Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Badiliko hili limelenga kuwasaidia babu na bibi kupata nafasi ya kulea wajukuu na kuwezesha idadi ya watu kuongezeka. Wengi wanaofanya kazi wanapata changamoto za gharama kubwa ya malezi ya watoto, jambo kinalopelekea wengi kuamua kutozaa.
Kwa badiliko hili jipya, ukifikisha miaka 63 unaweza kuanza kupata pension ya Taifa. Mwajiriwa anakatwa pension ya Taifa na mwajiri anaweza kuwa na mpangilio wake wa pension. Unaweza pia kutafuta pension ya ziada ukachangia hii huitwa private pension.
Kama imechangia pension zaidi ya moja unaweza kupata pension zote tatu mwisho wa mwezi. Umri wa kustaafu kwa sasa ni miaka 66 na sip 72.