Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Salaamu kwa wote.
Hivi karibuni mh.Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu alitoa taarifa ya makusanyo kwa kila Halmashauri ikiwa ni utaratibu wao wa kufanya tathmini ya utendaji wa Halmashauri zetu.
Taarifa husika ilikuwa na uchambuzi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushindanisha makundi ya Halmashauri...
Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi.
KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED
1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration;
2. Securing compliance with the...
Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania.
Ni wazi Rais Samia...
Mbeya. Mkuu Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema kuwa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo imesitishwa kufutia kifo cha aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa.
Homera amesema leo Jumanne Agosti 3, 2021, akiongeza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa ameondoka...
Other name? Siyo ‘Middle name’?
Sex?
Marital Status?
Tribe?
Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika.
Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé .
Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye...
Mhe. Waziri,
Watumishi wako wana miezi 3 hawajalipwa nauli za kwenda majumbani kwao baada ya kustaafu.
Watumishi wako wana miezi 4 toka wastaafu hawajalipwa Pensheni na mliahidi na Jenister Mhagama kuwa mtarahisisha malipo ya pensheni kuchukua muda mchache sana, pamoja na kujaza fomu zote na...
Nadhani maisha yalivyo ni kwamba watoto wa viongozi wakihitimu vyuo awatafuti tena kazi wanasubiri uteuzi. Kwa ukubwa nafasi hizi zilizotoka naomba waziri atumie busara kuandaa semina elekezi la sivyo uchumi wetu utakufa kabisa.
Ni sawa mmeamua V8 zipaki nyumbani kwenu yaani baba, mama na...
Waziri wa Afya wa Iran, Saeed Namaki amesema Wimbi la Tano la Virusi vya Corona ambalo kwa kiasi kikubwa limetawaliwa na Kirusi aina ya Delta linaweza kuwa baya zaidi endapo hatua hazitachukuliwa.
Ameonya kwamba Mfumo wa Afya Nchini humo huenda ukalemewa akisema, hata kama Hospitali...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE
Awahamasisha wananchi waongeze mashamba, parachichi zina faida kubwa.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi na kiwanda cha kuchakata mazao ya parachichi na kuwasisitiza wananchi walime zao hilo kwa kuwa...
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema kauli ya hayati Dk John Magufuli kuhusu chanjo inapotoshwa kwani hakusema watu wasichanje ila kuwe na umakini kutokimbilia chanjo bila kujiridhisha.
Waziri Gwajima ameyasema hayo leo Jumatano Julai 29, 2021...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema, Serikali haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya corona. Amewataka Watanzania wapuuze upotoshaji unaosambazwa “Chanjo ni hiari tusipotoshane kwa sababu hakuna Serikali inayoweza kuandaa mpango wa kuwaangamiza wananchi wake."
=========
WAZIRI Mkuu...
Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process kisayansi inaitwa Kwepability. Hata taratibu za kujikinga na Corona zimesema tusikusanyike bila ulazima...
BURIANI RAFIKI YANGU WAZIRI ''MAESTRO'' ALLY
Hakika sisi ni wa Allah na kwake ni marejeo yetu.
Kifo hakizoeleki hata kidogo.
Nimepokea taarifa ya kifo cha rafiki yangu Waziri kwa mshtuko mkubwa.
Nimejuana na Waziri mwaka wa 1979 wakati huo mimi mwanafunzi Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)...
SHAKA HAMDU SHAKA ATETA NA NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU.
Leo Ijumaa 23 Julai 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga Ofisini kwake Makao Makuu...
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI.
TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA
Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam.
Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6.
Utaratibu huu ni kutaka kuzijolea sifa tu,kwani angewaeleza wananchi kuwa suala la mwekezaji na watendaji wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.