waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Viongozi kadhaa akiwemo Waziri Mkuu, Abdallah Hamdok wadaiwa kukamatwa. Jeshi lavunja Utawala wa Kiraia

    Kwa mujibu wa Kituo cha Al-Hadath TV, Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdallah Hamdok amewekwa katika kifungo cha nyumbani huku Viongozi kadhaa wa Utawala wa Kiraia wakikamatwa Hali Nchini humo imekuwa tete tangu kushindwa kwa jaribio la kufanya Mapinduzi Mwezi Septemba. Kukamatwa kwa watu hao...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, ile tuzo aliyopewa Waziri Mkuu ilitokana na nini?

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa ni miongoni mwa wadau walioambulia Tuzo kutokana na mchango wao kwenye maendeleo ya soka la Tanzania , tunashukuru sana kwa waliompa tuzo hiyo kwa kutambua mchango wake ambao sisi wengine hatujawahi kuuona. Bali sisi watu wa soka tunataka kujua ni kipi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aunda kamati itakayosimamia fedha ya COVID-19 iliyotolewa na IMF

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda kamati itakayosimamia fedha ya COVID-19 iliyotolewa na IMF jumla ya tsh 1.3 trillion. Mwenyekiti ni mh Jenister Mhagama. Wajumbe ni Dr Ndumbaro, Mh Ummy Mwalimu, Prof. Kitilla Mkumbo, Dr Mwigullu Nchemba, Dr Gwajima na Mh Awesu. Mh Majaliwa ameonya kuwa...
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

    Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
  5. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

    Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Winston Churchill aliyekuja kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza aliwahi kuwa Luteni wa Jeshi

    Winston Churchill graduated Sandhurst Military College, an impressive twentieth out of a class of 130, in December 1894. Churchill received his commission from Queen Victoria with an effective date of February 20th, 1895, in the Queen's 4th Hussars Calvary. Lieutenant Churchill, aged...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa agoma kufungua barabara Liwale Lindi kwa sababu haina taa!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amegoma kufungua barabara yenye urefu wa km 1.5 Liwale mkoani Lindi kwa sababu haina taa. Mh Majaliwa amesema ramani inaonesha barabara ikikamilika itakuwa na taa hivyo hawezi kuifungua mpaka hapo itakapowekewa taa. Chanzo: ITV habari
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Guinea: Rais wa Mpito ateua Waziri Mkuu

    Kanali Mamady Doumbouya ambaye wiki iliyopita aliapishwa kuwa Rais wa Mpito amemteua Mohamed Beavogui kuwa Waziri Mkuu. Mtumishi huyo wa zamani wa Umma atasimamia mabadiliko ya Utawala wa Kiraia. Imeripotiwa, Beavogui (68) ana uhusiano na Diallo Tellia ambaye ni Mwanadiplomasia wa zamani wa...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara. Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga. Ameeleza, "Tuendelee kuwasikiliza Wataalamu wetu wa Afya, na yale masharti yote tunayotakiwa kufuata ni muhimu kufanya...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu, Abiy Ahmed aapishwa kwa muhula mwingine wa miaka 5

    Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed ameapishwa kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Miongoni mwa Wakuu wa Nchi waliohudhuria uapisho ni kutoka Nigeria, Senegal na Somalia Serikali ya Abiy ambaye alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 2018 inakabiliwa na changamoto mbalimbali...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Japan: Fumio Kishida atangazwa kuwa Waziri Mkuu mpya

    Fumio Kishida (64) ametangazwa rasmi kuwa Waziri Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Yoshihide Suga ambaye ameachia madaraka baada ya mwaka mmoja tu ofisini. Suga aliachia madaraka baada ya ushawishi wake kudorora kutokana na namna janga la COVID-19 lilivyoshughulikiwa. Kishida anakabiliwa na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia na PM wameamua kutumia usafiri wa umma ku-cut cost kwenye ziara zao? | Majaliwa alitua Kigoma kwa Precision, Rais akaondoka na Emirates

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Katika kile kinachoonekana kuishi na kufanya|kutenda Kizalendo kwa Rais na Waziri Mkuu wetu Mhe Majaliwa Khasim Majaliwa pamoja na kwamba Tanzania tunajumla ya ndege mpya 11 wao wameamua kwenye baadhi ya shughuli zao za kiserikali zinazotumia gharama kubwa ya ndege...
  14. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu anatumia ndege za kukodi za Serikali zimeenda wapi?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumi za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tony Blair amefuata nini Tanzania?

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka. Swali ni hili, Amefuata nini?
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Mazungumzo ya Viongozi hao yamefanyika leo September 29,2021 Ikulu ya Chamwino Dodoma
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aliyekuwa Muhasibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu ahukumiwa kwenda jela miaka 40 kwa ubadhirifu

    Godfrey Kazinda ambaye alikua mhasibu ofisi ya Waziri Mkuu wa Uganda amekutwa na hatia ya ubadhirifu wa dola milioni 26.4 (Sawa na Tsh. Bilioni 61.16) zilizotolewa na serikali ya Ireland, Sweden na Denmark Kazinda alitumia fedha hizo kukaa hoteli kubwa kwa miezi 10 na kuishi maisha ya anasa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashiriki vyema ziara ya waziri mkuu majaliwa, ashiriki upandaji wa michikichi

    DKT. SAMIZI ASHIRIKI VYEMA ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA, ASHIRIKI UPANDAJI WA MICHIKICHI. Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi ameshiriki vyema ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anayoifanya mkoani Kigoma iliyoanza Septemba 16, 2021. Katika ziara hiyo...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Rais amuondolea madaraka Waziri Mkuu kwa madai amekiuka Katiba

    Rais Mohamed Abdullahi Mohamed amemuondolea Waziri Mkuu, Mohammed Hussein Roble, Madaraka ya kuajiri na kufukuza kazi Watumishi akidai Kiongozi huyo amekiuka Katiba. Amesema kusitishwa kwa madaraka ya Waziri Mkuu kutaendelea hadi baada ya kumalizika Uchaguzi. Kitendo hicho kinaendelea...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Majaliwa, kutoka kwa baadhi ya madereva wa Hiace Sumbawanga

    YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA Mh. Waziri Mkuu, Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
Back
Top Bottom