2023 inapoisha, unaiacha kumbukumbu ipi ya wema kwa watu? ili kwa watu ili ukumbukwe kwa wema?

Ivan Stepanov

JF-Expert Member
Apr 22, 2023
4,889
15,935
Habari za weekend.

To cut the story short ni kwamba, jana nikiwa mihangaikono, nilipokea simu toka kwa jamaa yangu flan anaitwa Gozbert. Ni jamaa yangu ila sio kusema ni mtu wangu wa karibu sanaaa, hapana. Yeye tumefahamiana kanisani. Ni mtumishi wa umma katika kada ya afya.

Siku ya kwanza kufika kanisani (mwaka juzi) akiwa amehamia na familia yake katika huu mji, ilikua ni siku ambayo niko zamu katika kuhudumu masuala ya hapa na pale kanisani (kabla sijajitenga kidogo na mambo ya ibada).

Nafikiri hii "ikanipa kibali/ attention" machoni pake na baada ya ibada alifuata tukasalimiana na kujuana kidogo. Tukakaribishana pia majumban na kufahamiana kukaanzia hapo.

Japo kulingana na nature ya majukum yetu, kuonana kwetu ilikua ni jumapil tuu.

Imekua hivi kwa muda mreefu mpaka pale mwanzon mwa mwaka huu siku tukiwa tunapiga stori za hapa na pale kuhusu maisha, akanieleza (hakua amepanga kuniambia though) kuhusu ndoto yake katika masuala ya ujasiriamali. Nilijua hilo kwakua alikua ana bana bana some details nilipokua nahitaji kujua zaid.

Ni hivi, yeye ni mtu wa kaskazin na ameshakua na ndoto hii ya biashara ya maziwa kwa namna ya kisasa zaid.

Sasa kwakua katika pita pita zangu nimekutana na watu kadhaa, moja wapo ni wadau wanaofanya hii biashara, so nina ka awarness kidogo kuhusu alichokua anaongea.

Hivyo licha ya kutokupemda kunieleza into details na mimi nikiwa nimegundua hilo, nikawa nampiga maswali ambayo yakamlazimisha kufunguka zaidi.

Akanieleza mambo meengi sana ikiwa pamoja na kwamba amejaribu sana kufuatilia namna ya kuanza na ameshawashirikisha watu wengi akiowaamini na wakaonesha kumuunga sana mkono lakin mwisho wa siku wakatokomea na idea yake wengine wakijaribu kufanya wao.

Nafikiri hii ndio ilikua inamfanya asipende kuongea sana hata alipokutana na mimi.

Sasa katika maswali meengi sana, nikaja kugundua kama alikua na approach isio sawa sana. Ikiwa ni pamoja na kutafauta pesa za kufunga ng'ombe na kujenga mazizi ya kisasa n.k. Kwakifupi aliongea na mimi tu just kama stori tu hakua akitazamia chochote positive.

Baada ya kumsikiliza mpaka mwisho, nikamwambia, "nafikiri ninaweza kukupa idea namna ya kuanza kama kwel uko serious".
Nikatafuta namba flan kwenye simu yangu nikampa.

Nikamwambia usipige hiyo namba mpaka nitakapo kuambia umpigie. Nahitaji kukutambulisha kwanza ili ukimpigia usiwe na maelezo meengi uende moja kwa moja kwenye lengo.

Nikampa tu intro tu kwamba huyo ni "braza" . Kwakifupi jamaa alishahama kabisa hapa townnkwa ishu hiz za usindikaji wa maziwa locally, akajichimbia Morogoro hukoo na zimempa maisha hiz mambo.

Baada ya siku 3 nikampata huyu bro nikamueleza kuhusu huyu mshkaji wangu na nikamuomba amsikilize na inapowezekana amsaidie. Nikaongea na mengi kisha ndio nikamrudia mshkaji wangu nikamwambia "unaweza mcheki". Jamaa aliona kama utani hivi ila akamcheki.

