waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Pongezi Waziri Mchengerwa kwa kuahidi kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma

    Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania. Kama ulichokisema ni dhamila yako ya dhati na Serikali ya Mhe, Rais Samia Suruhu Hassan imedhamilia kwa dhati, pokea hongera na...
  2. Waziri Ndugulile kama hapo awali ulibaini watanzania wanaibiwa kwa nini urudishe vifurushi vya awali?

    Ndugu Faustine Ndugulile hapo zaidi ya miezi minne ulikuwa unashughulikia kero zinazo wakabili watanzania hasa juu ya wizi wa vifurushi vya simu. Maana watu wengi walikuwa wakilalamika kuwa wakinunua vifurushi hata kama hawajatumia sana vilikuwa vinateketea kama karatasi inachomwa moto...
  3. Kwako Mama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Waziri TAMISEMI

    Kwanza naomba nikupongeze kwakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumteua Waziri mpya TAMISEMI najua uchapaji wake kazi sio wa kitoto. Naomba mama ikikupendeza tendea haki uhamisho wa watumishi waliokamilisha uhamisho na kusubiri vibali kutoka tamisemi, maana kuna màmbo ambayo sio...
  4. S

    Yule waziri Gwajima ni kiboko - anakupa makavu laivu

    Mijibaba na ndevu zao wanawekwa kiti moto na kufikia kuomba msamaha kwa Waziri Gwajima ,watu kama hawa ndio wanaofaa ,na alipiga dongo kubwa sana ,dongo ambalo lilimlenga maremu kupanga vihio kwenye roho za serikali au kupanga watu ambao fani zao ni tofauti na wanapopaongoza.
  5. S

    Hivi Watanzania mnaamini uamuzi wa kupandisha bei ya vifurushi ni ya Waziri peke yake?

    Naomba niseme nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa uamuzi wa kupandisha vifurushi ulikuwa ni wa Waziri labda na TCRA tu kwasababu hili ni jambo kubwa ambalo siamini kama Waziri anaweza kulifanyia maamuzi peke yake. Hili jambo halina tofauti na lile la kikokotoo ila tatizo watanzania ni wasahaulifu...
  6. M

    TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

    1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika? 2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu? 3. Ni saa ngapi...
  7. J

    Combination ya Dr Kimei Waziri wa Fedha na Tarimba Abbas Waziri wa Viwanda na Biashara naikubali sana!

    Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam. Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo...
  8. S

    Jambo likiwa zuri anasifiwa Rais, likiwa baya analaumiwa Waziri

    Hii Tanzania huwa inanishangaza sana. Likifanyika jambo zuri la kisera au lenye baraka za mawaziri, ridhaa ya Rais, n.k, sifa humiminiwa Raisi na Waziri anaweza hata asitajwe. Cha ajabu na kushangaza ni pale linapofanyika jambo baya au la hovyo lakini katika mazingira yale yale, watu (hasa...
  9. Waziri Ummy Mwalimu suala la Uhamisho kwa Watumishi wa umma litatue

    Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika OR- TAMISEMI, wizara hii ni kubwa na ina changamoto nyingi. Wizara hii utaiweza tu pale utakaposhirikiana vyema na wenzako na pia kuwa tayari kupokea na kufanyia kazi changamoto mbalimbali zinazoibuliwa na siye wananchi tulioko mashinani...
  10. Kumuonya Waziri wa Fedha kutokutumia nguvu kutokukusanya kodi pasipo kubadili Sheria za Kodi haitawezekana

    Kwanza nianze kwakumpongeza mh Rais wetu mama Samia kwani zipo dalili zote kwamba ameanza vizuri kwenye mambo ya kodi hatahivyo yapo mambo lazima yatizamwe vizuri. Ni wazi kwamba kwa namna TRA ilivyozoea/kuzoeshwa kukomesha wafanyabiashara ni ngumu sana kuondoa misuguano kati ya...
  11. Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

    RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
  12. T

    Je, Waziri wa Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia?

    Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS. Tumekuwa tukiwaandama marais...
  13. Mliokuwa mkiomba Mh. Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa atumbuliwe mnajisiaje baada ya kutumbuliwa Dk Bashiru Ally?

    Wengi humu humu walitabiri nani angekuwa makamu wa rais wakimtaja hata Dk Bashiru Ally. Wengine walisema wazi waligemea mhe Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa atupwe. Haiwi haiwi huwa. Sijui mnajisikiaje ambao watu wenu wametoswa? Ni swali tu.
  14. J

    Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

    Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka" Kila zama na kitabu chake. Maendeleo hayana vyama!
  15. S

    Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

    February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo). Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
  16. K

    Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  17. T

    James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  18. Askofu Gwajima anaribu kusifu na kujipendekeza awe Waziri

    Anaitwa Askofu Gwajima ingawa sijui aliyempa hicho cheo ni nani maana matendo yake hayaendani. Alisema hawezi kuwa mbunge wala waziri maana ni vyeo vidogo kuliko kazi yake lakini ubunge wake kwa njia alioupata hata wanaccm tunajua. Amezidi kujilisha na kujipendekeza mno bwana utafikiri hamjui...
  19. T

    Waziri wa Fedha na Mipango ateuliwe Profesa Musa Assad

    Ikimpendeza Mheshimiwa Rais, anaweza kumteua Prof. Assad kuwa Mbunge na kisha kuteuliwa Waziri wa Fedha na Mipango. Sina shaka na utendaji wake hasa akiwa CAG, alisimama imara hali iliyompelekea kukumbwa na mizengwe ya wachumia tumbo. Umri hauwezi kuwa kikwazo sababu tuna Mawaziri wengi wenye...
  20. J

    Bado nafasi mbili wazi Katibu Mkuu CCM na Waziri wa Fedha, hivyo January, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwigulu vuteni subra

    Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dkt. Nchimbi na Mwigulu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo. Bado kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM iko wazi. Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa Fedha. Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…