Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.
Wakuu,
Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani".
Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno......
"SHUKRANI"
Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza.
Nimeandika hii thread baada ya jana kupigiwa simu na mama mmoja akasema mwanangu DR AM 4 REAL Nakushukuru sana...
Ikiwa utatangaza nia yako ya kuuangamiza ouvu, tambua ya kuwa hayatakuwa mapambano ya wazi. Mchezo wa ouvu ni wa vita ya kisaikolojia, si vita wa kimwili.
Unasema utauangamiza uovu. Uovu hautopinga azimio lako. Badala yake, utakupatia zana na rasilimali nyingi zinazoonekana kutokuwa na mwisho...
Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP.
Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi.
Sijapenda. Ukiwauliza...
Wakuu, Kuna jamaa yangu anaitwa Michael amefariki jana na habari nimezipata leo kupitia accounts za washkaji zangu za Facebook pamoja na Instagram.
Sasa ninajiuliza, kuna faida gani ya kuwa mtu mwema kwa maana wema wanakufa na wabaya pia wanakufa.
At least labda ingekuwa wema wanaishi muda...
Kuna rafiki yangu mmoja tulikutana naye shuleni (sekondari) miaka 35 iliyopita; Kiuchumi, wao walikuwa wako vizuri kiasi kwa kipindi kile.
Katika shule tuliosoma, shule yetu ilikuwa na changamoto ya madawati; wapo waliokuwa wakikalia matofari kutokana na upungufu wa madawati na wachache...
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa.
Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu.
Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit.
Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
Katika siku za Nyumba, nilikua na Rafiki yangu kipenzi sana, Ambae yeye Wala hakua na urafiki wa kweli kwangu.
Baada muda kupita alipata maradhi ambayo yalihitaji kufanyiwa upasuaji na malipo yalikua ni kiasi Fulani Cha pesa, Kuna mtu alipata Taarifa mshikaji kuugua miongoni mwa marafiki Zetu...
Inshaallah tabarak!, dhamira ni kushika dola na nafasi za uongozi na si uana harakati!
°Hata slogan yake inavutia kwa kweli, "CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA"
Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia
Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
Hello, JF Members,
Kama wewe ni shabiki mkubwa na number one die hard fan wa Hilary Swank na Alan Ritchson basi hii movie ya Ordinary Angels (Malaika wa Kawaida) sio ya kukosa.
Ordinary Angels, 2024 ni filamu yenye mguso wa kihisia, inayoelezea maisha ya Sharon (Hilary Swank), mwanamke jasiri...
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook:
Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo...
Hapo vip!!
Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili.
Mimi binafsi...
ACHANA na ufundi wake uwanjani. Hii ya sasa ni kali zaidi na nyota wa Yanga raia wa Ivory Coast kazua balaa jipya kwa wasanii wa kike wa Bongo Fleva na Bongo Movie ikiwa ni siku chache tu tangu Stephanie Aziz Ki kuangukia kwa mjasiriamali, Hamisa Mobetto na kuamua kufunga ndoa.
Pacome amekuwa...
Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi.
Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu pekee. Ombaomba yule alishangazwa na hilo, lakini akajisemea, 750,000 ni bora kuliko kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.