Zijue asili za Waafrika, Wachina, Wazungu na Waarabu

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,947
10,815
IMG-20240524-WA0004.jpg

HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains.

Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama.

Tofauti na sisi great lakes zetu za chimbuko la mababu zetu zote zinaruhusu viumbe (samaki) kama Victoria, Tanganyika na Nyasa.

Katika aina za watu duniani Kuna aina kuu 3;

1. AFRICAOIDS (negroids) ambao ni sisi tuna weusi na brown, yaani tupo aina 2, lakini kufanana kwetu kupo kwenye DNA, tuna 100% ya DNA ya homosapiens (mwanadamu kamili) lakini pia ni full melated (tuna utajiri wa melanin). Tuna maarifa, ndiomana ukiangalia babu zetu waliweza kujichonga na kujichora tupate picha zao ila wao hawakuweza. Pia mapango yetu Yana michoro yakwao hayana michoro. Sisi ni watu wa kwanza kuwepo Duniani. Tuliishi miaka ZAIDI ya milioni ndipo races nyingine zikatokea.

2. MONGOLOIDS, hii ni aina ya watu wa Brown (India, china na wengine wa east Asia). Hawa ni nusu, half melanated ndiomana Wana kautamaduni kidogo kakueleweka. Hawa asili Yao ni Mongolia na milika ya Himalaya. Ndiomana wanaitwa mongoloids, wana melanini KIASI. ila sio full melanated kama muafrika.

3. CAUCASOIDS (Caucasians). Ndio hao wanaotokea hapo. Mfano wazungu Wana melanin kiduchu ndiomana jua huweza kuwapa kansa. Lakini pia EURASIANS (yaani wa ulaya na Asia) hawana DNA ya homosapiens Kwa 100%. Wao DNA Yao ni ya NEANDARTHALS. tafuta neandarthals utaona kama mtu kama mnyama. Yani sio full mwanadamu.

KUMBUKA tangu mwanzo wa Dunia waafrika tulitawala Dunia KUPITIA kush, Kisha tukaangushwa na Wagiriki miaka ya 320 BCE. lakini pia Watu weusi walitawanyika maeneo mbali mbali kama Australia, america, ulaya, Asia nk kustaaraabisha wengine. Mfano Moors walikua ni weusi waliostaarabisha ulaya, ambao nao pia waliangushwa Huko ulaya miaka ya 1400. Ndomana wazungu wanatucontrol tusijue historia ya kuanzia miaka ya 1400 kurudi nyuma😂
 
Eti sisi ndo best race kweli kazi tunayo.
Ila sishangai andiko lao kwa sababu ni RAHISI SANA CHIZI KUJIONA ANA AKILI KULIKO ALIE MZIMA.Hata ukiwa mjinga huwezi jijua kama we ni mjinga sawa na mtu aliekufa huwa hajui kama amekufa.
 
Anyway twende mbele turudi nyuma nadiliki kusema sisi WAAFRICA ni wehu wenye akili ya kuvukia barabara kwenye uumbqji sisi Mungu badala ya kuweka ubongo alituwekea UGALI
 
Maxence Melo What say you? Are you a negroid or are you a Mongoloid?

What the fqaak man? Historia hii Imeandikwa wapi?

Asili ya Mtu mweusi? Kwanini Isiwe asili ya Mtu wa Njano kama alivyo mkuu wetu? Ama mtu mweupe kama alivyo Balozi David Concur. Ila Naibu Waziri Mkuu ni mtu mweusi! What the fqaaak man?
 
View attachment 2997893

HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains.

Bahari Yao Inaitwa BLACK SEA, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama.

Tofauti na sisi great lakes ZETU za CHIMBUKO la mababu ZETU zote zinaruhusu viumbe (samaki) kama Victoria, Tanganyika na Nyasa.

Katika aina za watu duniani Kuna aina kuu TATU

1. AFRICAOIDS (negroids) AMBAO ni sisi tuna WEUSI na brown, Yani tupo aina MBILI, lakini kufanana kwetu kupo KWENYE DNA, tuna 100% ya DNA ya homosapiens(MWANADAMU kamili). Lakini pia ni FULL MELANATED (tuna UTAJIRI wa melanin). Tuna maarifa, ndiomana ukiangalia Babu ZETU waliweza kujichonga na kujichora tupate picha zao ila wao hawakuweza. Pia mapango yetu Yana michoro yakwao hayana michoro. Sisi ni watu wa kwanza kuwepo Duniani. Tuliishi miaka ZAIDI ya milioni ndipo races nyingine zikatokea.

