha sema kikaoni usimwambie manzi unampenda hata kama unamtania yeye kayaanika pabliki hivi??Tutegemee mchaga kulia soon..
 
Simp epidemic ni janga ambalo jamii limefumbia macho, this nigha is simping to the max kwamba anamfia mwanamke so pathetic
 
Back
Top Bottom