wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

    Kuna girl mmoja wa kizungu hapa, foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu. Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo. Natanguliza shukrani.
  2. Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
  3. Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  4. Ujasiri huu wa Watanzania kwa wazungu umepotelea wapi?

    Henry Kissinger, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kaja Tanzania kupatana na Rais Nyerere kuhusu jambo. Alikutana na mabango mengi. Leo hii leo hii leo hii mzungu kutoka Marekani mwenye cheo hiki akija tena Tanzania ole wake atakaenyanyua bago, ujasiri wetu umeenda wapi?
  5. Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika. Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi...
  6. Mwanamke akamatwa kwa kutega bomu Poland, haya wazungu waanza kuvuna walichopanda

    Mwanamke akamatwa kwa kosa la kutega bomu kwenye nchi ya Poland. Bahati nzuri kule mifumo ya kiusalama iko imara sana, sio rahisi ufanikishe ugaidi. Wazungu waliachia hawa watu wajazane na kuzaliana huko kwao.... ==============================...
  7. Kwa nini Wazungu hutumia Uislam kutengeneza magaidi badala ya dini nyingine?

    Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio. Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu. Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili...
  8. Hivi jamani tunawaamini wazungu kweli?

    Labda Tanzania ndiyo taifa teule?
  9. R

    Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Msimu wa mafua: Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu? =========== A cold is a...
  10. Jinsi Wazungu Fake Wanavyo waliza Watanzania

    MATAPELI WANAOJIFANYA WAZUNGU Naeza toa Elimu kidogo kuhusu hizi mambo jinsi utakavyo lizwa na hawa wazungu wa Nigeria Kenya na UDSM &UDOM Wameingia sahivi😂😂😂😂 Hawa matapeli wanakuingiza chaka kimkakati saaana iko hivi: Kwanza jua unapotextiwa hautextiwi pekeako mpo wengi haswa limit ni 500...
  11. Wazungu wanaziponda sana hizi nyumba. Kumbe ndiko tulikojifunza kujenga "mapiramidi!"

    Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions). Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu...
  12. Kwanini wazungu wameshindwa kutokomeza kunguni Ulaya?

    Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu. Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu. Lakini pamoja na umwamba...
  13. T

    Kwanini Wazungu walileta dini Afrika?

    Historia ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo. EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS. Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa...
  14. Mnawachukia wazungu ila mnatumia teknolojia yao na elimu yao na mnapenda maisha yao na mnakimbilia Ulaya na Marekani kwa wingi

    Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab. Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko. Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao. Acheni unafiki wabantu na...
  15. Kwanini wazungu wanapenda sana Waisrael na kuchukia sana waarabu?

    Sikupenda kujiingiza kwenye mjadala juu ya ugaidi na mauaji ya kimbari vinavyotokea Gaza, ila kinachoendelea kinatisha. Sikupenda kwa sababu Waafrika yanapotukuta haya, huwa wenzetu hawajali ukiachia mbali kutubagua tunapokwenda kwao ingawa hatuwabagui wajapo kwetu. Sijui kwanini wazungu...
  16. S

    Je, Waafrika ni watu weusi watupu? Au tunapotoshwa na wazungu?

    Tuseme Wasomali wanajitambua ,maana hawakubali kuitwa Waafrika ,na hujitambulisha kama ni msomali na anatoka Somalia. Hata waZanzibari wanakwambia ni wa Zanzibari na wanatokea Zanzibar hawajitambulishi wala baadhi ya wakati hawakubali kuitwa waafrika. Na kuna nchi viongozi wake huwasikii...
  17. Baada ya Kugundua Udhaifu wetu ipo Siku Wazungu, Waeshia na Waarabu watatuzawadia Digrii za Heshima za 'Ujuha Uliotukuka' Waafrika

    Na cha Kushangaza Viongozi wao (wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika (ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE...
  18. Wazungu wasitisha misaada yote kwa Wapalestina, itabidi waarabu wasaidie sasa

    Licha ya chokochoko zote hizi za hawa magaidi, wengi wanaishi kwa misaada ya aidha Israel au kutokea Uzunguni, ila Waarabu wenzao huwapa tu masilaha ya kufyatua kwenda Israel. ============= The European Commission has decided to suspend funding for development projects in the Palestinian...
  19. Ilikuwaje katikati ya nchi za Kiarabu pawe nyumbani pa Wazungu?

    Pale Mashariki ya Kati pamezungukwa na Waarabu, halafu katikati kuna wazungu wanasema ni nyumbani pao, wanajiita Israel. Hawa wazungu wametokea wapi? Kama wao ni watoto wa Ibrahim, Ibrahim alikuwa mtu wa Uru ya Wakardayo, àlmbayo ni Iran ya leo. Iran sio wazungu. Hawa Waisrael wazungu...
  20. Fungua jicho la tatu

    Wakati mwingine nasema sijui niwafumbue watu macho, muone kile watu wengi wanavyoviona ama niache. Nikiandika kidogo, watu wanakuja na kusema bro! Mwisho utakufuru...bro! Haya mambo ni makubwa sana... Na kadhalika. Nisikilize! Hii dunia ina siri kubwa sana. Ina siri kubwa ambazo ukizisikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…