wema

Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kipi kinaanza Mema / Wema au Imani / Mungu

    Najiuliza kwa mukstakabari wa Afya ya Jamii na Amani kipi kinatakiwa kiwe Kipimo cha Matendo ya Wanajamii kuyafanya Imani yao inavyowatuma (bila kuangalia matokeo) au Matokeo (yaani wanachofanya kuhakikisha hakiumizi yoyote) hata kama kinaendana tofauti na Imani yao ? Hata Kama Imani hio ni ya...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

    Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26...
  3. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislam wamuandame Wema Sepetu kisa kimpost Whozu?

  4. Mwiba1

    JamiiForums Tanzania Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

    Habarini wana jamvi poleni na swaum lakini pia mfungo mwema kwa wenzetu waislam. Nimependelea nije na mkasa huu hususani katika kipindi hiki cha mfungo kwani ni funzo tosha katika maisha ya kila mmoja wetu. Mkasa huu sio chai kama wengi walivyozoea kuleta nadharia fikirika.. lahasha huu ni...
  5. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wanaomkandia Hayati Magufuli ni watukufu au waovu? Ni mafisadi au wema? Ni wazembe au wavivu?

    WanaJF, Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia...
  6. mr_stev001

    JamiiForums Tanzania Marafiki wema wapo

    mtu wako wakaribu awe mpenzi ,rafiki ama nduguu vyovyote vile basi anavo ondoka na kwenda mbali unagundua vitu viwili 1️⃣nikiasi gani unamhitaji na kuliona pengo lake2️⃣nivile alikuwa kikwanzo kukukwamisha kwenye mambo yako so unafurahia kuondoka kwake penda unachofanya ,amini unacho kifanya...
  7. Tindo

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema kwenye mapokezi ya Lema

    CHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda. Ni vizuri...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana. Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania ''Tenda Wema Nenda Zako Usingoje Shukurani'': Kumbukumbu za Kanali Ayubu Simba

    ‘’TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKURANI’’: KUMBUKUMBU ZA KANALI AYUBU SIMBA Rafiki na ndugu yangu Hamisi Hababi leo asubuhi kaniletea kitabu cha maisha ya Kanali Ayubu Simba. Hababi alipata siku moja katika mazungumzo yetu kuniambia kuwa maarifa yapo katika vitabu. Siku hizi nimekuwa na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kazi nzuri na amezungukwa na watu wema. Orodha yao hii hapa

    Waswahili hawakukosea waliposema " nioneshe rafiki yako nikwambie tabia zako" Sote tunakubali mpaka sasa( hatujui hapo baadae) Mh Rais Samia( PhD honorius causas) Ni rais wa pekee sana. Ni wa pekee kwa sababu ndio Rais ambaye ameweza kwa uwazi kukemea mambo maovu yaliyokuwa yakitendeka hapo...
  11. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Binadamu wana majaribu sana Wema umeniponza

    Kwema wadau? Ipo hivi Rafiki yangu alinipigia simu Baba yake anaumwa nikaenda kumjulia hali Baba yake nilimkuta anahali nzuri anatembea ila dhaifu kutokana na ugonjwa basi nikampatie Baba yake Laki moja kwa ajili ya kumsapoti kipindi hichi anachoumwa. Baada ya kuondoka zimepita siku tatu...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno Wema hawafi ndio hii. Mzee Makamba kapotosha, Baraza la Kiswahili liingie kati

    Neno Wema hawafi ni neno la Kiswahili lenye maana 'Ukitenda wema wema wako haufi hata ikiwa kaburini wema wako hauwezi kufa' Hiyo ndio maana ya neno Wema hawafi. Unavyoona mtu kama Magufuli amekufa bado anakumbukwa na kutajwa kila mahali ndio maana halisi wema wa mtu haufi ila anakufa mwili...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Makamba ni kitisho kwa Rais na wengine wote ambao hawatakuwa wema "Kwao"

    Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?) Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi? Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  16. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Wema wangu umeniponza nimefirisika na kukimbiwa na mke

    MDAU ANAOMBA USHAURI "Mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa kwenye familia ya watoto wanne kwa wazazi wetu huko Moshi - Kilimanjaro. Nilikuja mjini Dar es Salaam kwa kusaidiwa na kaka zangu wawili hasa huyu wa pili kuzaliwa. Kwa taratibu za kule kwetu uchagani huwa tuna desturi ya kushikana mkono...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Huu ni mfano wa kuigwa. Raia wema wasalimisha silaha haramu huko Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria.
  18. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

    Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa. Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki...
  19. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu asema hayupo tayari kuolewa

    Wanangu wa udaku, Wema Sepetu kupitia kipindi chake cha 'Cook with Wema amezua balaa.' Msikilize hapa:
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wema: Mungu ananitendea miujiza

    Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri. “Nafurahi mno mwezi huu, kwa sababu baadhi ya vitu vyangu vinakwenda sawa kama ninavyotaka na nilivyopanga, kiufupi Mungu amenitendea miujiza. “Jamani mniache tu...
Back
Top Bottom