Baada ya week 3 akanirudia kwamba wamewasiliana mara kadhaa na huyo "bro" na amemwambia aende Moro kwa maelezo ya kina na trainning..All this for free. Nikamwambia haina noma ni wewe tu, mimi sihusiki tena hapo we komaa na mshkaji.

Jamaa alimshauri vitu vingi ikiwemo kuachana kwanza na suala la kufuga. Atafute contact na wamasai wawe wanam supply maziwa. Akaanzia nyumbani hii buzness na mimi nikiwa moja ya wateja wake kwakua alianza na usindikaji wa maziiwa kwa ajil ya mtindi.

Kwakifupi sasa jamaa amepiga hatua kubwa sanaaa. Na vile sijaonekana kanisani almost huu mwaka wote, jana kanipigia nikaone biashara ilipofikia na kwakwel kafika mbali sanaa. Kahamisha buznes toka home sasa amekodi Frame 2 kaweka na mfanya kazi.

Kwakifupi alniita kunishukuru kwa msaada niliompa wa kum connect na "bro". He has been grateful na honestly nimejiskia viizur sana kuona kwamba nimelua sehem ya kufanikisha malengo yake ya muda mrefu. It really makes someone feel so good.

It feels gud to do gud.
 
Habari za weekend.

To cut the story short ni kwamba, jana nikiwa mihangaikono, nilipokea simu toka kwa jamaa yangu flan anaitwa Gozbert. Ni jamaa yangu ila sio kusema ni mtu wangu wa karibu sanaaa, hapana. Yeye tumefahamiana kanisani. Ni mtumishi wa umma katika kada ya afya.

Siku ya kwanza kufika kanisani (mwaka juzi) akiwa amehamia na familia yake katika huu mji, ilikua ni siku ambayo niko zamu katika kuhudumu masuala ya hapa na pale kanisani (kabla sijajitenga kidogo na mambo ya ibada). Nafikiri hii "ikanipa kibali/ attention" machoni pake na baada ya ibada alifuata tukasalimiana na kujuana kidogo. Tukakaribishana pia majumban na kufahamiana kukaanzia hapo.
Japo kulingana na nature ya majukum yetu, kuonana kwetu ilikua ni jumapil tuu.

Imekua hiv kwa muda mreefu mpaka pale mwanzon mwa mwaka huu siku tukiwa tunapiga stori za hapa na pale kuhusu maisha, akanieleza (hakua amepanga kuniambia though) kuhusu ndoto yake katika masuala ya ujasiriamali. Nilijua hilo kwakua alikua ana bana bana some details nilipokua nahitaji kujua zaid.

Ni hivi, yeye ni mtu wa kaskazin na ameshakua na ndoto hii ya biashara ya maziwa kwa namna ya kisasa zaid.
Sasa kwakua katika pita pita zangu nimekutana na watu kadhaa, moja wapo ni wadau wanaofanya hii biashara, so nina ka awarness kidogo kuhusu alichokua anaongea. Hivyo licha ya kutokupemda kunieleza into details na mimi nikiwa nimegundua hilo, nikawa nampiga maswali ambayo yakamlazimisha kufunguka zaidi.
Akanieleza mambo meengi sana ikiwa pamoja na kwamba amejaribu sana kufuatilia namna ya kuanza na ameshawashirikisha watu wengi akiowaamini na wakaonesha kumuunga sana mkono lakin mwisho wa siku wakatokomea na idea yake wengine wakijaribu kufanya wao. Nafikiri hii ndio ilikua inamfanya asipende kuongea sana hata alipokutana na mimi.

Sasa katika maswali meengi sana, nikaja kugundua kama alikua na approach isio sawa sana. Ikiwa ni pamoja na kutafauta pesa za kufunga ng'ombe na kujenga mazizi ya kisasa n.k n.k n.k.
Kwakifupi aliongea na mimi tu just kama stori tu hakua akitazamia chochote positive.