2. MONGOLOIDS, hii ni aina ya watu wa Brown (India, china na wengine wa east Asia)). Hawa ni nusu, half melanated ndiomana Wana kautamaduni KIDOGO kakueleweka. Hawa asili Yao ni Mongolia na milika ya Himalaya. Ndiomana wanaitwa mongoloids, wana melanini KIASI. ila sio full melanated kama muafrika.

3. CAUCASOIDS (Caucasians). Ndio hao wanaotokea hapo. Mfano wazungu Wana melanin kiduchu ndiomana jua huweza kuwapa kansa. Lakini pia EURASIANS (Yani wa ulaya na Asia) hawana DNA ya homosapiens Kwa 100%. Wao DNA Yao ni ya NEANDARTHALS. tafuta neandarthals utaona kama mtu kama mnyama. Yani sio full MWANADAMU.

KUMBUKA tangu mwanzo WA Dunia waafrika tulitawala Dunia KUPITIA kush, Kisha tukaangushwa na WAGIRIKI miaka ya 320 BCE. lakini pia Watu weusi walitawanyika maeneo mbali mbali kama Australia, america, ulaya, Asia nk kustaaraabisha wengine. MFANO MOORS walikua ni weusi waliostaarabisha ulaya , Ambao nao pia waliangushwa Huko ulaya miaka ya 1400. Ndomana wazungu wanatucontrol tusijue historia ya kuanzia miaka ya 1400 kurudi nyuma😂

Mnahangaika na mambo ya kipumbavu ambayo hata mmeyafahamu hayana faida kwenu. Hapo ulipo asilimia 90 vitu ulivyo navyo vina asili ya wazungu.
 
Gudume kasha wahi leta Uzi humu na kuongelea mamba ya kipumbavu ambayo waafrika tunayo.Moja wapo ni kama hii mada ya mleta Uzi.
 
Hiyo habari kuwa Waafrika tulikuwa na maarifa zaidi, sina uhakika. Ninachokijua ni kuwa chimbuko la mwanadamu ni Afrika. Wengine wote unaowaona kwenye mabara mengi ni matokeo ya migration tokea bara la Afrika.

Hata wataalam wa sayansi wanathibitisha hivyo. Bara la Afrika ndiyo liliweza ku-support maisha ambayo hayakuhitaji tekinolojia kubwa. Mwanadamu aliweza kuishi hata bila ya kuwa na nyumba za kupambana na extreme weather kama baridi kali. Aliweza kuvuna vyakula vya pori ambavyo vilitokana na mimea ambayo usingeweza kuunguzwa na baridi kali.

Migration toka Afrika kwenda mabara mengine, hasa Ulaya, ilitokana na kukua kwa tekinolojia ambapo sasa mwanadamu aliweza kusafiri hata kukatiza bahari, kupambana na extreme low tempwratures, n.k.

Taratibu mazingira mapya yaliweza kuitengeneza miili yao iendane na hali ya hewa ya mazingira hayo. Mpaka leo, kadiri unavyozidi kwenda north kwenye extreme low temperatures unakutana na watu weupe zaidi wenye ngozi nene zaidi kwa miili yao imejitengeneza kuyahimili mazingira mapya.

Historia inaonesha kuwa watu wengi wanaoondoka maeneo yao ya asili na kwenda mazingira mapya, huwa ni watu ambao ni very dynamic. Ndiyo maana, ukienda Dar, ukawaona wahaya wengi waliopo huko au waha au wamatumbi, wanakuwa na maendeleo makubwa zaidi katika nyanja mbalimbali kuliko wenzao waliowaacha kwenye maeneo yao ya asili. Vivyo hivyo, si ajabu hawa wazungu ambao ni immigrants wa Afrika, wana maendeleo zaidi kuliko vizazi vyao vya kale vilivyobakia Afrika.
 
Back
Top Bottom