Baada ya kumsikiliza mpaka mwisho, nikamwambia, "nafikiri ninaweza kukupa idea namna ya kuanza kama kwel uko serious".
Nikatafuta namba flan kwenye simu yangu nikampa.
Nikamwambia usipige hiyo namba mpaka nitakapo kuambia umpigie. Nahitaji kukutambulisha kwanza ili ukimpigia usiwe na maelezo meengi uende moja kwa moja kwenye lengo.

Nikampa tu intro tu kwamba huyo ni "braza" . Kwakifupi jamaa alishahama kabisa hapa townnkwa ishu hiz za usindikaji wa maziwa locally, akajichimbia Morogoro hukoo na zimempa maisha hiz mambo.

Baada ya siku 3 nikampata huyu bro nikamueleza kuhusu huyu mshkaji wangu na nikamuomba amsikilize na inapowezekana amsaidie . Nikaongea na mengi kisha ndio nikamrudia mshkaji wangu nikamwambia "unaweza mcheki". Jamaa aliona kama utani hivi ila akamcheki.

Baada ya week 3 akanirudia kwamba wamewasiliana mara kadhaa na huyo "bro" na amemwambia aende Moro kwa maelezo ya kina na trainning..All this for free.
Nikamwambia haina noma ni wewe tu, mimi sihusiki tena hapo we komaa na mshkaji.

Jamaa alimshauri vitu vingi ikiwemo kuachana kwanza na suala la kufuga. Atafute contact na wamasai wawe wanam supply maziwa.
Akaanzia nyumbani hii buzness na mimi nikiwa moja ya wateja wake kwakua alianza na usindikaji wa maziiwa kwa ajil ya mtindi.

Kwakifupi sasa jamaa amepiga hatua kubwa sanaaa. Na vile sijaonekana kanisani almost huu mwaka wote, jana kanipigia nikaone biashara ilipofikia na kwakwel kafika mbali sanaa. Kahamisha buznes toka home sasa amekodi Frame 2 kaweka na mfanya kazi.

Kwakifupi alniita kunishukuru kwa msaada niliompa wa kum connect na "bro". He has been grateful na honestly nimejiskia viizur sana kuona kwamba nimelua sehem ya kufanikisha malengo yake ya muda mrefu. It really makes someone feel so good.
It feels gud to do gud.

Uzi tayari
You did marvelous to someone's else life and God ,he will do marvelous to you .

Umepanda mbegu nzuri lazima itaota na kutoa matunda .

Be blessed MTUMISHI.

Personally mwaka 2023 nimepitia mambo mengi Sana so most of the time nimetumia kuwafanyia WATU mentorship in various things as to make people to play smart. Upstair.

Sometimes our accomplishments can be done through to be-people builder

2024 I will be a peacemaker and a victor in my career.
 
Yote mema chief kikubwa uzima .wish all the best
 
Ni kwel sio lazima kukumbukwa. But nthe fact is as long as una interact na watu lazima tu by default utawachia memory flan..either or bad or neutal
Sasa hiyo ni non of my business am living my life na sio.kufurahisha watu na kama ni kumbukumbu itakuja by default hata kama ni mtu mmja.
 
Mimi nitawaachia wadau hapa kumbukumbu ya kuwaletea breaking news za moto kabisa kule DSTV, & ubuyu wa moto ambao haukuwa umeandikwa kokote.

Na yote hayo bila ya malipo, nafurahi sana nikiona watu wanaburudika.
Wewe tena mkuu!!?.
Labda tu nikuweke waz kwamba tuko weengi beneficaries wa kimya kimya..tunafaudika na tunatambua juhud zako ...one love
 
Nilimsaidia binti wa miaka 12 hivi akaepuka kubakwa ama hata kuuawa kabisa siku ile mbali na mengi magumu yaliyotokea kwangu ila hili nikilikumbuka nasema asante Mungu kunifanya ngao kwa binti yule siku ile
She will never forget you.
UJue sijui kuna siri gan nyuma yake, lakin huwa kuna furaha sana katika kutoa au kujitoa kwa ajil ya wengine ukilinganisha na furaha unayoioata pale wengine wanapojitoa kwa ajil yako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom